Nenda kwa yaliyomo

Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 21: Mstari 21:
Katika Qur'an, neno linalotokana na hijra (kuhama na kuhajiri) limetajwa mara 24 kwa anuani ya Muhajirina: ({{Arabic|الذین هاجروا و مَن هاجر}}), Pia, Qur'an imewataja Muhajirina pamoja na wanajihadi [7] na kuwasifu kwa sifa za [[subira]] na [[kutawakali]] kwa Mwenyezi Mungu imani [8] 9] na Waumini wa kweli [10] ambao kwa kuhajiri kwao imani yao imethibiti. [11] Qur’ani Tukufu inazungumzia kusamehewa [[dhambi]] zao [12] na kuingizwa [[peponi]]. [13] Hata hivyo kwa mujibu wa wanazuoni wa Waislamu wa madhehebu ya [[Shia]] ni kwamba, inafahamika dhahiri ya Aya kwamba, makusudio ya [[Mwenyezi Mungu]] ni wale Muhajrina [14] ambao walibakia katika ahadi yao na hawakubalika na sio Muhajrina wote. [15]

Kuwa muhujar (mtu aliyehama Makka na kwenda Madina) kulihesabiwa kuwa na heshima na hadhi kubwa katika karne za kwanza za Hijria; Omar bin al-Khattab, alikuwa akiwapa Muhajirina hisa zaidi wakati wa ugawaji wa Bait al-Mal, kutokana na kutangulia kwao katika Uislamu, na aliwachagua wajumbe wa baraza la watu sita kutoka miongoni mwao ili kumchagua khalifa na mrithi wa uongozi baada ya Mtume; ingawa kazi ya kuifuatilia na kusimamia aliikabidhi kwa [[Ansari]]. [16]
Kuwa muhujar (mtu aliyehama Makka na kwenda Madina) kulihesabiwa kuwa na heshima na hadhi kubwa katika karne za kwanza za Hijria; [[Omar bin al-Khattab]], alikuwa akiwapa Muhajirina hisa zaidi wakati wa ugawaji wa [[Bait al-Mal]], kutokana na kutangulia kwao katika [[Uislamu]], [16] na aliwachagua wajumbe wa [[baraza la watu sita]] kutoka miongoni mwao ili kumchagua khalifa na mrithi wa uongozi baada ya Mtume; [17] ingawa kazi ya kuifuatilia na kusimamia aliikabidhi kwa [[Ansari]]. [18]

== Muhajirina wa Mwanzo ==
== Muhajirina wa Mwanzo ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,842

edits