Nenda kwa yaliyomo

Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
''Makala hii inahusiana na Muhajirina. Ili kujua kuhusiana na maana ya kuhajiri au kuguura (hijra) kuelekea Madina na Uhabeshi angalia makala za Hijra kuelekea Madina na Hijra kuelelea Uhabeshi.''
:''Makala hii inahusiana na Muhajirina. Ili kujua kuhusiana na maana ya kuhajiri au kuguura (hijra) [[kuelekea Madina]] na [[Uhabeshi]] angalia makala za Hijra kuelekea Madina na Hijra kuelelea Uhabeshi.''


'''Muhajirina''' (Kiarabu:{{Arabic| المهاجرون}}) ni Waislamu waliokuwa wakiishi Makka na baada ya kusilimu na kustahimili mashinikizo ya washirikina, walihajiri na kuhahamia Madina kwa amri ya Mtume (s.a.w.w). Muhajrina  hao walikuwa na nafasi kubwa katika kuutangaza Uislamu kwa kuhama na kuhajiri kwao huko, na walistahimili matatizo na masaibu mengi katika  njia hii; kwa msingi huo, Mtume (s.a.w.w) aliwazingatia sana na Qur’ani imewataja kwa wema.
'''Muhajirina''' (Kiarabu:{{Arabic| المهاجرون}}) ni Waislamu waliokuwa wakiishi [[Makka]] na baada ya kusilimu na kustahimili mashinikizo ya [[washirikina]], walihajiri na kuhahamia Madina kwa amri ya [[Mtume (s.a.w.w)]]. Muhajrina  hao walikuwa na nafasi kubwa katika kuutangaza [[Uislamu]] kwa kuhama na kuhajiri kwao huko, na walistahimili matatizo na masaibu mengi katika  njia hii; kwa msingi huo, Mtume (s.a.w.w) aliwazingatia sana na Qur’ani imewataja kwa wema.


Kabla ya Uislamu, kulikuweko na uadui na migogoro baina ya watu wa Makka na Madina, ambayo ilitoweka baada ya Bwana Mtume kugura na kuhamia Madina na kuungwa udugu baina ya Muhajirina na Ansari. Lakini baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w) ushindani kati ya Ansari na Muhajirina ulianza tena na ukaendelea mpaka katika zama za Bani Umayyah. Mfano wa hili ulikuwa ni ushindani baina ya Muhajirina na Ansari katika tukio la Saqifa, ambapo Abu Bakr bin Abi Quhafa alifanikiwa kuwa Khalifa kwa himaya na uungaji mkono wa Muhajirina.
Kabla ya Uislamu, kulikuweko na uadui na migogoro baina ya watu wa Makka na Madina, ambayo ilitoweka baada ya Bwana Mtume kugura na kuhamia Madina na [[kuungwa udugu]] baina ya Muhajirina na Ansari. Lakini baada ya [[kifo cha Mtume (s.a.w.w)]] ushindani kati ya [[Ansari]] na Muhajirina ulianza tena na ukaendelea mpaka katika zama za [[Bani Umayyah]]. Mfano wa hili ulikuwa ni ushindani baina ya Muhajirina na Ansari katika [[tukio la Saqifa]], ambapo [[Abu Bakr bin Abi Quhafa]] alifanikiwa kuinia katika [[Ukhalifa]] kwa himaya na uungaji mkono wa Muhajirina.


Imam Ali (a.s) Imamu wa kwanza wa Mashia, Bibi Fatima, binti wa Mtume (s.a.w.w) Abu Salama, Umm Salama, Hamza bin Abdul Muttalib, ami yake Mtume na makhalifa watatu, ni miongoni mwa Muhajirina mashuhuri na watajika.
[[Imam Ali (a.s)]] Imamu wa kwanza wa Mashia, [[Bibi Fatima amani iwe juu yake|Bibi Fatima]], binti wa Mtume (s.a.w.w) [[Abu Salama]], [[Ummu Salama]], [[Hamza bin Abdul Muttalib]], ami yake Mtume na [[makhalifa watatu]], ni miongoni mwa Muhajirina mashuhuri na watajika.


== Utambuzi wa Maana ==
== Utambuzi wa Maana ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,842

edits