Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho
→Idadi ya Manabii
Mstari 21: | Mstari 21: | ||
Kuna [[Hadithi]] tofauti kuhusu na idadi ya wajumbe wa Mwenye Ezi Mungu. [[Allama Tabatabai]], kulingana na Hadithi maarufu, ametaja idadi ya wajumbe hao kuwa ni wajumbe 124,000. [12] Kulingana na Hadithi hii, 313 kati yao ni mitume, watu 600 ni manabii kutoka katika wa Bani Israili, na wane ambao ni [[Huud]], [[Saleh]], [[Shu'ayb]], na [[Muhammad (s.a.w.w)]] ni Waarabu. [13] Katika Hadithi nyingine, idadi ya manabii ni imetajwa kwa idadi tofauti, wakati mwengine wametajwa kwa idadi ya 8,000, [14] au 320,000, [15] au 144,000. [16] [[Allama Majlisi]] anadhani kwamba yawezekna idadi ya 8,000 inarejelea manabii wakubwa. [17] Mtume wa kwanza kabisa alikuwa ni [[nabii Adamu]] na wa mwisho alikuwa ni [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]]. [18] [19] | Kuna [[Hadithi]] tofauti kuhusu na idadi ya wajumbe wa Mwenye Ezi Mungu. [[Allama Tabatabai]], kulingana na Hadithi maarufu, ametaja idadi ya wajumbe hao kuwa ni wajumbe 124,000. [12] Kulingana na Hadithi hii, 313 kati yao ni mitume, watu 600 ni manabii kutoka katika wa Bani Israili, na wane ambao ni [[Huud]], [[Saleh]], [[Shu'ayb]], na [[Muhammad (s.a.w.w)]] ni Waarabu. [13] Katika Hadithi nyingine, idadi ya manabii ni imetajwa kwa idadi tofauti, wakati mwengine wametajwa kwa idadi ya 8,000, [14] au 320,000, [15] au 144,000. [16] [[Allama Majlisi]] anadhani kwamba yawezekna idadi ya 8,000 inarejelea manabii wakubwa. [17] Mtume wa kwanza kabisa alikuwa ni [[nabii Adamu]] na wa mwisho alikuwa ni [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]]. [18] [19] | ||
[[Qur'an Kareem|Qur'an]] inataja majina ya baadhi tu ya manabii. [20] [[Adamu (a.s)]], [[Nuh (a.s)]], Idris (a.s), [[Hud (a.s)]], [[Saleh (a.s)]], [[Ibrahim (a.s)]], [[Lut (a.s)]], [[Ismail (a.s)]], [[Elisha (Al-Yasa’a) (a.s)]], [[Zulkifli (a.s)]], [[Ilyas (a.s)]], [[Yunus (a.s)]], [[Ishaq (a.s)]], [[Ya'aqub (a.s)]], [[Yusuf (a.s)]], [[Shu'aib (a.s)]], [[Mussa (a.s)]], [[Harun (a.s)]], [[Daudi (a.s)]], [[ | [[Qur'an Kareem|Qur'an]] inataja majina ya baadhi tu ya manabii. [20] [[Adamu (a.s)]], [[Nuh (a.s)]], Idris (a.s), [[Hud (a.s)]], [[Saleh (a.s)]], [[Nabii Ibrahimu|Ibrahim (a.s)]], [[Lut (a.s)]], [[Ismail (a.s)]], [[Elisha (Al-Yasa’a) (a.s)]], [[Zulkifli (a.s)]], [[Ilyas (a.s)]], [[Yunus (a.s)]], [[Ishaq (a.s)]], [[Ya'aqub (a.s)]], [[Nabii Yusuf (a.s)|Yusuf (a.s)]], [[Shu'aib (a.s)]], [[Mussa (a.s)]], [[Nabii Harun|Harun (a.s)]], [[Daudi (a.s)]], [[Suleiman (a.s)]], [[Ayubu (a.s)]], [[Zakaria (a.s)]], [[Yahya (a.s)]], [[Issa (a.s)]], na [[Muhammad (s.a.w.w)]] ni manabii ambao majina yao yamekuja katika Qur'an. [21] Baadhi ya wafasiri wanaamini kwamba; jina la Ismail bin Ezekiel pia limetajwa katika Qur'an. [22] {{Maelezo | Isma'il bin Hizqiil (Ezekiel) ni miongoni mwa manabii wa Waisraeli. Allama Tabatabai anaamini kwaba; Isma'il aliye tajwa na Qur'an katika Suratu Mariam, ni nabii Hizqiil (Ezekiel), ambapoMwenye Ezi Mungu katika Aya hiyo alisema: ({{Arabic|واذكُر فِى الكِتبِ اِسمعيلَ اِنَّهُ كانَ صادِقَ الوَعدِ و كانَ رَسولاً نَبيـّا}} ; Na mtaje katika kitabu Isma'il. Hakika yeye alikuwa mwaminifu wa ahadi, na alikuwa Mtume na Nabii) (Surat Maryam, aya 54), (Tabatabai, Al-Mizan, Chapa ya Mwaka 1417 Hijiria, Juzuu ya 14, Ukurasa 63).}} | ||
Wengine wanaamini kwamba Qur'an imetaja sifa za baadhi ya manabii, kama vile [[Yeremia]] na Samweli, lakini haikutaja majina yao. [23] Ndani ya Qur'an, kuna Sura maalumu inayoitwa "Anbiya" pia ndani yake mna [[Sura]] nyengine kadhaa zenye majina ya Mitume kama vile; [[Yunus]], [[Hud]], [[Yusuf]], [[Ibrahim]], [[Muhammad (s.a.w.w)]], na [[Nuh]]. | Wengine wanaamini kwamba Qur'an imetaja sifa za baadhi ya manabii, kama vile [[Yeremia]] na Samweli, lakini haikutaja majina yao. [23] Ndani ya Qur'an, kuna Sura maalumu inayoitwa "Anbiya" pia ndani yake mna [[Sura]] nyengine kadhaa zenye majina ya Mitume kama vile; [[Yunus]], [[Hud]], [[Nabii Yusuf (a.s)|Yusuf]], [[Nabii Ibrahimu|Ibrahim]], [[Muhammad (s.a.w.w)]], na [[Nuh]]. | ||
