Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
|||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Faili:مینیاتور پرتاب کردن ابراهیم(ع) در آتش.jpg|200px|thumb]] | |||
'''Nabii Ibrahimu''' (Kiarabu: '''''النبي إبراهيم (ع)'''''), ambaye pia anajulikana kwa jina la '''Ibrahimu Khalilu (إبراهيم الخليل)''': Ni [[nabii]] wa pili miongoni mwa [[manabii]] wa [[Ulu al-Azmi]]. Ibrahimu aliteuliwa kuwa nabii kati ya watu wa [[Mesopotamia]] (baina ya mto Euphrates Tigris), kwa ajili ya kumlingania mtawala wa wakati huo ([[Namrud]]), pamoja na watu waliokuwa wakiishi eneo hilo kwenye imani ya Mungu mmoja. Ni watu wachache tu miongoni mwao walikubali mwaliko wake, hivyo alipokata tamaa katika kuwalingania watu hao alihama kwenda [[Palestina]]. | '''Nabii Ibrahimu''' (Kiarabu: '''''النبي إبراهيم (ع)'''''), ambaye pia anajulikana kwa jina la '''Ibrahimu Khalilu (إبراهيم الخليل)''': Ni [[nabii]] wa pili miongoni mwa [[manabii]] wa [[Ulu al-Azmi]]. Ibrahimu aliteuliwa kuwa nabii kati ya watu wa [[Mesopotamia]] (baina ya mto Euphrates Tigris), kwa ajili ya kumlingania mtawala wa wakati huo ([[Namrud]]), pamoja na watu waliokuwa wakiishi eneo hilo kwenye imani ya Mungu mmoja. Ni watu wachache tu miongoni mwao walikubali mwaliko wake, hivyo alipokata tamaa katika kuwalingania watu hao alihama kwenda [[Palestina]]. | ||