Nenda kwa yaliyomo

Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii inahusiana na Muhajirina. Ili kujua kuhusiana na maana ya kuhajiri (hijra) kuelekea Madina na Uhabeshi angalia makala za Hijra kuelekea Madina na Hijra kuelelea Uhabeshi. '''Muhajirina''' ni Waislamu waliokuwa wakiishi Makka na baada ya kusilimu na kustahimili mashinikizo ya washirikina, walihajiri na kuhahamia Madina kwa amri ya Mtume (s.a.w.w). Muhajrina hao walikuwa na nafasi katika kuutangaza Uislamu kwa kuhama na kuhajiri kwao huko na wal...')
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Makala hii inahusiana na Muhajirina. Ili kujua kuhusiana na maana ya kuhajiri (hijra) kuelekea Madina na Uhabeshi angalia makala za Hijra kuelekea Madina na Hijra kuelelea Uhabeshi.
Makala hii inahusiana na Muhajirina. Ili kujua kuhusiana na maana ya kuhajiri au kuguura (hijra) kuelekea Madina na Uhabeshi angalia makala za Hijra kuelekea Madina na Hijra kuelelea Uhabeshi.

'''Muhajirina''' ni Waislamu waliokuwa wakiishi Makka na baada ya kusilimu na kustahimili mashinikizo ya washirikina, walihajiri na kuhahamia Madina kwa amri ya Mtume (s.a.w.w). Muhajrina  hao walikuwa na nafasi katika kuutangaza Uislamu kwa kuhama na kuhajiri kwao huko na walistahimili matatizo mengi katika  njia hii; kwa msingi huo, Mtume (s.a.w.w) aliwazingatia sana na Qur’ani imewataja kwa wema.
'''Muhajirina''' ni Waislamu waliokuwa wakiishi Makka na baada ya kusilimu na kustahimili mashinikizo ya washirikina, walihajiri na kuhahamia Madina kwa amri ya Mtume (s.a.w.w). Muhajrina  hao walikuwa na nafasi kubwa katika kuutangaza Uislamu kwa kuhama na kuhajiri kwao huko, na walistahimili matatizo na masaibu mengi katika  njia hii; kwa msingi huo, Mtume (s.a.w.w) aliwazingatia sana na Qur’ani imewataja kwa wema.
Kabla ya Uislamu, kulikuweko na uadui na migogoro baina ya watu wa Makka na Madina, ambayo ilitoweka baada ya Mtume kugura na kuhamia Madina na kuungwa udugu baina ya Muhajirina na Ansari. Lakini baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w) ushindani kati ya Ansari na Muhajirina ulianza tena na ukaendelea mpaka katika zama za Bani Umayyah. Mfano wa hili ulikuwa ni ushindani baina ya Muhajirina na Ansari katika tukio la Saqifa, ambapo Abu Bakr bin Abi Quhafa alifanikiwa kuwa Khalifa kwa himaya na uungaji mkono wa Muhajirina.
 
Kabla ya Uislamu, kulikuweko na uadui na migogoro baina ya watu wa Makka na Madina, ambayo ilitoweka baada ya Bwana Mtume kugura na kuhamia Madina na kuungwa udugu baina ya Muhajirina na Ansari. Lakini baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w) ushindani kati ya Ansari na Muhajirina ulianza tena na ukaendelea mpaka katika zama za Bani Umayyah. Mfano wa hili ulikuwa ni ushindani baina ya Muhajirina na Ansari katika tukio la Saqifa, ambapo Abu Bakr bin Abi Quhafa alifanikiwa kuwa Khalifa kwa himaya na uungaji mkono wa Muhajirina.
Imam Ali (a.s.) Imamu wa kwanza wa Mashia, Bibi Fatima, binti wa Mtume (s.a.w.w) Abu Salama, Umm Salama, Hamza bin Abdul Muttalib, ami yake Mtume na makhalifa watatu, ni miongoni mwa Muhajirina mashuhuri na watajika.

