Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho
→Muhajirina wa Mwanzo
Mstari 23: | Mstari 23: | ||
== Muhajirina wa Mwanzo == | == Muhajirina wa Mwanzo == | ||
Kabla ya Mtume (s.a.w.w) kuhamia Madina, aliwaamuru masahaba zake waanze safari ya kuelekee Madina. [17] Ali bin Husseri Mas’oudi anasema, baadhi ya watu wa kwanza kuingia Madina kabla ya Mtume (s.a.w.w) walikuwa: Abdullah bin Abdul Asad, Aamir bin Rabi'ah, Abdullah bin Jahsh, Omar bin Khattab na Ayash bin Abi Rabi'ah bin Yahya.[18] Baladhuri mwanahistoria wa karne ya tatu, anawachukulia Muhajirina wa kwanza kuwa Mus’ab bin Umayr na Ibn Umm Maktum, ambao walifika na kuingia Madina kabla ya Abdullah bin Abdul Asad. [19] Kwa mujibu wa ripoti yake, Mus’ab bin Umayr alitumwa Madina Mtume (s.a.w.w) katika mwaka wa kumi na mbili tangu kubaathiwa na kupewa Utume Mtume kwa ajili ya kwenda kuhubiri dini ya Kiislamu na kwamba, alitumwa huko baada ya Baiya ya Aqaba. [20] | Kabla ya Mtume (s.a.w.w) kuhamia Madina, aliwaamuru masahaba zake waanze safari ya kuelekee Madina. [17] [[Ali bin Husseri Mas’oudi]] anasema, baadhi ya watu wa kwanza kuingia Madina kabla ya Mtume (s.a.w.w) walikuwa: [[Abdullah bin Abdul Asad]], [[Aamir bin Rabi'ah]], [[Abdullah bin Jahsh]], [[Omar bin Khattab]] na Ayash bin Abi Rabi'ah bin Yahya.[18] Baladhuri mwanahistoria wa karne ya tatu, anawachukulia Muhajirina wa kwanza kuwa [[Mus’ab bin Umayr]] na [[Ibn Umm Maktum]], ambao walifika na kuingia Madina kabla ya Abdullah bin Abdul Asad. [19] Kwa mujibu wa ripoti yake, Mus’ab bin Umayr alitumwa Madina Mtume (s.a.w.w) katika mwaka wa kumi na mbili tangu kubaathiwa na kupewa Utume Mtume kwa ajili ya kwenda kuhubiri [[dini ya Kiislamu]] na kwamba, alitumwa huko baada ya [[Baiya ya Aqaba]]. [20] | ||
== Muamala wa Washirikina wa Makka dhidi ya Muhajirina == | == Muamala wa Washirikina wa Makka dhidi ya Muhajirina == |