Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho
→Muhajirina wa Mwanzo
Salim (majadiliano | michango) (→Daraja) |
Salim (majadiliano | michango) |
||
Mstari 25: | Mstari 25: | ||
== Muhajirina wa Mwanzo == | == Muhajirina wa Mwanzo == | ||
Kabla ya Mtume (s.a.w.w) kuhamia Madina, aliwaamuru masahaba zake waanze safari ya kuelekee Madina. | Kabla ya Mtume (s.a.w.w) kuhamia Madina, aliwaamuru masahaba zake waanze safari ya kuelekee Madina.<ref>Tabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 2. uk. 369, 1387 H.</ref> [[Ali bin Hussein Mas’oudi]] anasema, baadhi ya watu wa kwanza kuingia Madina kabla ya Mtume (s.a.w.w) walikuwa: [[Abdullah bin Abdul Asad]], [[Aamir bin Rabi'ah]], [[Abdullah bin Jahsh]], [[Omar bin Khattab]] na Ayash bin Abi Rabi'ah bin Yahya.<ref>Mas'udi, al-Tanbih wa al-Ishraf, uk. 200.</ref> Baladhuri mwanahistoria wa karne ya tatu, anawachukulia Muhajirina wa kwanza kuwa [[Mus’ab bin Umayr]] na [[Ibn Umm Maktum]], ambao walifika na kuingia Madina kabla ya Abdullah bin Abdul Asad.<ref>Baladhuri, Ansab al-Ashraf, juz. 1. uk. 257, 1959 M.</ref> Kwa mujibu wa ripoti yake, Mus’ab bin Umayr alitumwa Madina Mtume (s.a.w.w) katika mwaka wa kumi na mbili tangu kubaathiwa na kupewa Utume Mtume kwa ajili ya kwenda kuhubiri [[dini ya Kiislamu]] na kwamba, alitumwa huko baada ya [[Baiya ya Aqaba]].<ref>Baladhuri, Ansab al-Ashraf, juz. 1. uk. 257, 1959 M.</ref> | ||
== Muamala wa Washirikina wa Makka dhidi ya Muhajirina == | == Muamala wa Washirikina wa Makka dhidi ya Muhajirina == |