Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Safari ya Imamu Hussein (a.s) Kuelekea Mji wa Kufa
Mstari 61: | Mstari 61: | ||
==Safari ya Imamu Hussein (a.s) Kuelekea Mji wa Kufa== | ==Safari ya Imamu Hussein (a.s) Kuelekea Mji wa Kufa== | ||
Imamu Hussein (a.s) aliondoka Makka kwenda Kufa mnamo [[siku ya nane ya Dhul-Hijjah]] | Imamu Hussein (a.s) aliondoka Makka kwenda Kufa mnamo [[siku ya nane ya Dhul-Hijjah]]<ref>Baladhri, Ansab al-Ashraf, 1417 AH, juz. 3, uk. 160; Tabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 381; Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 81.</ref> siku ambayo [[Muslim bin Aqil|Muslim]] alisimama kwa ajili ya Hussein (a.s) mjini humo akiwa pamoja na watu 82,<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 69; Khawarizmi, Maqtal al-Hussein, Maktabat al-Mufid, uk. 220; Irbali, Kashf al-Ghamah, 1381 AH, juz. 2, uk. 43.</ref> ambao 60 kati yao walikuwa ni Mashia watoka mji huo [[Kufa]].<ref>Ibn Saad, Tabaqat al-Kubari, 1414 AH, juz. 1, uk. 451; Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 69</ref> | ||
Kwa mujibu wa maelezo ya [[Sheikh Mufid]], Imamu Hussein (a.s) alisimamisha hijja yake bila ya kuikamilisha ili aondoke haraka mjini Makka. Hivyo basi aliamua kuibadili nia yake kutoka [[hijja]] na kwenda ibada ya [[Umra ya mufrad]] kisha akavua [[ihram]]. | Kwa mujibu wa maelezo ya [[Sheikh Mufid]], Imamu Hussein (a.s) alisimamisha hijja yake bila ya kuikamilisha ili aondoke haraka mjini Makka. Hivyo basi aliamua kuibadili nia yake kutoka [[hijja]] na kwenda ibada ya [[Umra ya mufrad]] kisha akavua [[ihram]].<ref>Tazama: Mufid, al-Irshad, 1399 AH, juz. 2, uk. 66; Fatal Nishabouri, Rawdhat al-Waidhiin, Nashr Radha, uk. 177; Tabrasi, I'lam al-Waraa, Muasase Ahlul-bayt, juz. 1, uk. 445; Askari, Ma'alim al-Madrasatein, 1401 AH, juz. 3, uk. 57; Majlisi, Bihar al-Anwar, 1403 AH, juz. 45, uk. 99.</ref> Hata hivyo kutokana na ushahidi wa kihistoria na simulizi kadhaa, kuna baadhi ya watafiti waliosema kwamba; Tokea mwanzo Imamu Husein alikusudia kufanya ibada ya umra, na baada ya kumaliza ibada yake hiyo, aliondoka mjini Makka.<ref>[http://ensani.ir/fa/article/188354/ Ibrahimi, «Naqdi wa Tahlil Ruwikardihaye Hajj Imamu Hussein (a.s)», uk. 11-24.]</ref> | ||
Katika mwezi wa mwisho ambao Imamu Hussein (a.s) alikaa huko Makka, ambapo ilikuwa ikishakiwa ya kwamba; kuna uwezekano wa Imamu Hussein (a.s) kusafiri na kulekea mji Kufa, baadhi ya watu, akiwemo [[Abdullah bin Abbas]], walikwenda kwake ili kumzuia asisafiri kuelekea Kufa, ila juhuidi zao hazikufanikiwa. [ | Katika mwezi wa mwisho ambao Imamu Hussein (a.s) alikaa huko Makka, ambapo ilikuwa ikishakiwa ya kwamba; kuna uwezekano wa Imamu Hussein (a.s) kusafiri na kulekea mji Kufa, baadhi ya watu, akiwemo [[Abdullah bin Abbas]], walikwenda kwake ili kumzuia asisafiri kuelekea Kufa, ila juhuidi zao hazikufanikiwa.<ref>[https://makarem.ir/main.aspx?lid=0&mid=246596&typeinfo Didor Abdullah bin Abbas Ba Imamu Hussein (a.s)], Paygahe Itilai Resani Ayatullah Makarim Shirazi.</ref> | ||
Baada ya Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake kuondoka mji wa Makka, Yahya bin Said, kamanda wa walinzi wa [['Amru bin Said bin 'Aas]] - ambaye pia aliku ni gavana wa Makka - pamoja na kundi la masahaba zake, walimfungia njia Hussein (a.s), Lakini Imamu Hussein hakuwajali na akaendelea na safari yake. | Baada ya Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake kuondoka mji wa Makka, Yahya bin Said, kamanda wa walinzi wa [['Amru bin Said bin 'Aas]] - ambaye pia aliku ni gavana wa Makka - pamoja na kundi la masahaba zake, walimfungia njia Hussein (a.s), Lakini Imamu Hussein hakuwajali na akaendelea na safari yake.<ref>Dinuri, Akhbar al-Tiwal, 1368 S, uk. 244; Baladhiri, Ansab al-Ashraf, 1417 AH, juz. 3, uk. 164; Tabari, Tarikh al-Umam al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 385.</ref> | ||
===Vituo vya Mapumziko vya Msafara Kutoka Makka Hadi Kufa=== | ===Vituo vya Mapumziko vya Msafara Kutoka Makka Hadi Kufa=== | ||
