Tashbihi katika Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
|||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Tashbihi katika Qur’ani'''(Kiarabu:{{Arabic| الأمثال القرآنية}}) (matumizi ya lugha ya taswira) uliotumika katika Qur'ani, ni moja ya sanaa muhimu katika kufafanua na kuwasilisha dhana za Qur'ani, na ni moja ya sehemu za [[miujiza ya kiisimu]] (linguistics) ya kitabu hichi kitukufu. Kipengele hichi kimepewa umuhimu maalum katika [[Hadithi|Riwaya za Kishia]], huku watu wakihimizwa kuzingatia na kutafakari juu ya maana na ukweli juu ya tashbihi zilizomo ndani ya Qur’ani. Kwa mujibu wa wafasiri wa Qur'ani, madhumuni ya kutoa mifano kwa njia ya tashbihi (matumizi ya lugha ya taswira), ni kurahisisha mafundisho magumu ili yawafikie watu wa kawaida kwa urahisi zaidi, kwani madhumuni ya kushuka kwa Qur’ani ni kufikisha ujumbe wa Mungu kwa kila mtu. Wafasiri wa Qur'ani wakibainisha lengo la uwepo wa tashbihi ndani ya Qur'ani sambamba na [[hoja za kiakili]], [[mijadala yenye busara]] na [[mawaidha]], wamesema kwamba; lengo la kutumia tashibihi hizo, ni kufanikisha uelewa wa watu kwa njia rahisi na sahihi. Imeelezwa kwamba; tashbihi (matumizi ya lugha ya taswira) za Qur’ani zimekuja kwa malengo ya kimalezi (kimaadili), zikilenga kuhimiza maadili tabia na mema, sambamba na kutoa mifano ya vitendo na vigezo ambavyo vinaweza kueleweka kirahisi na kuigwa na wanajamii. | '''Tashbihi katika Qur’ani''' (Kiarabu:{{Arabic| الأمثال القرآنية}}) (matumizi ya lugha ya taswira) uliotumika katika Qur'ani, ni moja ya sanaa muhimu katika kufafanua na kuwasilisha dhana za Qur'ani, na ni moja ya sehemu za [[miujiza ya kiisimu]] (linguistics) ya kitabu hichi kitukufu. Kipengele hichi kimepewa umuhimu maalum katika [[Hadithi|Riwaya za Kishia]], huku watu wakihimizwa kuzingatia na kutafakari juu ya maana na ukweli juu ya tashbihi zilizomo ndani ya Qur’ani. Kwa mujibu wa wafasiri wa Qur'ani, madhumuni ya kutoa mifano kwa njia ya tashbihi (matumizi ya lugha ya taswira), ni kurahisisha mafundisho magumu ili yawafikie watu wa kawaida kwa urahisi zaidi, kwani madhumuni ya kushuka kwa Qur’ani ni kufikisha ujumbe wa Mungu kwa kila mtu. Wafasiri wa Qur'ani wakibainisha lengo la uwepo wa tashbihi ndani ya Qur'ani sambamba na [[hoja za kiakili]], [[mijadala yenye busara]] na [[mawaidha]], wamesema kwamba; lengo la kutumia tashibihi hizo, ni kufanikisha uelewa wa watu kwa njia rahisi na sahihi. Imeelezwa kwamba; tashbihi (matumizi ya lugha ya taswira) za Qur’ani zimekuja kwa malengo ya kimalezi (kimaadili), zikilenga kuhimiza maadili tabia na mema, sambamba na kutoa mifano ya vitendo na vigezo ambavyo vinaweza kueleweka kirahisi na kuigwa na wanajamii. | ||
Kuna mitazamo miwili tofauti Katika kujadili tashbihi na matumizi ya lugha ya taswira za Qur'ani. Mmoja kati ya mitazamo hii inasema kuwa: tashibihi za Qur’ani haziwakilishi kitu chengine chochote kile zaidi ya kurahisisha dhana fulani katika akili ya msikilizaji. Kwa upande mwingine, kuna wale wanaodai kwamba; hakuna aina yoyote ile ya tashbihi au matumizi ya lugha ya taswira katika matumizi ya lugha za Qur'ani, na badala yake, tashibihi hizo zinaakisi uwepo wa mfano hai na wa ukweli juu ya jambo fulani. Kwa mujibu wa wafasiri wa Qur'ani, tashbihi za Qur'ani zinaweza kugawanywa katika makundi mbalimbali kulingana na vigezo tofauti. Haya ni pamoja na uwazi katika kubainisha nyenzo za tashbihi, idadi ya vishabihishwavyo, pamoja na mnasaba ambao umetumika katika tashbihi hizo. Kila kundi lina umuhimu wake katika kuelezea mifano na dhana mbalimbali za kiakili zinazopatikana ndani ya Qur'ani, na hivyo kuchangia katika uelewa wa kina wa mafundisho yake. Wafasiri wametaja sifa kadhaa muhimu kuhusiana na tashbihi za Qur'ani, zikiwemo "uwenevu na upana wa mtando wake," ambao unaonyesha uwezo wa tashbihi hizo katika kufafanua kwa kina dhana mbalimbali. Pia nyengine iliyotajwa na wafasiri hao ni sifa ya «wepesi na urahisi wa welewa wake mbele ya watu mbali mbali», sifa yenye kuonesha jinsi ya Qur’ani inavyotoa kipaumbele, kwenye masuala ya kuwasilisha dhana zake mbali mbali kwa wahusika wake njia rahisi na kuepuka vikwazo katika ufukishaji huo. | Kuna mitazamo miwili tofauti Katika kujadili tashbihi na matumizi ya lugha ya taswira za Qur'ani. Mmoja kati ya mitazamo hii inasema kuwa: tashibihi za Qur’ani haziwakilishi kitu chengine chochote kile zaidi ya kurahisisha dhana fulani katika akili ya msikilizaji. Kwa upande mwingine, kuna wale wanaodai kwamba; hakuna aina yoyote ile ya tashbihi au matumizi ya lugha ya taswira katika matumizi ya lugha za Qur'ani, na badala yake, tashibihi hizo zinaakisi uwepo wa mfano hai na wa ukweli juu ya jambo fulani. Kwa mujibu wa wafasiri wa Qur'ani, tashbihi za Qur'ani zinaweza kugawanywa katika makundi mbalimbali kulingana na vigezo tofauti. Haya ni pamoja na uwazi katika kubainisha nyenzo za tashbihi, idadi ya vishabihishwavyo, pamoja na mnasaba ambao umetumika katika tashbihi hizo. Kila kundi lina umuhimu wake katika kuelezea mifano na dhana mbalimbali za kiakili zinazopatikana ndani ya Qur'ani, na hivyo kuchangia katika uelewa wa kina wa mafundisho yake. Wafasiri wametaja sifa kadhaa muhimu kuhusiana na tashbihi za Qur'ani, zikiwemo "uwenevu na upana wa mtando wake," ambao unaonyesha uwezo wa tashbihi hizo katika kufafanua kwa kina dhana mbalimbali. Pia nyengine iliyotajwa na wafasiri hao ni sifa ya «wepesi na urahisi wa welewa wake mbele ya watu mbali mbali», sifa yenye kuonesha jinsi ya Qur’ani inavyotoa kipaumbele, kwenye masuala ya kuwasilisha dhana zake mbali mbali kwa wahusika wake njia rahisi na kuepuka vikwazo katika ufukishaji huo. | ||
Mstari 9: | Mstari 9: | ||
Mtindo ya kutumia lugha ya tashbihi katika uliotumiwa na Qur’ani katika ubainishaji na uwasilishaji, unatambuliwa kama ni mojawapo ya mitindo yake mitano muhimu ya uwasilishaji wake. Kwa mujibu wa Riwaya ya bwana [[Mtume (s.a.w.w)]], lugha ya mafumbo na tashbihi ni sehemu ya mitindo mitano ya kipekee inayotumiwa katika Qur'ani. [1] Kwa mujibu wa watafiti, mtindo huu wa lugha ya tashbihi na mafumbo ndani ya Qur'ani unaweza kufunika nyanja mbalimbali, zikiwemo za kisayansi, kimaadili, kielimu, na kijamii. [2] Baadhi ya watafiti wa Qur'ani wanaona kuwa matumizi ya lugha ya tashbihi katika Qur'ani ni moja ya ishara za miujiza yake, ikionesha uwezo wa hali ya juu wa kuelezea dhana ngumu kwa namna inayoeleweka kwa watu wote bila ya pingamizi. [3] | Mtindo ya kutumia lugha ya tashbihi katika uliotumiwa na Qur’ani katika ubainishaji na uwasilishaji, unatambuliwa kama ni mojawapo ya mitindo yake mitano muhimu ya uwasilishaji wake. Kwa mujibu wa Riwaya ya bwana [[Mtume (s.a.w.w)]], lugha ya mafumbo na tashbihi ni sehemu ya mitindo mitano ya kipekee inayotumiwa katika Qur'ani. [1] Kwa mujibu wa watafiti, mtindo huu wa lugha ya tashbihi na mafumbo ndani ya Qur'ani unaweza kufunika nyanja mbalimbali, zikiwemo za kisayansi, kimaadili, kielimu, na kijamii. [2] Baadhi ya watafiti wa Qur'ani wanaona kuwa matumizi ya lugha ya tashbihi katika Qur'ani ni moja ya ishara za miujiza yake, ikionesha uwezo wa hali ya juu wa kuelezea dhana ngumu kwa namna inayoeleweka kwa watu wote bila ya pingamizi. [3] | ||
'''Dua ya Imamu Sajaad ( | '''Dua ya Imamu Sajaad (a.s) Kuhusiana na Lugha ya Tashbihi''' | ||
Ewe Mola, mteremshie rehema Muhammad na Aali zake, na ijaalie Qur'ani iwe mliwaza wetu katika mausiku yeneye giza zito... ili mioyo yetu ipate kuelewa vyema maajabu yake, na ili lugha za tashbibi zilizomo ndani yake zitulie nyoni mwetu, lugha ambazo hata milima madhubuti haiwezi kuhimili uhalisia wa lugha hizo. [4] | Ewe Mola, mteremshie rehema Muhammad na Aali zake, na ijaalie Qur'ani iwe mliwaza wetu katika mausiku yeneye giza zito... ili mioyo yetu ipate kuelewa vyema maajabu yake, na ili lugha za tashbibi zilizomo ndani yake zitulie nyoni mwetu, lugha ambazo hata milima madhubuti haiwezi kuhimili uhalisia wa lugha hizo. [4] | ||
Hadith za Shia zinaliangalia kwa jicho la ndani kabisa suala la matumizi ya lugha ya taswira na tashibihi lililopo katika Qur'ani Tukufu. Kwa mfano, katika riwaya iliyosimuliwa kutoka kwa [[Imamu Ali (a.s)]], imeeleawa kuwa; moja ya faida za matumizi ya lugha za tashbihi katika Qur'an ni kuwapa somo na mazingatio watu mbai mbali. [5] Katika sehemu nyingine, matimizi ya lugha za taswira katika Qur'ani yamewekwa sambamba na sifa nyengne za Qur'ani, kama vile sifa ya hidaya na sifa ya kutoa mwongozo wazi kwa wahusika wake. [6] Pia kulingana na Riwaya iliyopokewa kutoka kwa [[Imamu Baqir (a.s)]], ni kwamba; Qur'ani imekuja katika sura nne katika uwasilishaji wake, ambapo lugha ya mifano na tashbihi, na mfumo wa sunna za Mwenye Ezi Mungu ni miongoni mwa sura nne hizo. [7] Na [[Imamu Swadiq (a.s)]], katika moja ya Hadithi zake anasema kwamba; lugha za mifano zilizomo ndani ya Qur'ani zina faida mno; Kwa hiyo ziangalieni kwa makini na mufikirie maana zake kwa kina na wala msizipite bila ya kuzijali. [8] | Hadith za Shia zinaliangalia kwa jicho la ndani kabisa suala la matumizi ya lugha ya taswira na tashibihi lililopo katika Qur'ani Tukufu. Kwa mfano, katika riwaya iliyosimuliwa kutoka kwa [[Imamu Ali (a.s)]], imeeleawa kuwa; moja ya faida za matumizi ya lugha za tashbihi katika Qur'an ni kuwapa somo na mazingatio watu mbai mbali. [5] Katika sehemu nyingine, matimizi ya lugha za taswira katika Qur'ani yamewekwa sambamba na sifa nyengne za Qur'ani, kama vile sifa ya hidaya na sifa ya kutoa mwongozo wazi kwa wahusika wake. [6] Pia kulingana na Riwaya iliyopokewa kutoka kwa [[Imamu Baqir (a.s)]], ni kwamba; Qur'ani imekuja katika sura nne katika uwasilishaji wake, ambapo lugha ya mifano na tashbihi, na mfumo wa sunna za Mwenye Ezi Mungu ni miongoni mwa sura nne hizo. [7] Na [[Imamu Swadiq (a.s)]], katika moja ya Hadithi zake anasema kwamba; lugha za mifano zilizomo ndani ya Qur'ani zina faida mno; Kwa hiyo ziangalieni kwa makini na mufikirie maana zake kwa kina na wala msizipite bila ya kuzijali. [8] | ||
== Nafasi ya Lugha za Tashbihi katika Kuelewa Dhana za Qur'ani == | == Nafasi ya Lugha za Tashbihi katika Kuelewa Dhana za Qur'ani == |