Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Faili:مینیاتور پرتاب کردن ابراهیم(ع) در آتش.jpg|200px|thumb]] | [[Faili:مینیاتور پرتاب کردن ابراهیم(ع) در آتش.jpg|200px|thumb]] | ||
'''Nabii Ibrahimu''' (Kiarabu: | '''Nabii Ibrahimu''' (Kiarabu: {{Arabic|النبي إبراهيم (ع)}}), ambaye pia anajulikana kwa jina la '''Ibrahimu Khalilu ({{Arabic|إبراهيم الخليل}}): Ni [[nabii]] wa pili miongoni mwa [[manabii]] wa [[Ulu al-Azmi]]. Ibrahimu aliteuliwa kuwa nabii kati ya watu wa [[Mesopotamia]] (baina ya mto Euphrates Tigris), kwa ajili ya kumlingania mtawala wa wakati huo ([[Namrud]]), pamoja na watu waliokuwa wakiishi eneo hilo kwenye imani ya Mungu mmoja. Ni watu wachache tu miongoni mwao walikubali mwaliko wake, hivyo alipokata tamaa katika kuwalingania watu hao alihama kwenda [[Palestina]]. | ||
Kulingana na [[Qur'an Kareem|Qur’ani]], watu wa Ibrahimu waliokuwa wakiabudu sanamu, walimtia mikononi na kumtupa kwenye moto baada Ibrahimu kuangamiza masanamu yao, lakini kwa amri ya Mwenye Ezi Mungu, moto huo ukawa baridi na salama kwa Ibrahimu. | Kulingana na [[Qur'an Kareem|Qur’ani]], watu wa Ibrahimu waliokuwa wakiabudu sanamu, walimtia mikononi na kumtupa kwenye moto baada Ibrahimu kuangamiza masanamu yao, lakini kwa amri ya Mwenye Ezi Mungu, moto huo ukawa baridi na salama kwa Ibrahimu. | ||
Mstari 8: | Mstari 8: | ||
[[Qur'an Kareem|Qur’ani]] inahusisha ujenzi wa [[Kaaba]] na mwaliko wa kuwaita watu kwenye [[ibada ya Hajj]] kwa Nabii Ibrahimu, na kumtambulisha kama ni [[Khalilullah]] (rafiki wa Mungu). Kulingana na Aya za Qura’ni, baada ya kutahiniwa na kujaribiwa kwa mitihani mbalimbali, ikiwa ni pamoja na amri ya kuchinja mwanawe (Ismaili), Ibrahimu alipata hadhi ya [[uimamu]] mbali na cheo chake cha mwanzo cha [[unabii]]. | [[Qur'an Kareem|Qur’ani]] inahusisha ujenzi wa [[Kaaba]] na mwaliko wa kuwaita watu kwenye [[ibada ya Hajj]] kwa Nabii Ibrahimu, na kumtambulisha kama ni [[Khalilullah]] (rafiki wa Mungu). Kulingana na Aya za Qura’ni, baada ya kutahiniwa na kujaribiwa kwa mitihani mbalimbali, ikiwa ni pamoja na amri ya kuchinja mwanawe (Ismaili), Ibrahimu alipata hadhi ya [[uimamu]] mbali na cheo chake cha mwanzo cha [[unabii]]. | ||
== Wasifu | == Wasifu Wake == | ||
=== Kuzaliwa | === Kuzaliwa Hadi Kufariki === | ||
Watafiti wengi wamezingatia karne ya 20 kabla ya Kristo (Issa) kama ndio tarehe ya kuzaliwa kwa nabii Ibrahimu (a.s), huku wengine wakidai kwamba; tarehe sahihi zaidi ni 1996 kabla ya Kristo (Issa). [1] Katika kitabu cha Hawaadithu al-Ayyami, siku ya kuzaliwa kwake imetajwa kuwa ni mwezi [[kumi Muharram]]. [2] Baadhi ya wanahistoria wanadhani kuwa yeye alizaliwa mwezi [[mosi Dhul-Hijja]]. [3] | Watafiti wengi wamezingatia karne ya 20 kabla ya Kristo (Issa) kama ndio tarehe ya kuzaliwa kwa nabii Ibrahimu (a.s), huku wengine wakidai kwamba; tarehe sahihi zaidi ni 1996 kabla ya Kristo (Issa). [1] Katika kitabu cha Hawaadithu al-Ayyami, siku ya kuzaliwa kwake imetajwa kuwa ni mwezi [[kumi Muharram]]. [2] Baadhi ya wanahistoria wanadhani kuwa yeye alizaliwa mwezi [[mosi Dhul-Hijja]]. [3] | ||
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
Ibrahim (a.s) aliishi miaka 179 au 200 na kufariki dunia huko Hebroni, [[Palestina]], eneo ambalo leo hii linajulikana kwa jina la Al-Khalil. [7] | Ibrahim (a.s) aliishi miaka 179 au 200 na kufariki dunia huko Hebroni, [[Palestina]], eneo ambalo leo hii linajulikana kwa jina la Al-Khalil. [7] | ||
=== Baba | === Baba Yake === | ||
Kuna tofauti ya maoni kuhusiana jina hasa la baba yake Ibrahimu. Katika maandiko ya Agano la Kale, baba yake ametambuliwa kwa jina la "Terah" [8], ambalo limetajwa katika vyanzo vya historia ya Kiislamu kama ni [[Taarukh]] [9] au "Taraakh". [10] Katika Qur’ani, kuna ibara isemayo: | Kuna tofauti ya maoni kuhusiana jina hasa la baba yake Ibrahimu. Katika maandiko ya Agano la Kale, baba yake ametambuliwa kwa jina la "Terah" [8], ambalo limetajwa katika vyanzo vya historia ya Kiislamu kama ni [[Taarukh]] [9] au "Taraakh". [10] Katika Qur’ani, kuna ibara isemayo: ({{Arabic|وَ إِذْ قالَ إِبْراهِیمُ لِأَبِیهِ آزَرَ}} ; Na [taja] pale Ibrahimu alipomwambia baba yake Aazar). [11] Kulingana na Aya hii, baadhi ya [[wafasiri]] wa Kisunni wanamchukulia “Aazar” kuwa ni baba wa Nabii Ibrahimu, [12] lakini wafasiri wa Kishia hawachukulii neno "abu" (baba) lililoko katika Aya hii kuwa na maana ya baba halisi. [13] Kulingana nao; neno "ab" katika Kiarabu si tu hutumiwa kwa maana ya baba, bali pia kwa maana ya mjomba, babu, mlezi, n.k. [[Allamah Tabatabai]] katika kitabu chake kiitwacho Al-Mizan anasema: "Bila shaka, 'Azar' aliyezungumziwa katika Aya hii si baba halisi wa nabii Ibrahimu, lakini kutokana na baadhi ya sifa maalumu alizo kuwa nazo, alijulikana kama ndiye baba yake, kwani neno “abu” linaweza kuwa na maana ya mjomba wa Ibrahimu, na kulingana na matumizi ya lugha ya Kiarabu, neno 'ab' pia hutumiwa kwa maana ya babu, ami na hata baba wa kambo. [14] Ibrahimu alikataa uhusiano na “Azar”, ambaye alimwita baba, ila hakuwa baba yake halisi. [15] | ||
Kulingana na ripoti za vyanzo vya kihistoria, katika mwaka ambao nabii Ibrahimu (a.s) alizaliwa, kwa amri ya Namrudh, kila mtoto aliyezaliwa aliuawa. Hii ni kwa sababu utabiri wa wachawi walikuwa wametabiri kwamba; mwaka huo atazaliwa mtoto ambaye atagejenga msingi wa kupinga dini ya Namrudh na wafuasi wake na kuyavunja masanamu yao. Kwa sababu hiyo, mama wa Ibrahimu alikhofu watu wa Namrudh kumdhuru Ibrahimu, hivyo alimweka ndani ya pango karibu na nyumba yake, na baada ya miezi kumi na tano, alikwenda pangoni humo usiku na kumtoa nje ya pango hilo. [16] | Kulingana na ripoti za vyanzo vya kihistoria, katika mwaka ambao nabii Ibrahimu (a.s) alizaliwa, kwa amri ya Namrudh, kila mtoto aliyezaliwa aliuawa. Hii ni kwa sababu utabiri wa wachawi walikuwa wametabiri kwamba; mwaka huo atazaliwa mtoto ambaye atagejenga msingi wa kupinga dini ya Namrudh na wafuasi wake na kuyavunja masanamu yao. Kwa sababu hiyo, mama wa Ibrahimu alikhofu watu wa Namrudh kumdhuru Ibrahimu, hivyo alimweka ndani ya pango karibu na nyumba yake, na baada ya miezi kumi na tano, alikwenda pangoni humo usiku na kumtoa nje ya pango hilo. [16] | ||
== Ndoa na | == Ndoa na Watoto == | ||
[[Sarah]] alikuwa ndiye mke wa kwanza wa nabii Ibrahimu (a.s), na kulingana na [[Torati]], mke huyo alimwoa huko Ur ndani ya mji wa Wakaldayo (Chaldeans). [17] Kulingana na kamusi ya Dehkhoda, kitongoji cha Ur au Aur kilichotajwa Torati kilikuwa mji na eneo la zamani la Sumer kusini mwa Babylonia. Mji huu, uliopo karibu na reli ya sasa kati ya Basra na Baghdad kusini mwa Iraq, ulikuwa ni kitovu muhimu cha utamaduni wa Sumeri, na kulingana na Torati, mji huo ndio mahali alipozaliwa nabii Ibrahimu (a.s). Jina la mji huu mkubwa, ulioanzishwa katika nyakati za zamani, lilipotea katika historia katika karne ya 4 Kabla ya Kristo, ambapo mji huo ilibaki chini ya kifusi miaka kadhaa, na kupatikana upya katika karne ya 19. [18] Kulingana na Torati, Sarah alikuwa ndugu wa kambo wa Ibrahimu, [19] lakini kulingana na Hadithi za [[shia|Kishia]], Sarah alikuwa ni binti wa khaloo yake Ibrahimu (a.s), na ni dada wa [[nabii Lutu (a.s)]]. [20] Kulingana na mojawapo ya Hadithi hizi, Ibrahimu alimwoa binti huyu huko Kutha, ambaye alikuwa tajiri wa mali zikiwemo ardhi na mifugo. Baada ya Saraha kuaana na nabii Ibrahimu (a.s), mali zake ziingia ndani milki ya nabii Ibrahimu, naye akaiboresha na kuikuza zaidi mali hiyo. Kwa kweli, katika eneo lao, hapakuwa na mtu mwingine aliyekuwa na utajiri na mali kama yeye. [21] | [[Sarah]] alikuwa ndiye mke wa kwanza wa nabii Ibrahimu (a.s), na kulingana na [[Torati]], mke huyo alimwoa huko Ur ndani ya mji wa Wakaldayo (Chaldeans). [17] Kulingana na kamusi ya Dehkhoda, kitongoji cha Ur au Aur kilichotajwa Torati kilikuwa mji na eneo la zamani la Sumer kusini mwa Babylonia. Mji huu, uliopo karibu na reli ya sasa kati ya Basra na Baghdad kusini mwa Iraq, ulikuwa ni kitovu muhimu cha utamaduni wa Sumeri, na kulingana na Torati, mji huo ndio mahali alipozaliwa nabii Ibrahimu (a.s). Jina la mji huu mkubwa, ulioanzishwa katika nyakati za zamani, lilipotea katika historia katika karne ya 4 Kabla ya Kristo, ambapo mji huo ilibaki chini ya kifusi miaka kadhaa, na kupatikana upya katika karne ya 19. [18] Kulingana na Torati, Sarah alikuwa ndugu wa kambo wa Ibrahimu, [19] lakini kulingana na Hadithi za [[shia|Kishia]], Sarah alikuwa ni binti wa khaloo yake Ibrahimu (a.s), na ni dada wa [[nabii Lutu (a.s)]]. [20] Kulingana na mojawapo ya Hadithi hizi, Ibrahimu alimwoa binti huyu huko Kutha, ambaye alikuwa tajiri wa mali zikiwemo ardhi na mifugo. Baada ya Saraha kuaana na nabii Ibrahimu (a.s), mali zake ziingia ndani milki ya nabii Ibrahimu, naye akaiboresha na kuikuza zaidi mali hiyo. Kwa kweli, katika eneo lao, hapakuwa na mtu mwingine aliyekuwa na utajiri na mali kama yeye. [21] | ||
Mstari 32: | Mstari 32: | ||
Imesemekana kwamba baada ya bibi Sara kufariki dunia, Ibrahim (a.s) alioa wanawake wengine wawili, ambapo mmoja alizaa naye watoto wanne na mwingine akazaa naye watoto saba, na jumla ya watoto wake wote ikawa ni watoto 13. [26] Ma’adhi, Zimran, Sarhaj, na Sabq ni watoto wake kupitia mke aliyeitwa "Kinturaa", na Naafis, Madyan, Kishan, Shuruukh, Umaym, Lut, na Yaqshan kutoka kwa mkewe aliyeitwa "Hajuni". [27] | Imesemekana kwamba baada ya bibi Sara kufariki dunia, Ibrahim (a.s) alioa wanawake wengine wawili, ambapo mmoja alizaa naye watoto wanne na mwingine akazaa naye watoto saba, na jumla ya watoto wake wote ikawa ni watoto 13. [26] Ma’adhi, Zimran, Sarhaj, na Sabq ni watoto wake kupitia mke aliyeitwa "Kinturaa", na Naafis, Madyan, Kishan, Shuruukh, Umaym, Lut, na Yaqshan kutoka kwa mkewe aliyeitwa "Hajuni". [27] | ||
== Ibrahim | == Ibrahim Ndani ya Qur’ani == | ||
Ibrahim ametajwa mara 69 katika Qur'ani. [28] Kuna Sura kamili ndani ya Qur’ani iliyopewa jila Ibrahim, Sura ambayo inahusiana na maisha ya nabii Ibrahim. [29] Qur'ani inaelezea mambo mengi kuhussiana na nabii Ibrahim, ikiwa ni pamoja na [[unabii]] wake na wito wake wa kuwaita watu kwenye [[tawhidi]], [[uimamu]] wake, nia ya [[Kuchinjwa Ismail|kumchinja mwanae]] (Ismail), [[miujiza]] ya [[kufufuka kwa ndege wanne]] baada ya kifo chao, na kupoza kwa moto kwa ajili yake. | Ibrahim ametajwa mara 69 katika Qur'ani. [28] Kuna Sura kamili ndani ya Qur’ani iliyopewa jila Ibrahim, Sura ambayo inahusiana na maisha ya nabii Ibrahim. [29] Qur'ani inaelezea mambo mengi kuhussiana na nabii Ibrahim, ikiwa ni pamoja na [[unabii]] wake na wito wake wa kuwaita watu kwenye [[tawhidi]], [[uimamu]] wake, nia ya [[Kuchinjwa Ismail|kumchinja mwanae]] (Ismail), [[miujiza]] ya [[kufufuka kwa ndege wanne]] baada ya kifo chao, na kupoza kwa moto kwa ajili yake. | ||
Mstari 64: | Mstari 64: | ||
=== Kuchinja mwanawe === | === Kuchinja mwanawe === | ||
:''Makala | :''Makala Asili: [[Dhabihullah]]'' | ||
Moja ya [[majaribio ya Mwenyezi Mungu]] kwa Ibrahim ilikuwa amri ya kumchinja mwanawe. Kulingana na ripoti ya Qur'an, Ibrahim aliota ndotoni kwake kuwa anamchinja mwanae. Naye akaliweka suala hilo mbele ya mwanae, na mwanae alimtii baba yake na kumtaka atii amri ya Mwenye Ezi Mungu. Lakini wakati Ibrahim alipomlaza mwanawe kwa ajili ya kuchinja akiwa katika eneo la kuchinja, sauti ikasema: "Ewe Ibrahim, kwa hakika umetimiza agizo la ndoto yako. Kwa hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wafanyao mema. [Yaani tunaikubali nia yao safi na tukufu bila ya wao kutekeleza tendo lao]. Hakika jaribio hili lilikuwa ni la wazi na tumemwokoa mwanao kutoka kwenye uhanga mkubwa". [48] | Moja ya [[majaribio ya Mwenyezi Mungu]] kwa Ibrahim ilikuwa amri ya kumchinja mwanawe. Kulingana na ripoti ya Qur'an, Ibrahim aliota ndotoni kwake kuwa anamchinja mwanae. Naye akaliweka suala hilo mbele ya mwanae, na mwanae alimtii baba yake na kumtaka atii amri ya Mwenye Ezi Mungu. Lakini wakati Ibrahim alipomlaza mwanawe kwa ajili ya kuchinja akiwa katika eneo la kuchinja, sauti ikasema: "Ewe Ibrahim, kwa hakika umetimiza agizo la ndoto yako. Kwa hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wafanyao mema. [Yaani tunaikubali nia yao safi na tukufu bila ya wao kutekeleza tendo lao]. Hakika jaribio hili lilikuwa ni la wazi na tumemwokoa mwanao kutoka kwenye uhanga mkubwa". [48] | ||
Mstari 84: | Mstari 84: | ||
Katika [[Agano Jipya]], Ibrahimu anatajwa mara 72, na nasaba ya [[Yesu Kristo]] anatokana na Ibrahimu kupitia kwa [[Isaka]], kupitia mababu 39 (Mathayo 1:1-7) au kupitia mababu 54 (Luka 3:24-25). Imani ya Ibrahimu katika Agano Jipya inaelezwa kuwa ni ya juu zaidi. Ibrahimu aliishi kama mgeni katika [[Palestina]], ambayo haikuwa nchi yake mwenyewe, na alitii amri ya Mungu kwa kumtoa mwanawe kama ni dhabihu. [67] | Katika [[Agano Jipya]], Ibrahimu anatajwa mara 72, na nasaba ya [[Yesu Kristo]] anatokana na Ibrahimu kupitia kwa [[Isaka]], kupitia mababu 39 (Mathayo 1:1-7) au kupitia mababu 54 (Luka 3:24-25). Imani ya Ibrahimu katika Agano Jipya inaelezwa kuwa ni ya juu zaidi. Ibrahimu aliishi kama mgeni katika [[Palestina]], ambayo haikuwa nchi yake mwenyewe, na alitii amri ya Mungu kwa kumtoa mwanawe kama ni dhabihu. [67] | ||
== Ibrahimu kwa | == Ibrahimu kwa Mtazamo wa Irfani ya Uislamu == | ||
Kutoka kwa mtazamo wa wanafalsafa (wanairfani) wengi wa Kiislamu, ni kwamba; Ibrahimu (a.s) alikuwa msafiri wa kiroho ambaye alipata ukamilifu wa juu kabisa kupitia ngazi mbali mbali za kimaadili katika safari yake ya maadili ya kiroho. [[Abdulkarim al-Qushayri]], mwanafalsafa (mwanairfani) na mfasiri wa karne ya nne na tano, anaamini kwamba; Ibrahimu (a.s) aliuona ulimwengu wa kiroho kabla ya kuanza safari yake, na kwamba hilo ilimfanya apendezwe na safari hiyo ya kiroho. Hata hivyo, [[Rashid al-Din Maybudi]] anaamini kwamba; mvuto huu ulimfanya awe na hamu ya kuvutika na kila maonesho na sura za madhihiriko (maakisiko) ya Kiungu, lakini alipogundua kutokuwa imara kwa maakisiko hayo, alielewa kwamba; maakisiko na madhihiriko hayo katu hayawezi kuwa na uhusiano na upendo wa dhati na halisi. [69] | Kutoka kwa mtazamo wa wanafalsafa (wanairfani) wengi wa Kiislamu, ni kwamba; Ibrahimu (a.s) alikuwa msafiri wa kiroho ambaye alipata ukamilifu wa juu kabisa kupitia ngazi mbali mbali za kimaadili katika safari yake ya maadili ya kiroho. [[Abdulkarim al-Qushayri]], mwanafalsafa (mwanairfani) na mfasiri wa karne ya nne na tano, anaamini kwamba; Ibrahimu (a.s) aliuona ulimwengu wa kiroho kabla ya kuanza safari yake, na kwamba hilo ilimfanya apendezwe na safari hiyo ya kiroho. Hata hivyo, [[Rashid al-Din Maybudi]] anaamini kwamba; mvuto huu ulimfanya awe na hamu ya kuvutika na kila maonesho na sura za madhihiriko (maakisiko) ya Kiungu, lakini alipogundua kutokuwa imara kwa maakisiko hayo, alielewa kwamba; maakisiko na madhihiriko hayo katu hayawezi kuwa na uhusiano na upendo wa dhati na halisi. [69] | ||
Mstari 96: | Mstari 96: | ||
Kitabu Qahremane Tawhid ''(Bingwa wa Tawhidi)'' kilichoandikwa na [[Naser Makarem Shirazi]], kilichochapishwa na Shule ya Imam Ali ibn Abi Talib (a.s), nacho ni kitabu kinachotoa maelezo na tafsiri ya Aya zinazohusiana na Nabii Ibrahim (a.s), kitabu hichi ni kitabu chenye kutoa picha kamili juu ya maisha, fikra na nyenendo za Nabii Ibrahim, chenye idadi ya kurasa 224. [75] | Kitabu Qahremane Tawhid ''(Bingwa wa Tawhidi)'' kilichoandikwa na [[Naser Makarem Shirazi]], kilichochapishwa na Shule ya Imam Ali ibn Abi Talib (a.s), nacho ni kitabu kinachotoa maelezo na tafsiri ya Aya zinazohusiana na Nabii Ibrahim (a.s), kitabu hichi ni kitabu chenye kutoa picha kamili juu ya maisha, fikra na nyenendo za Nabii Ibrahim, chenye idadi ya kurasa 224. [75] | ||
== Maudhui | == Maudhui Yanayo Fungamana == | ||
* [[Adyan Ibraahiimiy]] | * [[Adyan Ibraahiimiy]] |