Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:
Kadhia ya Karbala linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu. Kulingana na umuhimu wa tukio hilo, Mashia huadhimisha maombolezo makubwa zaidi kuliko mengine yote katika kumbukumbu ya kila mwaka ya tukio hilo adhimu.
Kadhia ya Karbala linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu. Kulingana na umuhimu wa tukio hilo, Mashia huadhimisha maombolezo makubwa zaidi kuliko mengine yote katika kumbukumbu ya kila mwaka ya tukio hilo adhimu.


Vuguvugu la tukio la Karbala lilianza baada tu ya kifo cha [[Muawia bin Abi Sufian]] kilichotokea mnamo [[mwezi 15 Rajabu]] ya [[mwaka wa 60 Hijiria]]. Huo ulikuwa ndio mwanzo wa utawala wa mtoto wa Muawia ([[Yazid]]). Kwa maana hiyo; tukio la karbala litakuwa lianzia baada ya kifo cha Muawia na kumalizika baada ya [[Mateka wa Karbala|mateka wa Karbala]] kurudi [[Madina]]. Mtawala wa Madina alichukuwa juhuidi kubwa za kupata [[kiapo cha utiifu]] cha kumtawazisha Yazid kutoka kwa Imamu Hussein (a.s). Ili Imamu Hussein aepukane na shinikizo hilo la kiongozi wa Madina, aliamua aliondoka usiku kutoka mji wa Madina na akaelekea [[Makka]]. Katika safari hiyo, Imamu Hussein alifungamana na familia yake, idadi kadhaa ya [[Bani Hashimu]] na baadhi ya Mashia (wafuasi) wake.
Vuguvugu la tukio la Karbala lilianza baada tu ya kifo cha [[Muawia bin Abi Sufian]] kilichotokea mnamo [[mwezi 15 Rajabu]] ya [[mwaka wa 60 Hijiria]]. Huo ulikuwa ndio mwanzo wa utawala wa mtoto wa Muawia ([[Yazid]]). Kwa maana hiyo; tukio la karbala litakuwa lianzia baada ya kifo cha Muawia na kumalizika baada ya [[Mateka wa Karbala|mateka wa Karbala]] kurudi [[Madina]]. Mtawala wa Madina alichukuwa juhudi kubwa za kupata [[kiapo cha utiifu]] cha kumtawazisha Yazid kutoka kwa Imamu Hussein (a.s). Ili Imamu Hussein aepukane na shinikizo hilo la kiongozi wa Madina, aliamua aliondoka usiku kutoka mji wa Madina na akaelekea [[Makka]]. Katika safari hiyo, Imamu Hussein alifungamana na familia yake, idadi kadhaa ya [[Bani Hashimu]] na baadhi ya Mashia (wafuasi) wake.


Imamu Hussein (a.s) alikaa Makka kwa takriban miezi minne. Wakati huu aliokupo katika mji huo, alipokea [[barua za maombi]] -ya kumwita nakumtaka awe ni kiongozi wao- kutoka kwa [[watu wa Kufa]]. Ili kupeleleza na kuelewa na kuhakikisha ukweli kuhusiana na maaandishi yaliomo ndani barua hizo, Imamu (a.s) alimtuma [[Muslim bin Aqiil]] kwenda Kufa na [[Sulaiman bin Razin]] kwenda [[Basra]]. Kutokana na kuwepo uwezekano wa kuuawa kwa Imamu Hussein (a.s) huko Makka kupitia mkono wa mawakala wa Yazid, pamoja na kuepo wito wa maombi wa watu wa mji wa Makufi na uthibitisho kutoka kwa mjumbe wa Imamu kwamba mwaliko wa watu wa Kufa ulikuwa ni sahihi, Imamu Hussein (a.s) aliamua kuondoka mjini Makka na kuelekea Kufa mnamo tarehe [[8 Dhul-Hijjah]].
Imamu Hussein (a.s) alikaa Makka kwa takriban miezi minne. Wakati huu alipokuwepo katika mji huo, alipokea [[barua za maombi]] -ya kumwita nakumtaka awe ni kiongozi wao- kutoka kwa [[watu wa Kufa]]. Ili kupeleleza na kuelewa na kuhakikisha ukweli kuhusiana na maaandishi yaliomo ndani barua hizo, Imamu (a.s) alimtuma [[Muslim bin Aqiil]] kwenda Kufa na [[Sulaiman bin Razin]] kwenda [[Basra]]. Kutokana na kuwepo uwezekano wa kuuawa kwa Imamu Hussein (a.s) huko Makka kupitia mkono wa mawakala wa Yazid, pamoja na kuepo wito wa maombi wa watu wa mji wa Makufi na uthibitisho kutoka kwa mjumbe wa Imamu kwamba mwaliko wa watu wa Kufa ulikuwa ni sahihi, Imamu Hussein (a.s) aliamua kuondoka mjini Makka na kuelekea Kufa mnamo tarehe [[8 Dhul-Hijjah]].


