Nenda kwa yaliyomo

Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 12: Mstari 12:
Sura ndogo ndogo na katika baadhi ya matukio Sura refu za Qur'ani (kama vile [[surat An'aam]]) ziliteremshwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) kwa mpigo mmoja (kwa mfumo wa Sura nzima).<ref>Ma'arif, Dar Omad Bar Tarikh Qur'an, 1383 S, uk. 137</ref> Pia baadhi ya Sura zilteremshwa kwa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) kwa awamu mbali mbali, na mpangilio wa Aya zake uliwekwa kwa amri ya Mtume mwenyewe (s.a.w.w).<ref>Ma'arif, Dar Omad Bar Tarikh Qur'an, 1383 S, uk. 137</ref> Inasemekana kwamba; Kugawanywa Qur’an’ kwa mfumo Sura ni suala lenye faida kadhaa, zikiwemo: kurahisisha kujifunza na [[Hifdh al-Qur’an|kuhifadhi Qur'ani]], kuleta hisia tofauti na shauku kwa msomaji wa Quran, kuweka pamoja Aya zinazohusiana, na kutofautisha Sura moja na nyingine ambazo zina mada tofauti.<ref>Zarqani, Manahel al-Irfan, Dar Ihya al-Trath al-Arabi, Juz. 1, uk.</ref>
Sura ndogo ndogo na katika baadhi ya matukio Sura refu za Qur'ani (kama vile [[surat An'aam]]) ziliteremshwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) kwa mpigo mmoja (kwa mfumo wa Sura nzima).<ref>Ma'arif, Dar Omad Bar Tarikh Qur'an, 1383 S, uk. 137</ref> Pia baadhi ya Sura zilteremshwa kwa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) kwa awamu mbali mbali, na mpangilio wa Aya zake uliwekwa kwa amri ya Mtume mwenyewe (s.a.w.w).<ref>Ma'arif, Dar Omad Bar Tarikh Qur'an, 1383 S, uk. 137</ref> Inasemekana kwamba; Kugawanywa Qur’an’ kwa mfumo Sura ni suala lenye faida kadhaa, zikiwemo: kurahisisha kujifunza na [[Hifdh al-Qur’an|kuhifadhi Qur'ani]], kuleta hisia tofauti na shauku kwa msomaji wa Quran, kuweka pamoja Aya zinazohusiana, na kutofautisha Sura moja na nyingine ambazo zina mada tofauti.<ref>Zarqani, Manahel al-Irfan, Dar Ihya al-Trath al-Arabi, Juz. 1, uk.</ref>


Kuna maoni tofauti yaliyotolewa kuhusiana na suala la jinsi gani Aya za sura moja zinavyohusiana. [8] Wafasiri kama vile [[Sayyid Muhammad Hussein Tabatabai]], [[Sayyid Qutub]], na [[Muhammad Izzat Darwaza]], wanaamini kwamba; kila Sura ina aina fulani ya mshikamano na umoja fulani ambao unatofautiana na Sura nyingine. [9] Kwa mujibu wa maoni ya Tabatabai, mwandishi wa [[kitabu cha Al-Mizan]], ni kwamba; Sura za Qur’ani zina malengo tofauti, na kila moja inafuata maana na lengo maalum ambalo ndio kusudio maalumu linalo elezwa na Aya zote za Sura hiyo. [10] Imeelezwa ya kwamba; Katika karne ya ishirini, mtazamo huu ulikuwa ndio ulienea na ulio chukua nafasi katika zama hizo. [10] Kinyume chake, ni kwamba; Baadhi ya wafasiri wengine kama vile: [[Nasir Makarim Shirazi]], mwandishi wa kitabu cha tafsiri kiitwacho [[Tafsiri Nemune]], hawatilii maanani suala la kuwepo kwa mshikamano wa Aya zote za Sura moja, ila wao wanaamini kwamba, Sura moja inaweza kuelezea ndani mada tofauti. [12]
Kuna maoni tofauti yaliyotolewa kuhusiana na suala la jinsi gani Aya za sura moja zinavyohusiana.<ref>Khamegar,Sakhtar Handasi Surehaye Qur'an, 1386 S, uk. 19-14.</ref> Wafasiri kama vile [[Sayyid Muhammad Hussein Tabatabai]], [[Sayyid Qutub]], na [[Muhammad Izzat Darwaza]], wanaamini kwamba; kila Sura ina aina fulani ya mshikamano na umoja fulani ambao unatofautiana na Sura nyingine.<ref>Mir, «Peyvastegi Sure, Tahwili Dar Tafsir Qur'an Dar Qur'an Bistom», Tarjume Muhammad Hassan, Muhammadi Mudhafar, uk. 443.</ref> Kwa mujibu wa maoni ya Tabatabai, mwandishi wa [[kitabu cha Al-Mizan]], ni kwamba; Sura za Qur’ani zina malengo tofauti, na kila moja inafuata maana na lengo maalum ambalo ndio kusudio maalumu linalo elezwa na Aya zote za Sura hiyo.<ref>Tabatabai, Al-Mizan, 1417 AH, juz. 1, uk. 16.</ref> Imeelezwa ya kwamba; Katika karne ya ishirini, mtazamo huu ulikuwa ndio ulienea na ulio chukua nafasi katika zama hizo.<ref>Mir, «Peyvastegi Sure, Tahwili Dar Tafsir Qur'an Dar Qur'an Bistom», Tarjume Muhammad Hassan, Muhammadi Mudhafar, uk. 443.</ref> Kinyume chake, ni kwamba; Baadhi ya wafasiri wengine kama vile: [[Nasir Makarim Shirazi]], mwandishi wa kitabu cha tafsiri kiitwacho [[Tafsiri Nemune]], hawatilii maanani suala la kuwepo kwa mshikamano wa Aya zote za Sura moja, ila wao wanaamini kwamba, Sura moja inaweza kuelezea ndani mada tofauti.<ref>Makarim Shirazi, Qur'an wa Akhirin Payambar, 1385 S, uk.307.</ref>


Pia imeelezwa kuwa; Mwanzoni mwa [[utume wa Mtume Muhammad (s.a.w.w)]], neno Sura lilikuwa likirejelea sehemu tu ya Aya za Qur'ani zinazo fungamana kimaana. Kwa maana hii, [[Surat al-Baqara]] yenyewe itakuwa na idadi ya karibu ya Sura thelathini. [13] Hata hivyo, katika miaka ya mwishoni mwa maisha ya bwana Mtume (s.a.w.w), neno Sura lilianza kutumika kama tunavyolifahamu leo hii.[14] Majiid Ma'arif, mtafiti wa Kiislamu, anaamini kwamba; Jambo hili limeleta tofauti kati ya madhehebu ya [[Shia]] na [[Sunni]], kwani kwa mujibu wa [[fiqhi ya Kishia]], baada ya Surat al-Hamdu katika swala, ni lazima kusoma Sura moja kamili ya Qur'ani (isipokuwa haifai kusoma [[ Azaim al-Sujud|Sura zenye sajda]]), lakini katika fiqhi ya Kisunni, ni kwamba, baada ya kusoma Surat al-Hamdu katika swala, basi unaweza kusoma sehemu yoyote ile ya Qur'ani. [15]
Pia imeelezwa kuwa; Mwanzoni mwa [[utume wa Mtume Muhammad (s.a.w.w)]], neno Sura lilikuwa likirejelea sehemu tu ya Aya za Qur'ani zinazo fungamana kimaana. Kwa maana hii, [[Surat al-Baqara]] yenyewe itakuwa na idadi ya karibu ya Sura thelathini.<ref>Ma'arif, Mabahith Dar Ulumi Qur'ani, 1383 S, uk. 137.</ref> Hata hivyo, katika miaka ya mwishoni mwa maisha ya bwana Mtume (s.a.w.w), neno Sura lilianza kutumika kama tunavyolifahamu leo hii.<ref>Ma'arif, Mabahith Dar Ulumi Qur'ani, 1383 S, uk. 137.</ref> Majiid Ma'arif, mtafiti wa Kiislamu, anaamini kwamba; Jambo hili limeleta tofauti kati ya madhehebu ya [[Shia]] na [[Sunni]], kwani kwa mujibu wa [[fiqhi ya Kishia]], baada ya Surat al-Hamdu katika swala, ni lazima kusoma Sura moja kamili ya Qur'ani (isipokuwa haifai kusoma [[ Azaim al-Sujud|Sura zenye sajda]]), lakini katika fiqhi ya Kisunni, ni kwamba, baada ya kusoma Surat al-Hamdu katika swala, basi unaweza kusoma sehemu yoyote ile ya Qur'ani.<ref>Ma'arif, Mabahith Dar Ulumi Qur'ani, 1383 S, uk. 137.</ref>


==Mgawanyo wa Sura==
==Mgawanyo wa Sura==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits