Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho
→Utambuzi wa Maana
Salim (majadiliano | michango) (→Vyanzo) |
Salim (majadiliano | michango) |
||
Mstari 11: | Mstari 11: | ||
:''Makala kuu: Hijra [[kulelekea Madina]]'' | :''Makala kuu: Hijra [[kulelekea Madina]]'' | ||
Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha [[Waislamu]] wote waliohajiri na kuhama kwa amri ya Mtume (s.a.w.w.) | Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha [[Waislamu]] wote waliohajiri na kuhama kwa amri ya Mtume (s.a.w.w.)<ref>Maqrizi, Imta al-Asma, juz. 9, uk. 75, 1420 H. Baladhuri, Ansab al-Ashraf, juz. 1, uk. 257, 1959 M.</ref> kutoka [[Makka]] na kwenda [[Madina]] kutokana na mateso na maudhi ya [[washirikina]] wa Makka. Aidha, Waislamu wa Madina ambao walipokea [[Mtume (s.a.w.w)]] na Waislamu wengine huko Madina <ref>Maqrizi, Imta al-Asma, juz. 9, uk. 169, 1420 H.</ref> wanajulikana kwa jina la [[Ansari]].<ref>Maqrizi, Imta al-Asma, juz. 9, uk. 82, 1420 H.</ref> Kwa msingi huo, Ansari ni Waislamu wa Madina waliompokea Mtume na Muhajirina waliotokea Makka. | ||
Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha Waislamu wote waliohama kutoka Makka kwenda Madina hadi kutekwa na [[kukombolewa Makka]] katika [[mwaka wa nane wa Hijiria]]. Pamoja na hayo, Waislamu ambao waliwasili na kuingia Madina kabla ya [[Sulhu ya Hudaybiyah]] ([[mwaka wa 6 wa Hijria]]) wana hadhi na nafasi ya juu zaidi. | Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha Waislamu wote waliohama kutoka Makka kwenda Madina hadi kutekwa na [[kukombolewa Makka]] katika [[mwaka wa nane wa Hijiria]]. Pamoja na hayo, Waislamu ambao waliwasili na kuingia Madina kabla ya [[Sulhu ya Hudaybiyah]] ([[mwaka wa 6 wa Hijria]]) wana hadhi na nafasi ya juu zaidi.<ref>Makarim shirazi, Tafsir Nemuneh, juz. 8. uk. 261-262, 1374 S.</ref> | ||
== Daraja == | == Daraja == |