Kabla ya Imamu Hussein (a.s) kufika Kufa, alikuwa tayari amesha pata habari kuhusu khiana za watu wa Kufa, na baada ya kukutana na jeshi la [[Hur bin Yazid Riahi]], Imamu aliuelekeza msafara wake [[Karbala]], ambako alikabiliana na [[jeshi la Umar bin Sa'ad]], jeshi ambalo lilitumwa na [[Ubaidullah bin Ziad]] dhidi ya Imamu Hussein (a.s). Majeshi mawili hayo yalipambana [[mwezi 10 Muharram,]] siku ambayo inajulikana kama ni [[siku ya Ashura]]. Baada ya Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake kuuawa mashahidi, jeshi la Omar bin Sa'ad liilikanyaga na kuiponda miili yao kwa farasi. Wakati wa jioni ya siku ya Ashura, jeshi la Yazid lilishambulia mahema ya Imamu Hussein (a.s) na kuyachoma moto, kisha kuwachukua mateka wale walionusurika katika vita hivyo. Miongoni mwa mateka hao ni; Imam [[Sajjad (a.s)]], ambaye hakupigana katika vita hivyo kutokana na maradhi, pamoja na bibi [[Zainab (a.s)]]. Askari wa Omar bin Sa'ad walivichomeka vichwa vya mashahidi kwenye ncha za mikuki na kumfikishia Obaidullah bin Ziad vichwa hivyo pamoja na [[Mateka wa Karbala|mateka]] wa vita hivyo huko mji wa Kufa, na hatimae wakampelekea Yazidi huko huko Syria.
Kabla ya Imamu Hussein (a.s) kufika Kufa, alikuwa tayari amesha pata habari kuhusu khiana za watu wa Kufa, na baada ya kukutana na jeshi la [[Hur bin Yazid Riahi]], Imamu aliuelekeza msafara wake [[Karbala]], ambako alikabiliana na [[jeshi la Umar bin Sa'ad]], jeshi ambalo lilitumwa na [[Ubaidullah bin Ziad]] dhidi ya Imamu Hussein (a.s). Majeshi mawili hayo yalipambana [[mwezi 10 Muharram,]] siku ambayo inajulikana kama ni [[siku ya Ashura]]. Baada ya Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake kuuawa mashahidi, jeshi la Omar bin Sa'ad liilikanyaga na kuiponda miili yao kwa farasi. Wakati wa jioni ya siku ya Ashura, jeshi la Yazid lilishambulia mahema ya Imamu Hussein (a.s) na kuyachoma moto, kisha kuwachukua mateka wale walionusurika katika vita hivyo. Miongoni mwa mateka hao ni; Imamu [[Sajjad (a.s)]], ambaye hakupigana katika vita hivyo kutokana na maradhi, pamoja na bibi [[Zainab (a.s)]]. Askari wa Omar bin Sa'ad walivichomeka vichwa vya mashahidi kwenye ncha za mikuki na kumfikishia Ubaidullah bin Ziad vichwa hivyo pamoja na [[Mateka wa Karbala|mateka]] wa vita hivyo huko mji wa Kufa, na hatimae wakampelekea Yazidi huko huko Syria.
Miili ya [[mashahidi wa Karbala]] ilizikwa usiku na watu kupitia [[kabila la Bani Asad]] baada ya jeshi la Omar Saad kuondoka katika eneo hilo la Karbala.
Miili ya [[mashahidi wa Karbala]] ilizikwa usiku na watu kupitia [[kabila la Bani Asad]] baada ya jeshi la Omar Saad kuondoka katika eneo hilo la Karbala.


Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits