Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Faili:مینیاتور پرتاب کردن ابراهیم(ع) در آتش.jpg|200px|thumb]] | [[Faili:مینیاتور پرتاب کردن ابراهیم(ع) در آتش.jpg|200px|thumb]] | ||
'''Nabii Ibrahimu''' (Kiarabu: {{Arabic|النبي إبراهيم (ع)}}), ambaye pia anajulikana kwa jina la '''Ibrahimu Khalilu ({{Arabic|إبراهيم الخليل}}): Ni [[nabii]] wa pili miongoni mwa [[manabii]] wa [[Ulu al-Azmi]]. Ibrahimu aliteuliwa kuwa nabii kati ya watu wa [[Mesopotamia]] (baina ya mto Euphrates Tigris), kwa ajili ya kumlingania mtawala wa wakati huo ([[Namrud]]), pamoja na watu waliokuwa wakiishi eneo hilo kwenye imani ya Mungu mmoja. Ni watu wachache tu miongoni mwao walikubali mwaliko wake, hivyo alipokata tamaa katika kuwalingania watu hao alihama kwenda [[Palestina]]. | '''Nabii Ibrahimu''' (Kiarabu: {{Arabic|النبي إبراهيم (ع)}}), ambaye pia anajulikana kwa jina la '''Ibrahimu Khalilu''' ({{Arabic|إبراهيم الخليل}}): Ni [[nabii]] wa pili miongoni mwa [[manabii]] wa [[Ulu al-Azmi]]. Ibrahimu aliteuliwa kuwa nabii kati ya watu wa [[Mesopotamia]] (baina ya mto Euphrates Tigris), kwa ajili ya kumlingania mtawala wa wakati huo ([[Namrud]]), pamoja na watu waliokuwa wakiishi eneo hilo kwenye imani ya Mungu mmoja. Ni watu wachache tu miongoni mwao walikubali mwaliko wake, hivyo alipokata tamaa katika kuwalingania watu hao alihama kwenda [[Palestina]]. | ||
Kulingana na [[Qur'an Kareem|Qur’ani]], watu wa Ibrahimu waliokuwa wakiabudu sanamu, walimtia mikononi na kumtupa kwenye moto baada Ibrahimu kuangamiza masanamu yao, lakini kwa amri ya Mwenye Ezi Mungu, moto huo ukawa baridi na salama kwa Ibrahimu. | Kulingana na [[Qur'an Kareem|Qur’ani]], watu wa Ibrahimu waliokuwa wakiabudu sanamu, walimtia mikononi na kumtupa kwenye moto baada Ibrahimu kuangamiza masanamu yao, lakini kwa amri ya Mwenye Ezi Mungu, moto huo ukawa baridi na salama kwa Ibrahimu. |