Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho
→Himaya na Uungaji Mkono wa Ansari kwa Muhajirina
Mstari 33: | Mstari 33: | ||
== Himaya na Uungaji Mkono wa Ansari kwa Muhajirina == | == Himaya na Uungaji Mkono wa Ansari kwa Muhajirina == | ||
Baada ya Mtume (s.a.w.w) kuhajiri na kuhamia Madina, alianzisha na kufunga udugu kati ya Muhajirina na Ansari. [ | Baada ya [[Mtume (s.a.w.w)]] kuhajiri na kuhamia Madina, alianzisha na [[kufunga udugu]] kati ya Muhajirina na Ansari. [27] Kwa mujibu wa maoni ya wengi, watu 45 kutoka miongoni mwa Muhajirina na na watu 45 kutoka upande wa Ansari walikuwepo katika makubaliano na mkataba huu wa udugu. [28] | ||
Mtume alianzisha udugu baina ya Abu Bakr na Khārija bin Zayd, Omar bin al-Khattab na ʿItbān bin Mālik, Uthman bin Affan na Aws bin | Mtume alianzisha udugu baina ya [[Abu Bakr]] na [[Khārija bin Zayd]], [[Omar bin al-Khattab]] na [[ʿItbān bin Mālik]], [[Uthman bin Affan]] na [[Aws bin Thabit al-Khazraji]], [[Abu Ubayda al-Jarrah]] na [[Sa'd bin Mu'adh]], [[Abd al-Rahman bin 'Awf]] na [[Sa'd b. Rabī']], [[Talha bin Ubaydulla]] na [[Kaʿb bin Malik]], [[Zubayr bin Awam]] na [[Salamah bin Salam]], [[Salman al-Farsi]] na [[Abu Darda’]], na [[Ammar bin Yasir]] na [[Hudhayfa bin Najjar]] au [[Thabit bin Qays]] kwa mujibu wa nukuu nyingine. [29] Aidha, Mtume kwa upande wake alifunga mkataba wa udugu na [[Ali bin Abi twalib (a.s)]]. [30] | ||
Ansari walikuwa wakitoa himaya na msaada wa kimaada kwa Muhajirina walioacha mali zao huko [[Makka]], hadi katika [[mwaka wa nne Hijria]] ambapo, Mtume (s.a.w.w) aligawanya [[ngawira]] zilizopatikana katika [[vita na Bani Nadhir]] miongoni mwa Muhajirina kwa makubaliano ya Ansari na hivyo himaya na msaada wa kimaada wa Muhajirina ukafikia tamati. [ | Ansari walikuwa wakitoa himaya na msaada wa kimaada kwa Muhajirina walioacha mali zao huko [[Makka]], hadi katika [[mwaka wa nne Hijria]] ambapo, Mtume (s.a.w.w) aligawanya [[ngawira]] zilizopatikana katika [[vita na Bani Nadhir]] miongoni mwa Muhajirina kwa makubaliano ya Ansari na hivyo himaya na msaada wa kimaada wa Muhajirina ukafikia tamati. [31] | ||
== Ushindani Baina ya Muhajirina na Ansari == | == Ushindani Baina ya Muhajirina na Ansari == |