Nenda kwa yaliyomo

Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 17: Mstari 17:
== Daraja ==
== Daraja ==


Kwa mujibu wa [[Ayatullah Makarim Shirazi]], [[Marjaa Taqlid]] na [[mfasiri wa Qur'ani]] ni kuwa, [[Mtume (s.a.w.w)]] aliwajali na kuwazingatia sana Muhajirina; kwa sababu waliweka maisha yao ya kimaada na mali zao kwenye huduma ya mwito na da’wa yake na kwa kuhajiri kwao wakaifikisha sauti ya Uislamu katika masikio ya walimwengu. [5]
Kwa mujibu wa [[Ayatullah Makarim Shirazi]], [[Marjaa Taqlid]] na [[mfasiri wa Qur'ani]] ni kuwa, [[Mtume (s.a.w.w)]] aliwajali na kuwazingatia sana Muhajirina; kwa sababu waliweka maisha yao ya kimaada na mali zao kwenye huduma ya mwito na da’wa yake na kwa kuhajiri kwao wakaifikisha sauti ya Uislamu katika masikio ya walimwengu. <ref>Makarim shirazi, al-Amthal, juz. 8. uk. 194, 1421 H.</ref>


Katika Qur'an, neno linalotokana na hijra (kuhama na kuhajiri) limetajwa mara 24 kwa anuani ya Muhajirina: ({{Arabic|الذین هاجروا و مَن هاجر}}), Pia, Qur'an imewataja Muhajirina pamoja na wanajihadi [7] na kuwasifu kwa sifa za [[subira]] na [[kutawakali]] kwa Mwenyezi Mungu imani [8] 9] na Waumini wa kweli [10] ambao kwa kuhajiri kwao imani yao imethibiti. [11] Qur’ani Tukufu inazungumzia kusamehewa [[dhambi]] zao [12] na kuingizwa [[peponi]]. [13] Hata hivyo kwa mujibu wa wanazuoni wa Waislamu wa madhehebu ya [[Shia]] ni kwamba, inafahamika dhahiri ya Aya kwamba, makusudio ya [[Mwenyezi Mungu]] ni wale Muhajrina [14] ambao walibakia katika ahadi yao na hawakubalika na sio Muhajrina wote. [15]
Katika Qur'an, neno linalotokana na hijra (kuhama na kuhajiri) limetajwa mara 24 kwa anuani ya Muhajirina: ({{Arabic|الذین هاجروا و مَن هاجر}}),<ref>Ja'fari, Tafsir Kauthar, juz. 2, uk. 536, 1376 S.</ref> Pia, Qur'an imewataja Muhajirina pamoja na wanajihadi<ref>Tazama: Surat Al-Anfal, Ayat 72-75, Surat Al-Baqarah, Ayat 218.</ref> na kuwasifu kwa sifa za [[subira]] na [[kutawakali]] <ref>Surat An-Nahl, Ayat 42.</ref> kwa Mwenyezi Mungu imani<ref>Makarim shirazi, al-Amthal, juz. 8. uk. 95, 1421 H.</ref>  na Waumini wa kweli<ref>Surat Al-Anfal, Ayat 74.</ref> ambao kwa kuhajiri kwao imani yao imethibiti.<ref>Tabrasi, Majma' al-Bayan, juz. 4, uk. 499, 1372 S.</ref> Qur’ani Tukufu inazungumzia kusamehewa [[dhambi]] zao<ref>Surat Al-Baqarah, Ayat 218; Surat Al-Anfal, Ayat 74.</ref> na kuingizwa [[peponi]].<ref>Surat Ali Imran, Ayat 195.</ref> Hata hivyo kwa mujibu wa wanazuoni wa Waislamu wa madhehebu ya [[Shia]] ni kwamba, inafahamika dhahiri ya Aya kwamba, makusudio ya [[Mwenyezi Mungu]] ni wale Muhajrina<ref>Tazama: Allamah Tabatabai, al-Mizan, juz. 9. uk. 374, 1417 H, Subhani, Ilahiyat, juz. 4, uk. 445, 1412 H.</ref> ambao walibakia katika ahadi yao na hawakubalika na sio Muhajrina wote. <ref>Tazama: Sheikh Tusi, al-Tibyan, juz. 9. uk. 329.</ref>


Kuwa muhujar (mtu aliyehama Makka na kwenda Madina) kulihesabiwa kuwa na heshima na hadhi kubwa katika karne za kwanza za Hijria; [[Omar bin al-Khattab]], alikuwa akiwapa Muhajirina hisa zaidi wakati wa ugawaji wa [[Bait al-Mal]], kutokana na kutangulia kwao katika [[Uislamu]], [16] na aliwachagua wajumbe wa [[baraza la watu sita]] kutoka miongoni mwao ili kumchagua khalifa na mrithi wa uongozi baada ya Mtume; [17] ingawa kazi ya kuifuatilia na kusimamia aliikabidhi kwa [[Ansari]]. [18]
Kuwa muhujar (mtu aliyehama Makka na kwenda Madina) kulihesabiwa kuwa na heshima na hadhi kubwa katika karne za kwanza za Hijria; [[Omar bin al-Khattab]], alikuwa akiwapa Muhajirina hisa zaidi wakati wa ugawaji wa [[Bait al-Mal]], kutokana na kutangulia kwao katika [[Uislamu]], <ref>Ibnu Sa'ad, al-Tabaqat al-Kubra, juz. 3. uk. 214, 1410 H.</ref> na aliwachagua wajumbe wa [[baraza la watu sita]] kutoka miongoni mwao ili kumchagua khalifa na mrithi wa uongozi baada ya Mtume;<ref>Tazama: Ya'qubi, Tarikh Ya'qubi, juz.2. uk.160, </ref> ingawa kazi ya kuifuatilia na kusimamia aliikabidhi kwa [[Ansari]]/<ref>Ya'qubi, Tarikh Ya'qubi, juz.2. uk. 160.</ref>


== Muhajirina wa Mwanzo ==
== Muhajirina wa Mwanzo ==
confirmed
343

edits