Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho
→Mjumbe (Mtume)
No edit summary |
|||
Mstari 15: | Mstari 15: | ||
Mjumbe ni mtu anaye pokea ujumbe moja kwa moja kutoka kwa Mungu na kuufikisha kwa binadamu bila kuwepo kwa mtu mwengine kati kati. [1] Mtume ni kiungo kati i ya Mwenye Ezi Mungu na waja vyake, na kazi ya Mtume ni kuwaongoza watu kwenye njia ya Mwenye Ezi Mungu [2]. | Mjumbe ni mtu anaye pokea ujumbe moja kwa moja kutoka kwa Mungu na kuufikisha kwa binadamu bila kuwepo kwa mtu mwengine kati kati. [1] Mtume ni kiungo kati i ya Mwenye Ezi Mungu na waja vyake, na kazi ya Mtume ni kuwaongoza watu kwenye njia ya Mwenye Ezi Mungu [2]. | ||
Kupokea [[ufunuo]], maarifa ya [[elimu ya ghaibu]] [3], kuto tenda makosa [4], na [[kujibiwa maombi]] yao ni miongoni mwa sifa za manabii. [[Wanatheolojia wengi wa Kiislamu]] wanaamini kuwa manabii hawatendi [[dhambi]] wala hawakosei katika kipengele chochote kila maishani mwao. [6] Kwa hivyo, matukio kama vile [[Istighfaru|kuomba msamaha]] na ibara ziashiriazo kusamehewa kwao na Mwenye Ezi Mungu zilizotajwa katika [[Qur'an Kareem|Qur'an]] [7], kama vile tukio la [[nabii Mussa]] kumuua Mmisri, [8], [[Nabii Yunus]] kuacha jukumu lake na kukimbia [9], na kisa cha [[Nabii Adam]] kula [[tunda alilokatazwa]] [10], yote yamefasiriwa kwa maana ya wao [[kuacha kutenda lililo bara zaidi]], na badala yake wakatenda lenye ubora wa daraja ya chini. Upande wa pili pia kuna baadhi ya [[wanatheolojia]] wanao chukulia suala la [[Umaasumu wa Manabii|kutokuwa na makosa kwa manabii]] kuwa linahusiana na masuala yanayohusiana na nyanja za kufikisha ujumbe, kwa hiyo wanajuzisha Mitume kufanya makosa katika mambo yanayo husiana na maisha yao ya kila siku [11]. | Kupokea [[ufunuo]], maarifa ya [[elimu ya ghaibu]] [3], kuto tenda makosa [4], na [[Kujibiwa Dua|kujibiwa maombi]] yao ni miongoni mwa sifa za manabii. [[Wanatheolojia wengi wa Kiislamu]] wanaamini kuwa manabii hawatendi [[dhambi]] wala hawakosei katika kipengele chochote kila maishani mwao. [6] Kwa hivyo, matukio kama vile [[Istighfaru|kuomba msamaha]] na ibara ziashiriazo kusamehewa kwao na Mwenye Ezi Mungu zilizotajwa katika [[Qur'an Kareem|Qur'an]] [7], kama vile tukio la [[nabii Mussa]] kumuua Mmisri, [8], [[Nabii Yunus]] kuacha jukumu lake na kukimbia [9], na kisa cha [[Nabii Adam]] kula [[tunda alilokatazwa]] [10], yote yamefasiriwa kwa maana ya wao [[kuacha kutenda lililo bara zaidi]], na badala yake wakatenda lenye ubora wa daraja ya chini. Upande wa pili pia kuna baadhi ya [[wanatheolojia]] wanao chukulia suala la [[Umaasumu wa Manabii|kutokuwa na makosa kwa manabii]] kuwa linahusiana na masuala yanayohusiana na nyanja za kufikisha ujumbe, kwa hiyo wanajuzisha Mitume kufanya makosa katika mambo yanayo husiana na maisha yao ya kila siku [11]. | ||
== Idadi ya Manabii == | == Idadi ya Manabii == |