Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 120: Mstari 120:
===Kutumwa kwa Qais bin Mus'har Kwenda Mji wa Kufa===
===Kutumwa kwa Qais bin Mus'har Kwenda Mji wa Kufa===


Imamu Hussein (a.s) alipofika eneo la [[Batnu al-Rummah]], aliandika barua kwa watu wa Kufa na kuwajulisha juu ya safari yake kuelekea mji wao. [64] Aliikabidhi barua hiyo kwa [[Qais bin Mus'har Al-Saidawiy]]. Hata hivyo, wakati Qais aliposimamishwa na maafisa wa [[Ubaidullah bin Ziad]] huko [[Qadisiyyah]], ilimbidi aichane barua hiyo ili wasigundue yaliyomo ndani yake. Wakati Qais alipoletwa mbele ya Ibnu Ziyad, alitakiwa kufichua majina ya watu ambao Imamu Hussein (a.s) alikuwa amewaandikia barua hiyo au apande mimbari na kumtukana Imamu Hussein (a.s) na familia yake. Ibnu Ziad alimlazimisha Qais kufnaya alivyomwamrisha la si hivyo, ataamuru akatwe kichwa. Qais bin Mus'har Al-Saidawiy alichagua wazo la kupanda mimbari, ila badala ya kumtukana Imamu Hussein na familia yake, akaanza kumsifu Imamu Husein (a.s) kwa kusema: "Kwa hakika si mwengine bali ni Hussein bin Ali (a.s) ambaye ni mbora wa viumbe wa Mwenyezi Mungu, ambaye yuko njiani kuuelekea mji wenu, hivyo basi muungeni mkono na mumpe himaya zenu". Baada ya kufanya hivyo, Ibnu Ziad akaamuru atupwe kutaka juu ya ya paa la kasri la Dar al-Imara. [65]
Imamu Hussein (a.s) alipofika eneo la [[Batnu al-Rummah]], aliandika barua kwa watu wa Kufa na kuwajulisha juu ya safari yake kuelekea mji wao.<ref>Dinuri, Akhbar al-Tiwal, 1368 S, uk. 245; Baladhiri, Ansab al-Ashraf, 1417 AH, juz. 3, uk. 167.</ref> Aliikabidhi barua hiyo kwa [[Qais bin Mus'har Al-Saidawiy]]. Hata hivyo, wakati Qais aliposimamishwa na maafisa wa [[Ubaidullah bin Ziad]] huko [[Qadisiyyah]], ilimbidi aichane barua hiyo ili wasigundue yaliyomo ndani yake. Wakati Qais alipoletwa mbele ya Ibnu Ziyad, alitakiwa kufichua majina ya watu ambao Imamu Hussein (a.s) alikuwa amewaandikia barua hiyo au apande mimbari na kumtukana Imamu Hussein (a.s) na familia yake. Ibnu Ziad alimlazimisha Qais kufnaya alivyomwamrisha la si hivyo, ataamuru akatwe kichwa. Qais bin Mus'har Al-Saidawiy alichagua wazo la kupanda mimbari, ila badala ya kumtukana Imamu Hussein na familia yake, akaanza kumsifu Imamu Husein (a.s) kwa kusema: "Kwa hakika si mwengine bali ni Hussein bin Ali (a.s) ambaye ni mbora wa viumbe wa Mwenyezi Mungu, ambaye yuko njiani kuuelekea mji wenu, hivyo basi muungeni mkono na mumpe himaya zenu". Baada ya kufanya hivyo, Ibnu Ziad akaamuru atupwe kutaka juu ya ya paa la kasri la Dar al-Imara.<ref>Baladhiri, Ansab al-Ashraf, 1417 AH, juz. 3, uk. 167; Tabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 405; Ibn Maskuyah,Tajarub al-Umam, 1379 S, juz. 2, uk. 60.</ref>


===Kutumwa kwa Abdullahi bin Yaqtar Kwenda Mji wa Kufa===
===Kutumwa kwa Abdullahi bin Yaqtar Kwenda Mji wa Kufa===
Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits