Nenda kwa yaliyomo

Tashbihi katika Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
Mstari 8: Mstari 8:

Mtindo ya kutumia lugha ya tashbihi katika uliotumiwa na Qur’ani katika ubainishaji na uwasilishaji, unatambuliwa kama ni mojawapo ya mitindo yake mitano muhimu ya uwasilishaji wake. Kwa mujibu wa Riwaya ya bwana [[Mtume (s.a.w.w)]], lugha ya mafumbo na tashbihi ni sehemu ya mitindo mitano ya kipekee inayotumiwa katika Qur'ani. [1] Kwa mujibu wa watafiti, mtindo huu wa lugha ya tashbihi na mafumbo ndani ya Qur'ani unaweza kufunika nyanja mbalimbali, zikiwemo za kisayansi, kimaadili, kielimu, na kijamii. [2] Baadhi ya watafiti wa Qur'ani wanaona kuwa matumizi ya lugha ya tashbihi katika Qur'ani ni moja ya ishara za miujiza yake, ikionesha uwezo wa hali ya juu wa kuelezea dhana ngumu kwa namna inayoeleweka kwa watu wote bila ya pingamizi. [3]

{{Quote box
'''Dua ya Imamu Sajaad (a.s) Kuhusiana na Lugha ya Tashbihi'''
|quote  = <center>'''Dua ya Imamu Sajaad (a.s) Kuhusiana na Lugha ya Tashbihi'''</center><small>Ewe Mola, mteremshie rehema Muhammad na Aali zake, na ijaalie Qur'ani iwe mliwaza wetu katika mausiku yeneye giza zito... ili mioyo yetu ipate kuelewa vyema maajabu yake, na ili lugha za tashbibi zilizomo ndani yake zitulie nyoni mwetu, lugha ambazo hata milima madhubuti haiwezi kuhimili uhalisia wa lugha hizo. [4]</small>
 
|align =
Ewe Mola, mteremshie rehema Muhammad na Aali zake, na ijaalie Qur'ani iwe mliwaza wetu katika mausiku yeneye giza zito... ili mioyo yetu ipate kuelewa vyema maajabu yake, na ili lugha za tashbibi zilizomo ndani yake zitulie nyoni mwetu, lugha ambazo hata milima madhubuti haiwezi kuhimili uhalisia wa lugha hizo. [4]
|tstyle = teɗt-align: right;
|bgcolor = #d3fdfd
|source =
|qalign = left
|width  = 100%
}}

Hadith za Shia zinaliangalia kwa jicho la ndani kabisa suala la matumizi ya lugha ya taswira na tashibihi lililopo katika Qur'ani Tukufu. Kwa mfano, katika riwaya iliyosimuliwa kutoka kwa [[Imamu Ali (a.s)]], imeeleawa kuwa; moja ya faida za matumizi ya lugha za tashbihi katika Qur'an ni kuwapa somo na mazingatio watu mbai mbali. [5] Katika sehemu nyingine, matimizi ya lugha za taswira katika Qur'ani yamewekwa sambamba na sifa nyengne za Qur'ani, kama vile sifa ya hidaya na sifa ya kutoa mwongozo wazi kwa wahusika wake. [6] Pia kulingana na Riwaya iliyopokewa kutoka kwa [[Imamu Baqir (a.s)]], ni  kwamba; Qur'ani imekuja katika sura nne katika uwasilishaji wake, ambapo lugha ya mifano na tashbihi, na mfumo wa sunna za Mwenye Ezi Mungu ni miongoni mwa sura nne hizo. [7] Na [[Imamu Swadiq (a.s)]], katika moja ya Hadithi zake anasema kwamba; lugha za mifano zilizomo ndani ya Qur'ani zina faida mno; Kwa hiyo ziangalieni kwa makini na mufikirie maana zake kwa kina na wala msizipite bila ya kuzijali. [8]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,403

edits