Nenda kwa yaliyomo

Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 27: Mstari 27:
== Muamala wa Washirikina wa Makka dhidi ya Muhajirina ==
== Muamala wa Washirikina wa Makka dhidi ya Muhajirina ==

Kwa mujibu wa ripoti za kihistoria, washirikina wa Makka walilikuwa wakiwazuia Waislamu kuhamia Madina kwa njia mbalimbali; waliwaweka baadhi ya watu gerezani na pia wakazuia baadhi ya familia za muhajirina kujumuika nao. Miongoni mwa matukio hayo ni kuwazuia kwa muda [[Ummu Salama]] mke wa Abu Salama (Abdullah bin Abdul Asad) na mwanawe kwenda Madina. [21] Na [[Sohayb Rumi]] aliruhusiwa kuhajiri na kwenda Madina lakini makabala wake atoe mali yake. [22]
Kwa mujibu wa ripoti za kihistoria, washirikina wa Makka walilikuwa wakiwazuia Waislamu kuhamia Madina kwa njia mbalimbali; waliwaweka baadhi ya watu gerezani na pia wakazuia baadhi ya familia za muhajirina kujumuika nao. Miongoni mwa matukio hayo ni kuwazuia kwa muda [[Ummu Salama]] mke wa Abu Salama (Abdullah bin Abdul Asad) na mwanawe kwenda Madina. [21] Na [[Sohayb Rumi]] aliruhusiwa [[kuhajiri]] na kwenda Madina lakini makabala wake atoe mali yake. [22]

Kadhalika, baadhi ya Waislamu hawakuhama kwa sababu wake zao na watoto wao waliwavunja moyo na walikuwa wakilia na kuwazuia kuhama. ({{Arabic|يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّ مِنْ أَزْوَاجِكُمْ وَأَوْلَادِكُمْ عَدُوًّا لَكُمْ فَاحْذَرُوهُمْ}} ; Enyi mlio amini! Hakika miongoni mwa wake zenu na watoto wenu wamo maadui zenu, basi tahadharini nao). [23] [[Fadhl bin Hasan Tabarsi]], mfasiri wa Qur’ani wa Kishia katika [[karne ya sita ya Hijiria]], alinukuu kutoka kwa [[Ibn Abbas]] na [[Mujahid]] kwamba Aya hiyo ilishuka kuhusiana na maudhui hiyo. [24]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,842

edits