Nenda kwa yaliyomo

Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 304: Mstari 304:
==Mpangilio wa Sura za Qur’ani==
==Mpangilio wa Sura za Qur’ani==


Watafiti wengi wanaamini kwamba mpangilio wa Sura za Qurani katika Mus'haf (Msahafu), haukufanywa kwa amri ya bwana Mtume (s.a.w.w), bali ulifanywa na Masahaba. [56] Moja ya sababu zinazothibitisha mtazamo huu, ni tofauti ya mpangilio wa Sura katika misahafu tofauti ya Masahaba; [57] kama vile [[Mus'haf wa Imamu Ali]] uliopangwa kulingana na mpangilio wa kushuka kwa Sura ulivyokuwa. [58] Toleo la sasa la Qur’ani lililopo miongoni mwa Waislamu ni toleo lililokusanywa kwa amri ya Khalifa wa tatu, ambaye ni [[Othman ibn Affan]], [59] na kuidhinishwa na [[Imam Ali]] na [[Maimamu wa Kishia|Maimamu]] wengine wa Ahlul-Bayt (a.s). [60]
Watafiti wengi wanaamini kwamba mpangilio wa Sura za Qurani katika Mus'haf (Msahafu), haukufanywa kwa amri ya bwana Mtume (s.a.w.w), bali ulifanywa na Masahaba.<ref>Faqhizadeh, Pezuhesh Dar Nadhm Qur'an, 1374 S, uk. 72.</ref> Moja ya sababu zinazothibitisha mtazamo huu, ni tofauti ya mpangilio wa Sura katika misahafu tofauti ya Masahaba;<ref>Ramiyar, Tarkh Dar Qur'an, 1369 S, uk. 598.</ref> kama vile [[Mus'haf wa Imamu Ali]] uliopangwa kulingana na mpangilio wa kushuka kwa Sura ulivyokuwa.<ref>Sheikh Mufid, Al-Masal al-Sarawiyah, 1413 AH, uk. 79.</ref> Toleo la sasa la Qur’ani lililopo miongoni mwa Waislamu ni toleo lililokusanywa kwa amri ya Khalifa wa tatu, ambaye ni [[Othman ibn Affan]],<ref>Faqhizadeh, Pezuhesh Dar Nadhm Qur'an, 1374 S, uk. 73.</ref> na kuidhinishwa na [[Imam Ali]] na [[Maimamu wa Kishia|Maimamu]] wengine wa Ahlul-Bayt (a.s).<ref>Maarifat, Tamhid, 1386 S, juz. 1, uk. 341-342.</ref>


Hata hivyo, baadhi ya watafiti wa Qur’ani wanaamini kuwa mpangilio wa sasa wa sura za Qur’ani ulifanywa kwa amri ya bwana Mtume (s.a.w.w). [61] Baadhi ya watafiti hawa wanaamini kuwa; Sura za Qur’ani zimewekwa kwa namna maalumu iliyounda fungamano lenye mlingano na uhusiano maalumu kati yao. [62] Kikundi kingine kinadai kuwa; Mpangilio wa Sura za Qur’ani ni mchanganyiko wa amri kutoka kwa bwana Mtume (s.a.w.w) pamoj na ijtihadi (uamuzi wa kibinafsi) wa Masahaba waliokabidhiwa jukumu la kukusanya Qur’ani na Othman. [63]
Hata hivyo, baadhi ya watafiti wa Qur’ani wanaamini kuwa mpangilio wa sasa wa sura za Qur’ani ulifanywa kwa amri ya bwana Mtume (s.a.w.w).<ref>Suyuti, Al-Itqan, 1421 AH, juz. 1, uk. 223; Subhi Saleh, Mabahith Fi Ulumi al-Qur'an, 1372 S, uk. 71.</ref> Baadhi ya watafiti hawa wanaamini kuwa; Sura za Qur’ani zimewekwa kwa namna maalumu iliyounda fungamano lenye mlingano na uhusiano maalumu kati yao.<ref>Suyuti, Tartib Suwari al-Qur'an, 2000 AD, uk. 32.</ref> Kikundi kingine kinadai kuwa; Mpangilio wa Sura za Qur’ani ni mchanganyiko wa amri kutoka kwa bwana Mtume (s.a.w.w) pamoj na ijtihadi (uamuzi wa kibinafsi) wa Masahaba waliokabidhiwa jukumu la kukusanya Qur’ani na Othman.<ref>Ibn Atiyyeh, Al-Muhariru al-Awajiz, 1422 AH, juz. 1, uk. 50.</ref>


==Sura ya Kwanza na ya Mwisho Kushuka==
==Sura ya Kwanza na ya Mwisho Kushuka==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits