Nenda kwa yaliyomo

Tashbihi katika Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 50: Mstari 50:
# Kuchochea Fikra na Mawazo ya Mwanadamu: Lugha za mifano huwatia watu hamasa ya kujitahmini na kutafakari, ikiimarisha uwezo wao wa kiakili na kuwasaidia kuelewa changamoto mbalimbali zinazowakabili. [26]
# Kuchochea Fikra na Mawazo ya Mwanadamu: Lugha za mifano huwatia watu hamasa ya kujitahmini na kutafakari, ikiimarisha uwezo wao wa kiakili na kuwasaidia kuelewa changamoto mbalimbali zinazowakabili. [26]


Kwa mfano, kuhusiana na suala la kumzindua mwanadamu kwa lengo la kumlea kimaadili, katika Aya ya 261 ya [[Surat Al-Baqara]], Mwenye Ezi Mungu amemlinganisha mtoaji [[sadaka]] na mbegu ipadwayo na kutoa matunda kadhaa, ila kwa kuzingatia madhara ya masimbulizi yanayofuatia baada ya utoaji sadaka yanayoweza kufanya na baadhi ya watoa sadaka, Mwenye Ezi Mungu katika Suratu Al-Aya ya 264 Baqara, ameilinganisha sadaka ya mtu wa aina hii, na vumbi jepesi lillopo juu ya jiwe. Vumbi ambalo halina uwezo wa kuvumilia upepo wala mvua,  ambapo mvua chache tu huliacha jiwe hilo likiwa safi bila vumbi. [27] [[Allamah Tabatabai]], mwandishi wa [[Tafsir al-Mizan]], akielezea malengo ya lugha za mifano katika Qur'ani, katika tafsir ya [[Aya ya 39 ya Surat Furqan]], isemayo; «{{Arabicوَكُلًّا ضَرَبْنا لَهُ الْأَمْثالَ}} ; Na kila kundi tulilifahamisha kupia lugha ya tashbihi (mifano)», anasema kwamba; Aya hii inakusudia kusema kuwa; Mwenye Ezi Mungu hutumia lugha za mifano na tashibihi kwa nia ya; kukumbusha, kuhubiri na kutoa onyo. [28]
Kwa mfano, kuhusiana na suala la kumzindua mwanadamu kwa lengo la kumlea kimaadili, katika Aya ya 261 ya [[Surat Al-Baqara]], Mwenye Ezi Mungu amemlinganisha mtoaji [[sadaka]] na mbegu ipadwayo na kutoa matunda kadhaa, ila kwa kuzingatia madhara ya masimbulizi yanayofuatia baada ya utoaji sadaka yanayoweza kufanya na baadhi ya watoa sadaka, Mwenye Ezi Mungu katika Suratu Al-Aya ya 264 Baqara, ameilinganisha sadaka ya mtu wa aina hii, na vumbi jepesi lillopo juu ya jiwe. Vumbi ambalo halina uwezo wa kuvumilia upepo wala mvua,  ambapo mvua chache tu huliacha jiwe hilo likiwa safi bila vumbi. [27] [[Allamah Tabatabai]], mwandishi wa [[Tafsir al-Mizan]], akielezea malengo ya lugha za mifano katika Qur'ani, katika tafsir ya [[Aya ya 39 ya Surat Furqan]], isemayo; «{{Arabic|وَكُلًّا ضَرَبْنا لَهُ الْأَمْثالَ}} ; Na kila kundi tulilifahamisha kupia lugha ya tashbihi (mifano)», anasema kwamba; Aya hii inakusudia kusema kuwa; Mwenye Ezi Mungu hutumia lugha za mifano na tashibihi kwa nia ya; kukumbusha, kuhubiri na kutoa onyo. [28]


== Bibliografia ==
== Bibliografia ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,403

edits