Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
→Faida za Sura
Mstari 318: | Mstari 318: | ||
:''Makala Asili: [[Faida za Sura]]'' | :''Makala Asili: [[Faida za Sura]]'' | ||
Katika vyanzo vikuu vya mwanzo vya Hadithi za Shia, kuna Hadithi kadhaa kuhusiana na faida za Sura za Qur’ani, na milango kadhaa katika vitabu kama vile; [[Al-Kafi (kitabu)|Al-Kafi]] | Katika vyanzo vikuu vya mwanzo vya Hadithi za Shia, kuna Hadithi kadhaa kuhusiana na faida za Sura za Qur’ani, na milango kadhaa katika vitabu kama vile; [[Al-Kafi (kitabu)|Al-Kafi]]<ref>Kuleini, Al-Kafi, 1407 AH, juz. 2, uk. 596.</ref> na [[Thawab al-A'mal]],<ref>Sheikh Saduq, Thawab al-Amal, 1406 AH, uk. 103.</ref>imekusanya na kutafiti ndani yake aina hii ya Hadithi. Katika nyakati zilizofuata baadae, pia wanazuoni kadhaa waliandika kuhusiana na Hadithi hizi vitabuni mwao.<ref>Tazama: Hurr Amili, Wasail al-Shia, 1409 AH, ju. 6, uk. 37; Majlisi, Bihar al-Anwar, 1403 AH, juz. 89, uk. 223, juz. 110, uk. 263; Burujurdi, Jamiu Ahadith al-Shia, 1386 S, juz. 23, uk. 790.</ref> Katika vyanzo vya Hadithi za Sunni pia, kuna Hadithi nyingi kuhusiana na faida za Sura na Aya fulani za Qurani.<ref>Malik bin Anas, Al-Mautwa, 1425 AH, juz. 1, uk. 202; Bukhari, Sahih Bukhari, 1422 AH, juz. 6, uk. 187-189; Tirmidhi, Sunan al-Tirmidhi, 1419 AH, juz. 4, uk. 231.</ref> Hata hivyo, Hadithi hizi zimekabiliwa na tatizo la udhaifu wa ithibati katika asili mapokezi na matini yake na nyingi kati yake zimeelezwa kuwa ni Hadithi za kughushi (bandia).<ref>Nasiri, «Chegunegi Taamul Ba Riwayat Fadhail wa Khawas Ayat wa Suwari», uk. 67</ref> | ||
==Maelezo== | ==Maelezo== |