Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Muslim bin Aqiil Kutumwa Mji wa Kufa
(→Vyanzo) |
|||
Mstari 55: | Mstari 55: | ||
Imamu Hussein (a.s) alimpa barua [[Muslim bin Aqiil]], binamu yake, aende [[Iraq]] akachunguze hali ilivyo katika mji huo kisha amjulishe hali halisis ilivyo.”<ref>Dinori, Akhbar al-Tawal, 1368 S, uk. 230; Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 347; Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 39; Ibn Athir, al-Kamal Fi al-Tarikh, 1965, juz. 4, uk. 21.</ref> Baada ya kufika katika mji wa Kufa, Muslim ima alikaa katika nyumba ya [[Mukhtar bin Abi 'Ubaid Thaqafiy]],<ref>Baladhri, Ansab al-Ashraf, 1417 AH, juz. 2, uk. 77; Tabari, Tarikh Al-Amam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 355.</ref> au nyumba ya [[Muslim bin Ausajah]].<ref>Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 347; Masoudi, Muruj al-Dhahb, 1409 AH, juz. 3, uk. 54.</ref> [[Shia|Mashia]] wakawa wanakwenda kukutana naye katika mahala alipofikia, naye akawa anawasomea ujumbe ulioko katika barua hiyo.<ref>Dinuri, Akhbar al-Tawal, 1368 S, uk. 231.</ref> Katika hali hiyo, Muslim awaka anachukua [[kiapo cha utiifu]] kwa ajili ya Imamu Husein (a.s) kutoka kwa watu mbali mbali.<ref>Muqram, Al-Shahid Muslim Ibn Aqil (a.s), 1407 AH, uk. 85-86.</ref> Katika mji huo wa Kufa, Muslim bin 'Aqiil aliweza kupata kiasi cha viapo 12,000<ref>Tabari, Tarikh Al-Amam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 348.</ref> au 18,000.<ref>Dinuri, Akhbar al-Tawal, 1368 S, uk. 235.</ref> Ila kwa mujibu wa nukuu nyengine, Muslim aliweza kukusanya zaidi ya watu 30,000<ref>Ibn Qutaiba Dinuri, Al-Imamah wa Al-Siyasa, 1990, juz. 2, uk. 8.</ref> na kuchukua viapo vya utiifu kwa ajili ya Imamu Hussein (a.s) kutoka kwao. Muslim alimwandikia barua Imamu Hussein na kuthibitisha kuwepo idadi kubwa ya watu walitoa ahadi ya utiifu na akamtaka Imamu Hussein aende katika mji huo wa Kufa.<ref>Dinuri, Akhbar al-Tawal, 1368 S, uk. 243; Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 395.</ref> | Imamu Hussein (a.s) alimpa barua [[Muslim bin Aqiil]], binamu yake, aende [[Iraq]] akachunguze hali ilivyo katika mji huo kisha amjulishe hali halisis ilivyo.”<ref>Dinori, Akhbar al-Tawal, 1368 S, uk. 230; Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 347; Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 39; Ibn Athir, al-Kamal Fi al-Tarikh, 1965, juz. 4, uk. 21.</ref> Baada ya kufika katika mji wa Kufa, Muslim ima alikaa katika nyumba ya [[Mukhtar bin Abi 'Ubaid Thaqafiy]],<ref>Baladhri, Ansab al-Ashraf, 1417 AH, juz. 2, uk. 77; Tabari, Tarikh Al-Amam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 355.</ref> au nyumba ya [[Muslim bin Ausajah]].<ref>Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 347; Masoudi, Muruj al-Dhahb, 1409 AH, juz. 3, uk. 54.</ref> [[Shia|Mashia]] wakawa wanakwenda kukutana naye katika mahala alipofikia, naye akawa anawasomea ujumbe ulioko katika barua hiyo.<ref>Dinuri, Akhbar al-Tawal, 1368 S, uk. 231.</ref> Katika hali hiyo, Muslim awaka anachukua [[kiapo cha utiifu]] kwa ajili ya Imamu Husein (a.s) kutoka kwa watu mbali mbali.<ref>Muqram, Al-Shahid Muslim Ibn Aqil (a.s), 1407 AH, uk. 85-86.</ref> Katika mji huo wa Kufa, Muslim bin 'Aqiil aliweza kupata kiasi cha viapo 12,000<ref>Tabari, Tarikh Al-Amam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 348.</ref> au 18,000.<ref>Dinuri, Akhbar al-Tawal, 1368 S, uk. 235.</ref> Ila kwa mujibu wa nukuu nyengine, Muslim aliweza kukusanya zaidi ya watu 30,000<ref>Ibn Qutaiba Dinuri, Al-Imamah wa Al-Siyasa, 1990, juz. 2, uk. 8.</ref> na kuchukua viapo vya utiifu kwa ajili ya Imamu Hussein (a.s) kutoka kwao. Muslim alimwandikia barua Imamu Hussein na kuthibitisha kuwepo idadi kubwa ya watu walitoa ahadi ya utiifu na akamtaka Imamu Hussein aende katika mji huo wa Kufa.<ref>Dinuri, Akhbar al-Tawal, 1368 S, uk. 243; Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 395.</ref> | ||
[[Yazid]], aliposikia habari za kiapo cha utiifu cha watu wa Kufa kupitia Muslim na pia muala nyororo alioupata kutoka kwa [[Numan bin Bashir]] (mtawala wa Kufa wakati huo), aliamua kumteua [[Ubaidullah bin Ziad]], ambaye alikuwa ni mtawala wa [[Basra]] wakati huo, ili aje kutawala watu wa mji wa Kufa.<ref>Dinuri, Akhbar al-Tawal, 1368 S, uk. 231.</ref> Baada ya Ibnu Ziad kuingia mjini Kufa, alianza kuwasaka waliotoa kiapo cha utiifu kwa Imamu Hussein (a.s), na kuwatisha wakuu wa makabila wa mji huo. | [[Yazid]], aliposikia habari za kiapo cha utiifu cha watu wa Kufa kupitia Muslim na pia muala nyororo alioupata kutoka kwa [[Numan bin Bashir]] (mtawala wa Kufa wakati huo), aliamua kumteua [[Ubaidullah bin Ziad]], ambaye alikuwa ni mtawala wa [[Basra]] wakati huo, ili aje kutawala watu wa mji wa Kufa.<ref>Dinuri, Akhbar al-Tawal, 1368 S, uk. 231.</ref> Baada ya Ibnu Ziad kuingia mjini Kufa, alianza kuwasaka waliotoa kiapo cha utiifu kwa Imamu Hussein (a.s), na kuwatisha wakuu wa makabila wa mji huo.<ref>Tabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 359.</ref> Ripoti za historia zinaeleza juu ya hofu ya watu kutokana na propaganda za Ubaidullah, khofu ambayo iliwafnya watawanyike kwa haraka mno na kuachana na Muslim bin 'Aqiil, hadi ikafikia hali ya Muslim kuachwa peke yake akiwa hana maha pa kulala.<ref>Tabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 369-371.</ref> Hali hiyo ya iliendelea hatimaye baada ya mzozo fulani, alijisalimisha kupitia barua ya amani ya [[Muhammad bin Ash'ath]]<ref>Tabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 350-374.</ref> na kupelekwa ikulu. Ila Ibnu Ziad akaidharau na kuitupilia mbali barua ya amani ya Ibnu Ash'ath, kisha akaamuru wafuasi wake kumkata kichwa Muslim bin 'Aqiil.<ref>Mufid, Al-Arshad, 1399 AH, juz. 2, uk. 53-63.</ref> | ||
Kwa mujibu wa baadhi ya ripoti za kihistoria, Muslim, ambaye alikuwa na wasiwasi kuhusu Imamu Husein (a.s), alimuusia [[Omar bin Sa'ad]], ambaye anatokana na [[kabila la Quraishi]], kumtuma mtu kwa Imam na kumkataza Imamu Hussein asiende katika mji huo wa Kufa. | Kwa mujibu wa baadhi ya ripoti za kihistoria, Muslim, ambaye alikuwa na wasiwasi kuhusu Imamu Husein (a.s), alimuusia [[Omar bin Sa'ad]], ambaye anatokana na [[kabila la Quraishi]], kumtuma mtu kwa Imam na kumkataza Imamu Hussein asiende katika mji huo wa Kufa.<ref>Jafarian, Taamul Dar Nahdhat Ashura, 1381 S, uk 169; Muqram, al-Shaheed Muslim bin Aqeel (a.s), 1407 AH, uk. 146</ref> Omar bin Sa'ad naye akamtuma kuufikisha ujumbe wa Muslim kwa Imamu Hussein katika kituo cha makazi kilichokuwa kikijulikana kwa jina la [[Zubaala]].<ref>Jafarian, Taamul Dar Nahdhat Ashura, 1381 S, uk 172</ref> | ||
==Safari ya Imamu Hussein (a.s) Kuelekea Mji wa Kufa== | ==Safari ya Imamu Hussein (a.s) Kuelekea Mji wa Kufa== |