Nenda kwa yaliyomo

Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 17: Mstari 17:
== Daraja ==
== Daraja ==


Kwa mujibu wa Ayatullah Makarem Shirazi, Marjaa Taqlid na mfasiri wa Qur'ani ni kuwa, Mtume (s.a.w.w) aliwajali na kuwazingatia sana Muhajirina; kwa sababu waliweka maisha yao ya kimaada na mali zao kwenye huduma ya mwito na da’wa yake na kwa kuhajiri kwao wakaifikisha sauti ya Uislamu katika masikio ya walimwengu. [5]
Kwa mujibu wa [[Ayatullah Makarim Shirazi]], [[Marjaa Taqlid]] na [[mfasiri wa Qur'ani]] ni kuwa, [[Mtume (s.a.w.w)]] aliwajali na kuwazingatia sana Muhajirina; kwa sababu waliweka maisha yao ya kimaada na mali zao kwenye huduma ya mwito na da’wa yake na kwa kuhajiri kwao wakaifikisha sauti ya Uislamu katika masikio ya walimwengu. [5]


Katika Qur'an, neno linalotokana na hijra (kuhama na kuhajiri) limetajwa mara 24 kwa anuani ya Muhajirina: {{Arabic|الذین هاجروا و مَن هاجر}}, Pia, Qur'an imewataja Muhajirina pamoja na wanajihadi [7] na kuwasifu kwa sifa za subirana kutawakali kwa Mwenyezi Mungu imani [8] 9] na Waumini wa kweli [10] ambao kwa kuhajiri kwao imani yao imethibiti. [11] Qur’ani Tukufu inazungumzia kusamehewa dhambi zao [12] na kuingizwa peponi. [13] Hata hivyo kwa mujibu wa wanazuoni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia ni kwamba, inafahamika dhahiri ya Aya kwamba, makusudio ya Mwenyezi Mungu ni wale Muhajrina [14] ambao walibakia katika ahadi yao na hawakubalika na sio Muhajrina wote. [15] Kuwa muhujar (mtu aliyehama Makka na kwenda Madina) kulihesabiwa kuwa na heshima na hadhi kubwa katika karne za kwanza za Hijria; Omar bin al-Khattab, alikuwa akiwapa Muhajirina hisa zaidi wakati wa ugawaji wa Bait al-Mal, kutokana na kutangulia kwao katika Uislamu, na aliwachagua wajumbe wa baraza la watu sita kutoka miongoni mwao ili kumchagua khalifa na mrithi wa uongozi baada ya Mtume; ingawa kazi ya kuifuatilia na kusimamia aliikabidhi kwa [[Ansari]].  [16]
Katika Qur'an, neno linalotokana na hijra (kuhama na kuhajiri) limetajwa mara 24 kwa anuani ya Muhajirina: ({{Arabic|الذین هاجروا و مَن هاجر}}), Pia, Qur'an imewataja Muhajirina pamoja na wanajihadi [7] na kuwasifu kwa sifa za [[subira]] na [[kutawakali]] kwa Mwenyezi Mungu imani [8] 9] na Waumini wa kweli [10] ambao kwa kuhajiri kwao imani yao imethibiti. [11] Qur’ani Tukufu inazungumzia kusamehewa [[dhambi]] zao [12] na kuingizwa [[peponi]]. [13] Hata hivyo kwa mujibu wa wanazuoni wa Waislamu wa madhehebu ya [[Shia]] ni kwamba, inafahamika dhahiri ya Aya kwamba, makusudio ya [[Mwenyezi Mungu]] ni wale Muhajrina [14] ambao walibakia katika ahadi yao na hawakubalika na sio Muhajrina wote. [15]
 
Kuwa muhujar (mtu aliyehama Makka na kwenda Madina) kulihesabiwa kuwa na heshima na hadhi kubwa katika karne za kwanza za Hijria; Omar bin al-Khattab, alikuwa akiwapa Muhajirina hisa zaidi wakati wa ugawaji wa Bait al-Mal, kutokana na kutangulia kwao katika Uislamu, na aliwachagua wajumbe wa baraza la watu sita kutoka miongoni mwao ili kumchagua khalifa na mrithi wa uongozi baada ya Mtume; ingawa kazi ya kuifuatilia na kusimamia aliikabidhi kwa [[Ansari]].  [16]


== Muhajirina wa Mwanzo ==
== Muhajirina wa Mwanzo ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,842

edits