Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
→Sura ya Kwanza na ya Mwisho Kushuka
Mstari 310: | Mstari 310: | ||
==Sura ya Kwanza na ya Mwisho Kushuka== | ==Sura ya Kwanza na ya Mwisho Kushuka== | ||
Kuna mitazamo mitatu kuhusu Sura ya kwanza kushuka kwa bwana Mtume (s.a.w.w). Kundi moja linasema kwamba; Sehemu ya mwanzo kushuka ilikuwa ni Aya za mwanzo za [[surat al-Alaq]], huku wengine wakiamini kwamba; Cha mwanzo kushuka kilikuwa ni Aya za mwanzo za [[Surat al-Muddathir]], pia kuna wengine wanaosema kwaba; Cha mwanzo kushuka kilikuwa ni [[surat al-Fatiha]]. | Kuna mitazamo mitatu kuhusu Sura ya kwanza kushuka kwa bwana Mtume (s.a.w.w). Kundi moja linasema kwamba; Sehemu ya mwanzo kushuka ilikuwa ni Aya za mwanzo za [[surat al-Alaq]], huku wengine wakiamini kwamba; Cha mwanzo kushuka kilikuwa ni Aya za mwanzo za [[Surat al-Muddathir]], pia kuna wengine wanaosema kwaba; Cha mwanzo kushuka kilikuwa ni [[surat al-Fatiha]].<ref>Suyuti, Al-Itqan, 1421 AH, juz. 1, uk. 106-108; Maarifat, Tamhid, 1386 S, juz. 1, uk. 124-126.</ref> [[Muhammad Hadi Ma'arifati]], mwandishi wa [[kitabu Al-Tamhid]], anaamini kuwa; Ingawa Aya za mwanzo za Surat al-‘Alaq ndizo Aya za kwanza kushuka, na kwamba Aya za mwanzo kushuka baada ya [[kipindi cha ulinganiaji]] wa chini kwa chini ni baadhi ya Aya za Surat al-Muddathir, Ila Sura ya kwanza kabisa iliyoshuka kikamilifu, ilikuwa ni Surat al-Hamd (Fatihatul Kitab).<ref>Maarifat, Tamhid, 1386 S, juz. 1, uk. 127.</ref> | ||
Pia kuna mitazamo tofauti kuhusiana na Sura ya mwisho kushuka kwa Mtume Muhammad (s.w.w.w); Baadhi ya watafiti wanasema kuwa, Sura ya mwisho ilikuwa ni [[Surat Baraa-a]], huku wengine wakidai kuwa ni [[Surat al-Nasri]], na wengine wanasema kuwa ni [[Surat al-Maida]]. | Pia kuna mitazamo tofauti kuhusiana na Sura ya mwisho kushuka kwa Mtume Muhammad (s.w.w.w); Baadhi ya watafiti wanasema kuwa, Sura ya mwisho ilikuwa ni [[Surat Baraa-a]], huku wengine wakidai kuwa ni [[Surat al-Nasri]], na wengine wanasema kuwa ni [[Surat al-Maida]].<ref>Maarifat, Tamhid, 1386 S, juz. 1, uk. 127.</ref> Katika moja ya Hadithi kutoka kwa [[Imamu Sadiq]] ni kwamba; Sura ya mwisho kushuka ilikuwa ni Surat al-Nasri.<ref>Sheikh Saduq, Uyun Akhbar al-Ridha (a.s), 1378 AH, juz. 2, uk. 6.</ref> Kwa kuwa Sura al-Nasr ilishuka kabla ya ufunguzi [[(ukombozi) wa mji wa Makka]], na Surat al-Tawba ni baada ya ukombozi wa Makka, hii imemfanya Muhammad Hadi Ma'arifati kuamini kwamba; ingawa Aya za kwanza za Surat Baraa-a zilishuka baada ya Surat al-Nasri, ila Sura ya mwisho iliyoshuka kikamilifu ilikuwa ni Surat al-Nasri.<ref>Maarifat, Tamhid, 1386 S, juz. 1, uk. 128.</ref> | ||
==Faida za Sura== | ==Faida za Sura== |