Nenda kwa yaliyomo

Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 29: Mstari 29:
== Muamala wa Washirikina wa Makka dhidi ya Muhajirina ==
== Muamala wa Washirikina wa Makka dhidi ya Muhajirina ==


Kwa mujibu wa ripoti za kihistoria, washirikina wa Makka walilikuwa wakiwazuia Waislamu kuhamia Madina kwa njia mbalimbali; waliwaweka baadhi ya watu gerezani na pia wakazuia baadhi ya familia za muhajirina kujumuika nao. Miongoni mwa matukio hayo ni kuwazuia kwa muda [[Ummu Salama]] mke wa Abu Salama (Abdullah bin Abdul Asad) na mwanawe kwenda Madina. [21] Na [[Sohayb Rumi]] aliruhusiwa [[kuhajiri]] na kwenda Madina lakini makabala wake atoe mali yake. [22]
Kwa mujibu wa ripoti za kihistoria, washirikina wa Makka walilikuwa wakiwazuia Waislamu kuhamia Madina kwa njia mbalimbali; waliwaweka baadhi ya watu gerezani na pia wakazuia baadhi ya familia za muhajirina kujumuika nao. Miongoni mwa matukio hayo ni kuwazuia kwa muda [[Ummu Salama]] mke wa Abu Salama (Abdullah bin Abdul Asad) na mwanawe kwenda Madina.<ref>Baladhuri, Ansab al-Ashraf, juz. 1, uk. 258-259, 1959 M; Ibnu Hisham, al-Sirah al-Nabawiyah, juz. 1, uk. 469.</ref> Na [[Sohayb Rumi]] aliruhusiwa [[kuhajiri]] na kwenda Madina lakini makabala wake atoe mali yake.<ref>Ibnu Athir, Usad al-ghabah, juz. 2, uk. 419, 1409 H.</ref>


Kadhalika, baadhi ya Waislamu hawakuhama kwa sababu wake zao na watoto wao waliwavunja moyo na walikuwa wakilia na kuwazuia kuhama. ({{Arabic|يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّ مِنْ أَزْوَاجِكُمْ وَأَوْلَادِكُمْ عَدُوًّا لَكُمْ فَاحْذَرُوهُمْ}} ; Enyi mlio amini! Hakika miongoni mwa wake zenu na watoto wenu wamo maadui zenu, basi tahadharini nao). [23] [[Fadhl bin Hasan Tabarsi]], mfasiri wa Qur’ani wa Kishia katika [[karne ya sita ya Hijiria]], alinukuu kutoka kwa [[Ibn Abbas]] na [[Mujahid]] kwamba Aya hiyo ilishuka kuhusiana na maudhui hiyo. [24]
Kadhalika, baadhi ya Waislamu hawakuhama kwa sababu wake zao na watoto wao waliwavunja moyo na walikuwa wakilia na kuwazuia kuhama. ({{Arabic|يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّ مِنْ أَزْوَاجِكُمْ وَأَوْلَادِكُمْ عَدُوًّا لَكُمْ فَاحْذَرُوهُمْ}} ; Enyi mlio amini! Hakika miongoni mwa wake zenu na watoto wenu wamo maadui zenu, basi tahadharini nao).<ref>Surat. Al-Taghabun, Ayat 14.</ref> [[Fadhl bin Hasan Tabarsi]], mfasiri wa Qur’ani wa Kishia katika [[karne ya sita ya Hijiria]], alinukuu kutoka kwa [[Ibn Abbas]] na [[Mujahid]] kwamba Aya hiyo ilishuka kuhusiana na maudhui hiyo.<ref>Tabrasi, Majma' al-Bayan, juz. 10, uk. 451, 1372 S.</ref>


== Himaya na Uungaji Mkono wa Ansari kwa Muhajirina ==
== Himaya na Uungaji Mkono wa Ansari kwa Muhajirina ==
confirmed
343

edits