Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho
→Utambuzi wa Maana
(→Daraja) |
|||
Mstari 11: | Mstari 11: | ||
:''Makala kuu: Hijra [[kulelekea Madina]]'' | :''Makala kuu: Hijra [[kulelekea Madina]]'' | ||
Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha Waislamu wote waliohajiri na kuhama kwa amri ya Mtume (s.a.w.w.) [1]kutoka Makka na kwenda Madina kutokana na mateso na maudhi ya washirikina wa Makka. Aidha Waislamu wa Madina ambao walipokea Mtume (s.a.w.w) na Waislamu wengine huko Madina [2] wanajulikana kwa jina la Ansari. [3] Kwa msingi huo, Ansari ni Waislamu wa Madina waliompokea Mtume na Muhajirina waliotokea Makka. | Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha [[Waislamu]] wote waliohajiri na kuhama kwa amri ya Mtume (s.a.w.w.) [1] kutoka [[Makka]] na kwenda [[Madina]] kutokana na mateso na maudhi ya [[washirikina]] wa Makka. Aidha, Waislamu wa Madina ambao walipokea [[Mtume (s.a.w.w)]] na Waislamu wengine huko Madina [2] wanajulikana kwa jina la [[Ansari]]. [3] Kwa msingi huo, Ansari ni Waislamu wa Madina waliompokea Mtume na Muhajirina waliotokea Makka. | ||
Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha Waislamu wote waliohama kutoka Makka kwenda Madina hadi kutekwa na kukombolewa Makka katika mwaka wa nane wa Hijiria. | Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha Waislamu wote waliohama kutoka Makka kwenda Madina hadi kutekwa na [[kukombolewa Makka]] katika [[mwaka wa nane wa Hijiria]]. Pamoja na hayo, Waislamu ambao waliwasili na kuingia Madina kabla ya [[Sulhu ya Hudaybiyah]] ([[mwaka wa 6 wa Hijria]]) wana hadhi na nafasi ya juu zaidi. [4] | ||
== Daraja == | == Daraja == |