Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
Makala hii inahusiana na Muhajirina. Ili kujua kuhusiana na maana ya kuhajiri au kuguura (hijra) kuelekea Madina na Uhabeshi angalia makala za Hijra kuelekea Madina na Hijra kuelelea Uhabeshi. | ''Makala hii inahusiana na Muhajirina. Ili kujua kuhusiana na maana ya kuhajiri au kuguura (hijra) kuelekea Madina na Uhabeshi angalia makala za Hijra kuelekea Madina na Hijra kuelelea Uhabeshi.'' | ||
'''Muhajirina''' ni Waislamu waliokuwa wakiishi Makka na baada ya kusilimu na kustahimili mashinikizo ya washirikina, walihajiri na kuhahamia Madina kwa amri ya Mtume (s.a.w.w). Muhajrina hao walikuwa na nafasi kubwa katika kuutangaza Uislamu kwa kuhama na kuhajiri kwao huko, na walistahimili matatizo na masaibu mengi katika njia hii; kwa msingi huo, Mtume (s.a.w.w) aliwazingatia sana na Qur’ani imewataja kwa wema. | '''Muhajirina''' (Kiarabu:{{Arabic| المهاجرون}}) ni Waislamu waliokuwa wakiishi Makka na baada ya kusilimu na kustahimili mashinikizo ya washirikina, walihajiri na kuhahamia Madina kwa amri ya Mtume (s.a.w.w). Muhajrina hao walikuwa na nafasi kubwa katika kuutangaza Uislamu kwa kuhama na kuhajiri kwao huko, na walistahimili matatizo na masaibu mengi katika njia hii; kwa msingi huo, Mtume (s.a.w.w) aliwazingatia sana na Qur’ani imewataja kwa wema. | ||
Kabla ya Uislamu, kulikuweko na uadui na migogoro baina ya watu wa Makka na Madina, ambayo ilitoweka baada ya Bwana Mtume kugura na kuhamia Madina na kuungwa udugu baina ya Muhajirina na Ansari. Lakini baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w) ushindani kati ya Ansari na Muhajirina ulianza tena na ukaendelea mpaka katika zama za Bani Umayyah. Mfano wa hili ulikuwa ni ushindani baina ya Muhajirina na Ansari katika tukio la Saqifa, ambapo Abu Bakr bin Abi Quhafa alifanikiwa kuwa Khalifa kwa himaya na uungaji mkono wa Muhajirina. | Kabla ya Uislamu, kulikuweko na uadui na migogoro baina ya watu wa Makka na Madina, ambayo ilitoweka baada ya Bwana Mtume kugura na kuhamia Madina na kuungwa udugu baina ya Muhajirina na Ansari. Lakini baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w) ushindani kati ya Ansari na Muhajirina ulianza tena na ukaendelea mpaka katika zama za Bani Umayyah. Mfano wa hili ulikuwa ni ushindani baina ya Muhajirina na Ansari katika tukio la Saqifa, ambapo Abu Bakr bin Abi Quhafa alifanikiwa kuwa Khalifa kwa himaya na uungaji mkono wa Muhajirina. | ||
Imam Ali (a.s) Imamu wa kwanza wa Mashia, Bibi Fatima, binti wa Mtume (s.a.w.w) Abu Salama, Umm Salama, Hamza bin Abdul Muttalib, ami yake Mtume na makhalifa watatu, ni miongoni mwa Muhajirina mashuhuri na watajika. | |||
''Makala kuu: Hijra kulelekea Madina'' | == Utambuzi wa Maana == | ||
:''Makala kuu: Hijra [[kulelekea Madina]]'' | |||
Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha Waislamu wote waliohajiri na kuhama kwa amri ya Mtume (s.a.w.w.) [1]kutoka Makka na kwenda Madina kutokana na mateso na maudhi ya washirikina wa Makka. Aidha Waislamu wa Madina ambao walipokea Mtume (s.a.w.w) na Waislamu wengine huko Madina [2] wanajulikana kwa jina la Ansari. [3] Kwa msingi huo, Ansari ni Waislamu wa Madina waliompokea Mtume na Muhajirina waliotokea Makka. | Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha Waislamu wote waliohajiri na kuhama kwa amri ya Mtume (s.a.w.w.) [1]kutoka Makka na kwenda Madina kutokana na mateso na maudhi ya washirikina wa Makka. Aidha Waislamu wa Madina ambao walipokea Mtume (s.a.w.w) na Waislamu wengine huko Madina [2] wanajulikana kwa jina la Ansari. [3] Kwa msingi huo, Ansari ni Waislamu wa Madina waliompokea Mtume na Muhajirina waliotokea Makka. | ||
Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha Waislamu wote waliohama kutoka Makka kwenda Madina hadi kutekwa na kukombolewa Makka katika mwaka wa nane wa Hijiria. Pamoja na hayo, Waislamu ambao waliwasili na kuingia Madina kabla ya Sulhu ya Hudaybiyah (mwaka wa 6 wa Hijria) wana hadhi na nafasi ya juu zaidi. [4] | Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha Waislamu wote waliohama kutoka Makka kwenda Madina hadi kutekwa na kukombolewa Makka katika mwaka wa nane wa Hijiria. Pamoja na hayo, Waislamu ambao waliwasili na kuingia Madina kabla ya Sulhu ya Hudaybiyah (mwaka wa 6 wa Hijria) wana hadhi na nafasi ya juu zaidi. [4] | ||
== Daraja == | |||
Kwa mujibu wa Ayatullah Makarem Shirazi, Marjaa Taqlid na mfasiri wa Qur'ani ni kuwa, Mtume (s.a.w.w) aliwajali na kuwazingatia sana Muhajirina; kwa sababu waliweka maisha yao ya kimaada na mali zao kwenye huduma ya mwito na da’wa yake na kwa kuhajiri kwao wakaifikisha sauti ya Uislamu katika masikio ya walimwengu. [5] | Kwa mujibu wa Ayatullah Makarem Shirazi, Marjaa Taqlid na mfasiri wa Qur'ani ni kuwa, Mtume (s.a.w.w) aliwajali na kuwazingatia sana Muhajirina; kwa sababu waliweka maisha yao ya kimaada na mali zao kwenye huduma ya mwito na da’wa yake na kwa kuhajiri kwao wakaifikisha sauti ya Uislamu katika masikio ya walimwengu. [5] | ||
Katika Qur'an, neno linalotokana na hijra (kuhama na kuhajiri) limetajwa mara 24 kwa anuani ya Muhajirina: | Katika Qur'an, neno linalotokana na hijra (kuhama na kuhajiri) limetajwa mara 24 kwa anuani ya Muhajirina: {{Arabic|الذین هاجروا و مَن هاجر}}, Pia, Qur'an imewataja Muhajirina pamoja na wanajihadi [7] na kuwasifu kwa sifa za subira, na kutawakali kwa Mwenyezi Mungu imani [8] 9] na Waumini wa kweli [10] ambao kwa kuhajiri kwao imani yao imethibiti. [11] Qur’ani Tukufu inazungumzia kusamehewa dhambi zao [12] na kuingizwa peponi. [13] Hata hivyo kwa mujibu wa wanazuoni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia ni kwamba, inafahamika dhahiri ya Aya kwamba, makusudio ya Mwenyezi Mungu ni wale Muhajrina [14] ambao walibakia katika ahadi yao na hawakubalika na sio Muhajrina wote. [15] | ||
Pia, Qur'an imewataja Muhajirina pamoja na wanajihadi [7] na kuwasifu kwa sifa za subira, na kutawakali kwa Mwenyezi Mungu imani [8] 9] na Waumini wa kweli [10] ambao kwa kuhajiri kwao imani yao imethibiti. [11] Qur’ani Tukufu inazungumzia kusamehewa dhambi zao [12] na kuingizwa peponi. [13] Hata hivyo kwa mujibu wa wanazuoni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia ni kwamba, inafahamika dhahiri ya Aya kwamba, makusudio ya Mwenyezi Mungu ni wale Muhajrina [14] ambao walibakia katika ahadi yao na hawakubalika na sio Muhajrina wote. [15] | |||
Kuwa muhujar (mtu aliyehama Makka na kwenda Madina) kulihesabiwa kuwa na heshima na hadhi kubwa katika karne za kwanza za Hijria; Omar bin al-Khattab, alikuwa akiwapa Muhajirina hisa zaidi wakati wa ugawaji wa Bait al-Mal, kutokana na kutangulia kwao katika Uislamu, [16] na aliwachagua wajumbe wa baraza la watu sita kutoka miongoni mwao ili kumchagua khalifa na mrithi wa uongozi baada ya Mtume [17]; ingawa kazi ya kuifuatilia na kusimamia aliikabidhi kwa Ansari. [18] | Kuwa muhujar (mtu aliyehama Makka na kwenda Madina) kulihesabiwa kuwa na heshima na hadhi kubwa katika karne za kwanza za Hijria; Omar bin al-Khattab, alikuwa akiwapa Muhajirina hisa zaidi wakati wa ugawaji wa Bait al-Mal, kutokana na kutangulia kwao katika Uislamu, [16] na aliwachagua wajumbe wa baraza la watu sita kutoka miongoni mwao ili kumchagua khalifa na mrithi wa uongozi baada ya Mtume [17]; ingawa kazi ya kuifuatilia na kusimamia aliikabidhi kwa Ansari. [18] |