Mstari 111: | Mstari 111: | ||
# [[Qasr Bani Muqatil]]: Mahala Imamu (a.s) alipokutana na [[Ubaidu Allah bin Hurru al-Ju'ufi]] na kukataa kwake kumsaidia Imamu (a.s) | # [[Qasr Bani Muqatil]]: Mahala Imamu (a.s) alipokutana na [[Ubaidu Allah bin Hurru al-Ju'ufi]] na kukataa kwake kumsaidia Imamu (a.s) | ||
# [[Qatqatana]]. | # [[Qatqatana]]. | ||
# Karbala, [[Wadi Al-Taff]]: Imamu Hussein (a.s) aliingia Karbala mwezi 2 Muharram [[mwaka wa 61 Hijiria]]. | # Karbala, [[Wadi Al-Taff]]: Imamu Hussein (a.s) aliingia Karbala mwezi 2 Muharram [[mwaka wa 61 Hijiria]].<ref>Jafarian, Atlas Shia,Intisharat Sazman Jaafariyayi Nuruhaye Muslih, uk. 66.</ref> | ||
{{End}} | {{End}} | ||
Akiwa njiani Imam Hussein (a.s), alijaribu kuwavutia au kuwafunua watu akili ili waondoke kutoka katika giza la dhulma na wafungamane naye katika kupigania haki; Miongoni mwa juhudi zake katika kuuanika ukweli na kuutandaza hadharani; ni pale alipokuwa [[Dhatu 'Irqi]], ambapo [[Bishr bin Ghalib Al-Asadi]] alimfikia Imamu na kumpa habari juuu ya hali ya machafuko ilioko mjini Kufa na Imamu akamuunga mkono na kuthibitisha maneno yake.Bishr bin Ghalib Al-Asadi akamuuliza Imamu Hussein (a.s) kuhusu Aya isemayo: ({{Arabic|یوْمَ نَدْعُو کُلَّ أُنَاس بِإِمَامِهِم}} ; Siku tutakapowaita watu wote kupitia Maimamu wao). | Akiwa njiani Imam Hussein (a.s), alijaribu kuwavutia au kuwafunua watu akili ili waondoke kutoka katika giza la dhulma na wafungamane naye katika kupigania haki; Miongoni mwa juhudi zake katika kuuanika ukweli na kuutandaza hadharani; ni pale alipokuwa [[Dhatu 'Irqi]], ambapo [[Bishr bin Ghalib Al-Asadi]] alimfikia Imamu na kumpa habari juuu ya hali ya machafuko ilioko mjini Kufa na Imamu akamuunga mkono na kuthibitisha maneno yake.Bishr bin Ghalib Al-Asadi akamuuliza Imamu Hussein (a.s) kuhusu Aya isemayo: ({{Arabic|یوْمَ نَدْعُو کُلَّ أُنَاس بِإِمَامِهِم}} ; Siku tutakapowaita watu wote kupitia Maimamu wao).<ref>Surat al-Israa: Aya ya 71.</ref> Imamu Hussein (a.s) akasema: "Kuna makundi mawili ya maimamu; kundi linalowalingania watu kwenye uwongofu na kundi linalowalingania kwenye upotovu." Hivyo basi yeyote yule atakayemfuata [[imamu]] wa uongofu atakwenda [[peponi]], na atakayemfuata imamu wa upotofu ataingia [[motoni]].<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 120.</ref> Bishr bin Ghalib hakufuatana na Imam Hussein (a.s) katika mapambano yake dhidi ya dhulma. Inasemekana ya kwamba; baada ya kumalizika kwa tukio la Karbala, yeye alikuwa alikuwa akienda kulia kwenye kaburi la Imamu Hussein (a.s) akidhihirisha majuto yake kwa kutomsaidia Imamu Hussein (a.s).<ref>Ibn Saad, Tarjumat al-Imamu Hussein wa Muqtalihi, Muasase Ahlul-bayt (a.s), uk. 88.</ref> | ||
Katika eneo la [[Tha'albiyya]], mtu mmoja aitwaye Abu Hirrah Al-Azdi alikuja kwa Imamu Hussein (a.s) na kumuuliza makusudio ya safari yake hiyo, na Imamu Hussein (a.s) akamjibu kwa kusema: | Katika eneo la [[Tha'albiyya]], mtu mmoja aitwaye Abu Hirrah Al-Azdi alikuja kwa Imamu Hussein (a.s) na kumuuliza makusudio ya safari yake hiyo, na Imamu Hussein (a.s) akamjibu kwa kusema: | ||
[[Bani Umayya]] wamechukua mali yangu, nikavuta [[subra]], wakanitukana pia nikavuta subra, ila nilivyowaona wamedhamiria kumwaga damu yangu nikaamua kukimbia. Ewe Abu Hirrah! Elewa ya kwamba mimi nitauawa na kundi la waasi na Mwenyezi Mungu atawavisha kabisa vazi la unyonge (atawadhalilisha) na atawachagulia mtawala atakaye wadhalilisha na kuwatawala kwa upanga mkali. | [[Bani Umayya]] wamechukua mali yangu, nikavuta [[subra]], wakanitukana pia nikavuta subra, ila nilivyowaona wamedhamiria kumwaga damu yangu nikaamua kukimbia. Ewe Abu Hirrah! Elewa ya kwamba mimi nitauawa na kundi la waasi na Mwenyezi Mungu atawavisha kabisa vazi la unyonge (atawadhalilisha) na atawachagulia mtawala atakaye wadhalilisha na kuwatawala kwa upanga mkali.<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 123.</ref> | ||
===Kutumwa kwa Qais bin Mus'har Kwenda Mji wa Kufa=== | ===Kutumwa kwa Qais bin Mus'har Kwenda Mji wa Kufa=== |