Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
→Uwekaji wa Majina ya Sura za Qurani
Mstari 296: | Mstari 296: | ||
==Uwekaji wa Majina ya Sura za Qurani== | ==Uwekaji wa Majina ya Sura za Qurani== | ||
Kila moja ya Sura za Qur’ani ina jina lake maalum, ambalo mara nyingi linatokana na maneno ya mwanzo ya Sura hiyo au kutoka kwenye maudhui na ujumbe uliomo ndani yake. Kwa mfano, surat Al-Baqara imepewa jina hili kutokana na kutajwa kwa [[ng'ombe wa Wana wa Israeli]] ndani ya Sura hiyo, na [[Surat An-Nisa]] imepewa jina hili kutokana na kutajwa kwa sheria zinazohusiana na wanawake ndani yake. | Kila moja ya Sura za Qur’ani ina jina lake maalum, ambalo mara nyingi linatokana na maneno ya mwanzo ya Sura hiyo au kutoka kwenye maudhui na ujumbe uliomo ndani yake. Kwa mfano, surat Al-Baqara imepewa jina hili kutokana na kutajwa kwa [[ng'ombe wa Wana wa Israeli]] ndani ya Sura hiyo, na [[Surat An-Nisa]] imepewa jina hili kutokana na kutajwa kwa sheria zinazohusiana na wanawake ndani yake.<ref>Suyuti, al-Itqan, 1421 AH, juz. 1, uk. 203.</ref> Baadhi ya Sura za Qurani zina majina zaidi ya moja. Kwa mfano, Suyuti ameelezea idadi ya majina 25 tofauti kwa ajili ya [[surat Al-Fatiha]].<ref>Suyuti, al-Itqan, 1421 AH, juz. 1, uk. 193-196.</ref> | ||
Kuna tofauti ya maoni; iwapo uwekaji majina haya ulifanywa kwa maagizo ya bwana [[Mtume (s.a.w.w)]] kupitia ufunuo au ulifanywa na [[Masahaba]] baada yake. | Kuna tofauti ya maoni; iwapo uwekaji majina haya ulifanywa kwa maagizo ya bwana [[Mtume (s.a.w.w)]] kupitia ufunuo au ulifanywa na [[Masahaba]] baada yake.<ref>Abu Shahbeh, Al-Madkhal Lidirasat Al-Qur'an Al-Karim, 1423 AH, uk. 1423 AH, uk. 321.</ref> Baadhi ya watafiti wa Qurani kama vile Al-Zarkashi na Al-Suyuti wanaamini kwamba; Uwekaji majina wa Sura za Qur’ani ulifanywa na bwana Mtume mwenyewe, na ni suala la [[tawqifiyyun]],<ref>Tazama: Zarakashi, Al-Burhan, 1410 AH, juz. 1, uk. 367; Suyuti, Al-Itqan, 1421 AH, juz. 1, uk. 192.</ref> yaani haupaswi kubadilishwa majina hayo.<ref>Abu Shahbeh, Al-Madkhal Lidirasat Al-Qur'an Al-Karim, 1423 AH, uk. 1423 AH, uk. 321.</ref> Kwa kutegemea hoja hii ya kwamba; Majina ya Sura za Qur’ani yamewekwa na bwamna Mtume (s.a.w.w) kwa mwongozo wa wahyi, na kuwepo umarufuku wa kuleta mabadiliko ndani yake, baadhi ya waandishi wameuelezea uwekaji wa majina ya Sura za Qur’ani kama ni sehemu ya [[miujiza ya kifasihi ya Qurani]], wakidai kwamba; kusudio kuu na muhtasari wa Sura unaweza kueleweka kutoka kwa majina hayo.<ref>Khamegar, Sakhtar Handasi Surehaye Qur'an, 1386 S, uk. 132.</ref> | ||
Kinyume na mtazamo wa [[Sayyid Muhammad Hussein Tabataba'i]] na [[Abdullah Jawadi Amuli]], baadhi ya wafasiri wa Shia wa karne ya kumi na nne, hawaamini kuwa majina ya Sura yaliteuliwa na bwana Mtume (s.a.w.w), na kwamba suala hili ni lenye umarufu mbele ya Mwenye Ezi Mungu. | Kinyume na mtazamo wa [[Sayyid Muhammad Hussein Tabataba'i]] na [[Abdullah Jawadi Amuli]], baadhi ya wafasiri wa Shia wa karne ya kumi na nne, hawaamini kuwa majina ya Sura yaliteuliwa na bwana Mtume (s.a.w.w), na kwamba suala hili ni lenye umarufu mbele ya Mwenye Ezi Mungu.<ref>Tabatabai, Qur'an Dar Islam, 1353 S, uk. 219 ; Jawadi Amuli, Tafsir Tasnim, 1389 S, juz. 2, uk. 27.</ref> Kwa mtazamo wao ni kwamba; hata katika zama za Mtume (s.a.w.w), majina ya Sura nyingi yaliibuka kutokana na Masahaba kutumia majina hayo mara kwa mara.<ref>Tabatabai, Qur'an Dar Islam, 1353 S, uk. 219 ; Jawadi Amuli, Tafsir Tasnim, 1389 S, juz. 2, uk. 27.</ref> Kwa mujibu wa maoni ya Jawadi Amuli, haiwezekani Sura yenye maarifa ya kiwango cha juu na hekima za kupindukia, ipewe jina la mnyama, au kwa mfano; [[Surat al-An'am]] ambayo ina majadiliano na tafiti kahdaa kuhusiana na tauhidi, iitwe kwa jina la al-An'am leneye maana ya wanyama, au [[Surat al-Namli]] yenye visa kadhaa vya mitume ije kuitwa kwa jina la al-Namlu kwa maana ya mdudu chungu (sisimizi).<ref>Jawadi Amuli, Tafsir Tasnim, 1389 S, juz. 2, uk. 27.</ref> | ||
==Mpangilio wa Sura za Qur’ani== | ==Mpangilio wa Sura za Qur’ani== |