Katika vyanzo vya Hadithi pia kumetajwa mitume ndani yake, ambao ni; [24] [[Ezekiel]], [25] [[Habakuk]], [26] [[Daniel]], [27] [[George]], [28] Ezra (Uzair), [29] Handhala, [30] na Yeremia. [31] Kiuhalisia kuna utata kuhusiana utume wa baadhi watu kama vile; [[Khidhr]], [32] [[Khalid bin Sinan]], [33] na [[Dhul-Qarnayn]]. [34] Kulingana na maoni ya Allama Tabatabai, ni kwamba; hata [[Ezra]] (Uzair) pia naye ni miongoni mwa wale ambao utume wao hauko wazi. [35] Kulingana na Aya za Qur'an, baadhi ya manabii waliishi katika zama mmoja; kwa mfano, [[nabii Mussa]] na [[Nabii Harun|Harun]] katika zama moja, [36] [[Ibrahim]] na [[Lut]] pia nao waliishi katika zama moja [37]. Pia, kutoka katika vyanzo vya baadhi ya Hadithi, ianafahamika wazi ya kwamba; baadhi ya manabii walikuwa wakiishi katika zama moja. Kwa mfano, [[Sayyid bin Tawus]] katika kitabu chake [[Luhuuf]] amenukuu Hadithi kutoka kwa [[Imamu Hussein (a.s)]] akisema kwamba; wakati alipokuwa akijiandaa kuondoka Makka kuelekea mji wa [[Kufa]], alimwambia [[Abdullah bin Omar]]: Je, unajuwa ni kiasi gani [[Bani Israili]] ulifikia uasi wao! ilifikia hali ya kwamba; baina ya kuchomoza kwa alfajiri hadi kuchomoza kwa jua waliuua manabii sabini wa Mwenye Ezi Mungu, kisha wakaendelea na biashara zao za kuuza na kununua bila kuhisi ubaya na janga la mauaji haya ya kutisha, kana kwamba hakuna janga lililotokea? [38] Katika Hadithi nyingine ilioko katika kitabu [[Majmaul Bayan]] imenukuliwa kutoka kwa bwana [[Mtume (s.a.w.w)]] akimwambia [[Abu Ubaida al-Jarrah]] akisema: Ewe Abu Ubaida! Bani Israili waliua manabii 43 kwa wakati mmoja katika nyakati za asubuhi na mapema, baada ya hapo wakasimama watu 112 wa Bani Israili mbele ya wauaji wa manabii hao, kwa nia ya [[kuamrisha mema na kuzuia maovu]], nao pia wakauawa mwishoni mwa siku hiyo hiyo. [39] | Katika vyanzo vya Hadithi pia kumetajwa mitume ndani yake, ambao ni; [24] [[Ezekiel]], [25] [[Habakuk]], [26] [[Daniel]], [27] [[George]], [28] Ezra (Uzair), [29] Handhala, [30] na Yeremia. [31] Kiuhalisia kuna utata kuhusiana utume wa baadhi watu kama vile; [[Khidhr]], [32] [[Khalid bin Sinan]], [33] na [[Dhul-Qarnayn]]. [34] Kulingana na maoni ya Allama Tabatabai, ni kwamba; hata [[Ezra]] (Uzair) pia naye ni miongoni mwa wale ambao utume wao hauko wazi. [35] Kulingana na Aya za Qur'an, baadhi ya manabii waliishi katika zama mmoja; kwa mfano, [[nabii Mussa]] na [[Nabii Harun|Harun]] katika zama moja, [36] [[Ibrahim]] na [[Lut]] pia nao waliishi katika zama moja [37]. Pia, kutoka katika vyanzo vya baadhi ya Hadithi, ianafahamika wazi ya kwamba; baadhi ya manabii walikuwa wakiishi katika zama moja. Kwa mfano, [[Sayyid bin Tawus]] katika kitabu chake [[Luhuuf]] amenukuu Hadithi kutoka kwa [[Imamu Hussein (a.s)]] akisema kwamba; wakati alipokuwa akijiandaa kuondoka Makka kuelekea mji wa [[Kufa]], alimwambia [[Abdullah bin Omar]]: Je, unajuwa ni kiasi gani [[Bani Israili]] ulifikia uasi wao! ilifikia hali ya kwamba; baina ya kuchomoza kwa alfajiri hadi kuchomoza kwa jua waliuua manabii sabini wa Mwenye Ezi Mungu, kisha wakaendelea na biashara zao za kuuza na kununua bila kuhisi ubaya na janga la mauaji haya ya kutisha, kana kwamba hakuna janga lililotokea? [38] Katika Hadithi nyingine ilioko katika kitabu [[Majmaul Bayan]] imenukuliwa kutoka kwa bwana [[Mtume (s.a.w.w)]] akimwambia [[Abu Ubaida al-Jarrah]] akisema: Ewe Abu Ubaida! Bani Israili waliua manabii 43 kwa wakati mmoja katika nyakati za asubuhi na mapema, baada ya hapo wakasimama watu 112 wa Bani Israili mbele ya wauaji wa manabii hao, kwa nia ya [[kuamrisha mema na kuzuia maovu]], nao pia wakauawa mwishoni mwa siku hiyo hiyo. [39] |