'''Utambuzi wa maana'''
'''Utambuzi wa maana'''

''Makala kuu: Hijra kulelekea Madina
''Makala kuu: Hijra kulelekea Madina''
''
 
Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha Waislamu wote waliohajiri na kuhama kwa amri ya Mtume (s.a.w.w.) [1]kutoka Makka na kwenda Madina kutokana na mateso na maudhi ya washirikina wa Makka. Aidha Waislamu wa Madina ambao walipokea Mtume (s.a.w.w) na Waislamu wengine huko Madina [2] wanajulikana kwa jina la Ansari. [3] Kwa msingi huo, Ansari ni Waislamu wa Madina waliompokea Mtume na Muhajirina waliotokea Makka.

Jina na anuani ya Muhajirina inajumuisha Waislamu wote waliohama kutoka Makka kwenda Madina hadi kutekwa na kukombolewa Makka katika mwaka wa nane wa Hijiria.  Pamoja na hayo, Waislamu ambao waliwasili na kuingia Madina kabla ya Sulhu ya Hudaybiyah (mwaka wa 6 wa Hijria) wana hadhi na nafasi ya juu zaidi. [4]

Mstari 18: Mstari 19:
Katika Qur'an, neno linalotokana na hijra (kuhama na kuhajiri) limetajwa mara 24 kwa anuani ya Muhajirina:
Katika Qur'an, neno linalotokana na hijra (kuhama na kuhajiri) limetajwa mara 24 kwa anuani ya Muhajirina:

[الذین هاجروا و مَن هاجر [6] Pia, Qur'an imewataja Muhajirina pamoja na wanajihadi [7] na kuwasifu kwa sifa za subira,  na kutawakali kwa Mwenyezi Mungu imani [8] 9] na Waumini wa kweli [10] ambao kwa kuhajiri kwao imani yao imethibiti. [11] Qur’ani Tukufu inazungumzia kusamehewa dhambi zao [12] na kuingizwa peponi. [13] Hata hivyo kwa mujibu wa wanazuoni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia ni kwamba, inafahamika dhahiri ya Aya kwamba, makusudio ya Mwenyezi Mungu ni wale Muhajrina [14] ambao walibakia katika ahadi yao na hawakubalika na sio Muhajrina wote. [15]
[الذین هاجروا و مَن هاجر [6]  
 
Pia, Qur'an imewataja Muhajirina pamoja na wanajihadi [7] na kuwasifu kwa sifa za subira,  na kutawakali kwa Mwenyezi Mungu imani [8] 9] na Waumini wa kweli [10] ambao kwa kuhajiri kwao imani yao imethibiti. [11] Qur’ani Tukufu inazungumzia kusamehewa dhambi zao [12] na kuingizwa peponi. [13] Hata hivyo kwa mujibu wa wanazuoni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia ni kwamba, inafahamika dhahiri ya Aya kwamba, makusudio ya Mwenyezi Mungu ni wale Muhajrina [14] ambao walibakia katika ahadi yao na hawakubalika na sio Muhajrina wote. [15]

Kuwa muhujar (mtu aliyehama Makka na kwenda Madina) kulihesabiwa kuwa na heshima na hadhi kubwa katika karne za kwanza za Hijria; Omar bin al-Khattab, alikuwa akiwapa Muhajirina hisa zaidi wakati wa ugawaji wa Bait al-Mal, kutokana na kutangulia kwao katika Uislamu, [16] na aliwachagua wajumbe wa baraza la watu sita kutoka miongoni mwao ili kumchagua khalifa na mrithi wa uongozi baada ya Mtume [17]; ingawa kazi ya kuifuatilia na kusimamia aliikabidhi kwa Ansari. [18]

Mstari 31: Mstari 34:

Kadhalika, baadhi ya Waislamu hawakuhama kwa sababu wake zao na watoto wao waliwavunja moyo na walikuwa wakilia na kuwazuia kuhama.  
Kadhalika, baadhi ya Waislamu hawakuhama kwa sababu wake zao na watoto wao waliwavunja moyo na walikuwa wakilia na kuwazuia kuhama.  
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّ مِنْ أَزْوَاجِكُمْ وَأَوْلَادِكُمْ عَدُوًّا لَكُمْ فَاحْذَرُوهُمْ[[25 ] »
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّ مِنْ أَزْوَاجِكُمْ وَأَوْلَادِكُمْ عَدُوًّا لَكُمْ فَاحْذَرُوهُمْ[[25 ] »

Mstari 41: Mstari 45:
Baada ya Mtume (s.a.w.w) kuhajiri na kuhamia Madina, alianzisha na kufunga udugu kati ya Muhajirina na Ansari. [27] Kwa mujibu wa maoni ya wengi, watu 45 kutoka miongoni mwa Muhajirina na na watu 45 kutoka upande wa Ansari walikuwepo katika makubaliano na mkataba huu wa udugu. [28]

Mtume alianzisha udugu baina ya Abu Bakr na Khārija bin Zayd, Omar bin al-Khattab na ʿItbān bin Mālik, Uthman bin Affan na Aws bin. Thabit Khazraji, Abu Ubayda al-Jarrah na Sa'd bin Mu'adh, Abd al-Rahman bin 'Awf na Sa'd b. Rabī', Talha bin. Ubaydulla na Kaʿb bin Malik, Zubayr bin Awam na Salamah bin Salam, Salman al-Farsi na Abu Darda’, na Ammar bin Yasir na  Hudhayfa bin. Najjar au Thabit bin Qays kwa mujibu wa nukuu nyingine. [29] Aidha Mtume kwa upande wake alifunga mkataba wa udugu na Ali bin Abi twalib (a.s). [30]
Mtume alianzisha udugu baina ya Abu Bakr na Khārija bin Zayd, Omar bin al-Khattab na ʿItbān bin Mālik, Uthman bin Affan na Aws bin. Thabit Khazraji, Abu Ubayda al-Jarrah na Sa'd bin Mu'adh, Abd al-Rahman bin 'Awf na Sa'd b. Rabī', Talha bin. Ubaydulla na Kaʿb bin Malik, Zubayr bin Awam na Salamah bin Salam, Salman al-Farsi na Abu Darda’, na Ammar bin Yasir na  Hudhayfa bin. Najjar au Thabit bin Qays kwa mujibu wa nukuu nyingine. [29]
 
Aidha Mtume kwa upande wake alifunga mkataba wa udugu na Ali bin Abi twalib (a.s). [30]
Ansari walikuwa wakitoa himaya na msaada wa kimaada kwa Muhajirina walioacha mali zao huko Makka, hadi katika mwaka wa nne Hijria ambapo, Mtume (s.a.w.w) aligawanya ngawira zilizopatikana katika vita na Bani Nadhir miongoni mwa Muhajirina kwa makubaliano ya Ansari na hivyo himaya na msaada wa kimaada wa Muhajirina ukafikia tamati. [31]

Ushindani baina ya Muhajirina na Ansari
Ushindani baina ya Muhajirina na Ansari

Kwa mujibu wa Javad Ali, mwandishi wa Al-Musafal Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam kabla ya Mtume kuhama Makka na kwenda Madina, kulikuwa na uadui kati ya watu wa Yathrib (Madina) na watu wa Makka, ambao ulitoweka kwa kuhamia Mtume (s.a.w.w)  katika mji wa Madina na kuanzishwa udugu baina ya Muhajir na Ansari. Hata hivyo baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w), kulidhihirika uadui na mivutano baina ya Muhajirina na Ansari; kama ilivyotajwa katika mashairi ya Hassaan bin Thabit, Nu’man bin Bashir na Tarmah bin Hakim. [32] Muhajirina walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa Mtume (s.a.w.w) alikuwa mmoja wao, na Ansari walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa wao walimpokea na kumhifadhi, na mama wa Mtume wa Mwenyezi Mungu. Mtume (s.a.w.w) anatoka katika kabila la Bani Najjar kutoka Madina. [33]
Kwa mujibu wa Javad Ali, mwandishi wa Al-Musafal Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam kabla ya Mtume kuhama Makka na kwenda Madina, kulikuwa na uadui kati ya watu wa Yathrib (Madina) na watu wa Makka, ambao ulitoweka kwa kuhamia Mtume (s.a.w.w)  katika mji wa Madina na kuanzishwa udugu baina ya Muhajir na Ansari. Hata hivyo baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w), kulidhihirika uadui na mivutano baina ya Muhajirina na Ansari; kama ilivyotajwa katika mashairi ya Hassaan bin Thabit, Nu’man bin Bashir na Tarmah bin Hakim. [32]
 
Muhajirina walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa Mtume (s.a.w.w) alikuwa mmoja wao, na Ansari walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa wao walimpokea na kumhifadhi, na mama wa Mtume wa Mwenyezi Mungu. Mtume (s.a.w.w) anatoka katika kabila la Bani Najjar kutoka Madina. [33]

Kwa mujibu wa Javad Ali, kulikuwa na mgogoro kati ya Muhajirina na Ansar wakati wa zama za Muawiya bin Abi Sufyan na zama za Yazid bin Muawiya; ingawa, katika kipindi hiki, neno Muhajirina na Ansari lilitumiwa kwa uchache mno na zaidi kulitumika maneno kama vile Qureshi na Yamani. [34]

Kwa mujibu wa vyanzo vya kihistoria, tukio la Saqifa ilikuwa medani na uwanja wa ushindani na mzozo kati ya Muhajirina na Ansari. [35] Wakati wa kupewa baiya na kiapo cha utii Abu Bakr, Habab bin Mundhir, ambaye alikuwa anatokana na Ansari, alichomoa upanga na kuwaelekezea Muhajirina.  Aidha Omar bin Khattab alimhutubu Saad bin Ubadah, aliyekuwa mmoja wa shakhsia wakubwa wa Kiansari na kumuita kuwa ni mnafiki. [36]
 
Kwa mujibu wa vyanzo vya kihistoria, tukio la Saqifa ilikuwa medani na uwanja wa ushindani na mzozo kati ya Muhajirina na Ansari. [35] Wakati wa kupewa baiya na kiapo cha utii Abu Bakr, Habab bin Mundhir, ambaye alikuwa anatokana na Ansari, alichomoa upanga na kuwaelekezea Muhajirina.  Aidha Omar bin al-Khattab alimhutubu Saad bin Ubadah, aliyekuwa mmoja wa shakhsia wakubwa wa Kiansari na kumuita kuwa ni mnafiki. [36]

'''Nafasi ya Muhajrina katika Saqifa'''
'''Nafasi ya Muhajrina katika Saqifa'''
Mstari 57: Mstari 66:
Habab bin Mundhir, ambaye alitokana na Ansari, alipendekeza kuchaguliwa kwa Amir kutoka kwa Ansari na Amir kutoka kwa Muhajirina ambapo pendekezo lake lilipingwa na Omar bin Khattab. Kisha Abu Bakr akapendekeza Omar bin Al Khattab na Abu Ubaidah Jarrah, ambao walikuwa miongoni mwa Muhajirina kwa ajili ya ukhalifa. Lakini wawili hao hawakukubali, na kwa kusema mambo mazuri kuhusu Abu Bakr, walimwona kuwa anastahiki ukhalifa na wakatoa baiya kwake. [39] Kisha kabila la Bani Aslam, ambao walikuwa na mfungamano na Muhajarina  liliingia Madina na kutoa baiya na kiapo cha utii kwa Abu Bakr. [40]

'''Muhajrina mashuhuri
'''Muhajrina mashuhuri'''
'''
 
Baadhi ya watu mashuhuri waliohajiri kwa amri ya Mtume (s.a.w.w) na wakaondoka Makka na kwenda Madina ni:
Baadhi ya watu mashuhuri waliohajiri kwa amri ya Mtume (s.a.w.w) na wakaondoka Makka na kwenda Madina ni:

confirmed, movedable
815

edits