Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho
→Manabii Waliopewa Vitabu
Mstari 59: | Mstari 59: | ||
== Manabii Waliopewa Vitabu == | == Manabii Waliopewa Vitabu == | ||
Baadhi ya manabii wamekuwa na vitabu vya mbinguni; kwa mujibu wa [[Aya za Qur'an]], [[Zabur]] ni kitabu cha [[Nabii Daud (a.s)]] [104], [[Taurati]] ni kitabu cha [[Nabii Mussa (a.s)]], Injil ni kitabu cha [[Nabii Issa (a.s)]] [105], na [[Qur'an Kareem|Qur'an]] ni kitabu cha [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]] [106]. {{Maelezo | Qur'an haitoi tamko la moja kwa moja kuhusiana na suala la kuteremshiwa nabii Musa Taurati; lakini inakiri kuteremshwa kwa Taurati kutoka kwa Mwenye Ezi Mungu. Jambo ambalo limethibitishwa kwenye (Surat al-Ma'ida, Aya 44) na pia inathibitisha kuteremshwa kwa Al-waahu kwa ajili ya nabii Musa, jambo ambalo linapatikana kwenye (Surat al-A'araf, Aya 154). Baadhi ya wafasiri wamesema kuwa; Al-waahu ni Taurati (Tabatabai, Al-Mizan, Chapa ya 1417 Hijiria, Juzuu ya 8, Ukurasa 250).}} Quran haitaji kitabu makhususi kwa ajili ya [[Nabii Ibrahim (a.s)]] na badala yake imetumia neno [[Suhuf]] kuhusiana na kitabu chake. [107] Zaidi ya hayo, kwa kuzingatia maelezo ya baadhi ya Hadithi, Mwenyezi Mungu alituma Suhuf 50 kwa [[Nabii Sheith (a.s)]], Suhuf 30 kwa [[Nabii Idris (a.s)]], na Suhuf 20 kwa Nabii Ibrahim (a.s) [108]. | Baadhi ya manabii wamekuwa na vitabu vya mbinguni; kwa mujibu wa [[Aya za Qur'an]], [[Zabur]] ni kitabu cha [[Nabii Daud (a.s)]] [104], [[Taurati]] ni kitabu cha [[Nabii Mussa (a.s)]], Injil ni kitabu cha [[Nabii Issa (a.s)]] [105], na [[Qur'an Kareem|Qur'an]] ni kitabu cha [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]] [106]. {{Maelezo | Qur'an haitoi tamko la moja kwa moja kuhusiana na suala la kuteremshiwa nabii Musa Taurati; lakini inakiri kuteremshwa kwa Taurati kutoka kwa Mwenye Ezi Mungu. Jambo ambalo limethibitishwa kwenye (Surat al-Ma'ida, Aya 44) na pia inathibitisha kuteremshwa kwa Al-waahu kwa ajili ya nabii Musa, jambo ambalo linapatikana kwenye (Surat al-A'araf, Aya 154). Baadhi ya wafasiri wamesema kuwa; Al-waahu ni Taurati (Tabatabai, Al-Mizan, Chapa ya 1417 Hijiria, Juzuu ya 8, Ukurasa 250).}} Quran haitaji kitabu makhususi kwa ajili ya [[Nabii Ibrahimu|Nabii Ibrahim (a.s)]] na badala yake imetumia neno [[Suhuf]] kuhusiana na kitabu chake. [107] Zaidi ya hayo, kwa kuzingatia maelezo ya baadhi ya Hadithi, Mwenyezi Mungu alituma Suhuf 50 kwa [[Nabii Sheith (a.s)]], Suhuf 30 kwa [[Nabii Idris (a.s)]], na Suhuf 20 kwa Nabii Ibrahim (a.s) [108]. | ||
[[Wafasiri]] wameamini kuwa Nabii Nuhu (a.s), Ibrahim (a.s), Mussa (a.s), Issa (a.s), na Muhammad (s.a.w.w) walikuja na sheria mpya kutoka mbinguni, imani hii inatokana na ufahamu wao kulingana na Aya isemayo: ({{Arabic|شَرَعَ لَكُمْ مِنَ الدِّينِ مَا وَصَّىٰ بِهِ نُوحًا وَالَّذِي أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ وَمَا وَصَّيْنَا بِهِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ وَعِيسَىٰ}} ; Tumekupangieni sheria kutokana na dini sawa yale tuliyomuamrisha Nuhu, [[sharia]] ambazo tumekuusia wewe (tumekufunulia wewe), na ambazo tuliyowausia Ibrahim, Mussa na Issa))'' [109] [110]. Katika baadhi ya [[Hadithi|Riwaya]], emeelezwa kwamba; sababu ya Manabii hawa kuitwa [[Ulu al-Azimi]] inatokana na Manabii hawa kuwa sheria zao mpya katika jamii zao. [111] | [[Wafasiri]] wameamini kuwa Nabii Nuhu (a.s), Ibrahim (a.s), Mussa (a.s), Issa (a.s), na Muhammad (s.a.w.w) walikuja na sheria mpya kutoka mbinguni, imani hii inatokana na ufahamu wao kulingana na Aya isemayo: ({{Arabic|شَرَعَ لَكُمْ مِنَ الدِّينِ مَا وَصَّىٰ بِهِ نُوحًا وَالَّذِي أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ وَمَا وَصَّيْنَا بِهِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ وَعِيسَىٰ}} ; Tumekupangieni sheria kutokana na dini sawa yale tuliyomuamrisha Nuhu, [[sharia]] ambazo tumekuusia wewe (tumekufunulia wewe), na ambazo tuliyowausia Ibrahim, Mussa na Issa))'' [109] [110]. Katika baadhi ya [[Hadithi|Riwaya]], emeelezwa kwamba; sababu ya Manabii hawa kuitwa [[Ulu al-Azimi]] inatokana na Manabii hawa kuwa sheria zao mpya katika jamii zao. [111] | ||
[[Alama Tabatabai]] amesema kuwa kila Mtume wa Ulu al-Azmi alikuja na kitabu na sheria yake maalumu [112], na suala la kuwepo kwa vitabu vya Manabii ambao sio Ulu al-Azmi kama [[Daud (a.s)]] [113], [[ | [[Alama Tabatabai]] amesema kuwa kila Mtume wa Ulu al-Azmi alikuja na kitabu na sheria yake maalumu [112], na suala la kuwepo kwa vitabu vya Manabii ambao sio Ulu al-Azmi kama [[Daud (a.s)]] [113], [[Shiith (a.s)]] na [[Idris (a.s)]] [114], halikinzani na kauli inayo dai kwamba; Manabii wa Ulu al-Azmi ndio walikuja na sharia mpya kutoka kwa Mola wao; kwa sababu kwa vitabu vya Manabii ambao sio Ulu al-Azmi havijumuishi ndani yake amri na [[Hukumu za kisheria|sheria]] [115]. | ||
== Miujiza == | == Miujiza == |