Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
→Mgawanyo wa Sura
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
==Mgawanyo wa Sura== | ==Mgawanyo wa Sura== | ||
Baadhi ya Sura za Qur’ani, kwa sababu ya kufanana kwao, zimegawanywa katika makundi tofauti. | Baadhi ya Sura za Qur’ani, kwa sababu ya kufanana kwao, zimegawanywa katika makundi tofauti.<ref>Ramiyar, Tarikh Qur'an, 1369 S, uk.</ref> | ||
{|class="wikitable sortable" style="text-align:center; margin:5px 0px 5px 15px; font-size: 60%; line-height: 70%" align="right" | {|class="wikitable sortable" style="text-align:center; margin:5px 0px 5px 15px; font-size: 60%; line-height: 70%" align="right" | ||
Mstari 25: | Mstari 25: | ||
!Jina la Sura kwa Kingereza | !Jina la Sura kwa Kingereza | ||
!Aya | !Aya | ||
!Mpangilio wa{{-}}Kuteremka | !Mpangilio wa{{-}}Kuteremka<ref>Maarifat, At-Tamhid, 1386 S, juz. 1, uku. 135-138.</ref> | ||
!Mahali | !Mahali | ||
|- | |- | ||
Mstari 263: | Mstari 263: | ||
:''Makala Asili: [[Makkiyyah na Madaniyyah]]'' | :''Makala Asili: [[Makkiyyah na Madaniyyah]]'' | ||
Kulingana na mtazamo maarufu wa wataalamu na watafiti wa Qurani, Sura za Qur’ani zinagawanywa katika makundi makuu mawili kulingana na wakati wa kuteremka kwao, nayo ni; Makkiyyah (za Makka) na Madaniyyah (za Madian). | Kulingana na mtazamo maarufu wa wataalamu na watafiti wa Qurani, Sura za Qur’ani zinagawanywa katika makundi makuu mawili kulingana na wakati wa kuteremka kwao, nayo ni; Makkiyyah (za Makka) na Madaniyyah (za Madian).<ref>Maarifat, At-Tamhid, 1386 S, juz. 1, uku. 131.</ref> Kwa msingi huu, kile kilichoteremshwa kabla ya Hijra ya bwana Mtume (s.a.w.w) kwenda Madina kinaitwa "Makkiyyah", na kile kilichoteremshwa baada ya kufika kwake Madina kinaitwa "Madaniyyah". Kwa hiyo, ikiwa Sura au Aya fulani imeteremka baada ya Hijra, hiyo itakuwa Madaniyyah, hata kama iliteremshwa kwenye mji au maeneo ya mji wa [[Makkah]] au katika hali ambayo Mtume (s.a.w.w) alikuwa yumo safarini, kama vile Aya zilizoteremshwa wakati wa [[Fat-hu Makka]] au [[Hijjatul Wida’a]].<ref>Maarifat, At-Tamhid, 1386 S, juz. 1, uku. 130.</ref> | ||
Baadhi ya wataalamu na watafiti wa Qur'ani, hawakuzigawa Sura za Makkiyyah na Madaniyyah kulingana na wakati wa kuteremka kwake, bali ni kulingana na mahali au walengwa wa Sura hizo. Kulingana na kipimo cha mahali, ni kwamba; Yale yote yaliyoteremshwa Makkah na vitongoji vyake kama vile [[Mina]], [[Arafaat|Arafat]], na [[Hudaybiyyah]] huitwa Makkiyyah, hata kama yaliteremshwa baada ya Hijra, na yale yote yaliyoteremshwa [[Madina]] na vitongoji vyake kama vile [[Badr]] na [[Uhud]] huitwa Madani. | Baadhi ya wataalamu na watafiti wa Qur'ani, hawakuzigawa Sura za Makkiyyah na Madaniyyah kulingana na wakati wa kuteremka kwake, bali ni kulingana na mahali au walengwa wa Sura hizo. Kulingana na kipimo cha mahali, ni kwamba; Yale yote yaliyoteremshwa Makkah na vitongoji vyake kama vile [[Mina]], [[Arafaat|Arafat]], na [[Hudaybiyyah]] huitwa Makkiyyah, hata kama yaliteremshwa baada ya Hijra, na yale yote yaliyoteremshwa [[Madina]] na vitongoji vyake kama vile [[Badr]] na [[Uhud]] huitwa Madani.<ref>Siyuti, al-Itqan, 1421 AH, juz. 1, uk. 55.</ref> Lakini kulingana na kipimo cha walengwa wa Sura hizo, ni kwamba; Yale yote yaliyolengwa kwa watu wa Makkah huitwa Makkiyyah na yale yote yaliyolengwa kwa ajili ya watu wa Madina huitwa Madaniyyah.<ref>Siyuti, al-Itqan, 1421 AH, juz. 1, uk. 56.</ref> Kigezo cha kuwatambua walengwa kwa kile kilichoteremshwa, ni kamba; Aya yenye ibara isemayo: Enyi watu huhisabiwa kuwa ni Makkiyyaha, na zile zenye ibara isemayo: Enyi mlioamini hushisabiwa kuwa ni Madaniyyah.<ref>Siyuti, al-Itqan, 1421 AH, juz. 1, uk. 81.</ref> | ||
===Mgawanyo wa Sura kwa Kigezo cha Urefu na Ufupi wa Sara=== | ===Mgawanyo wa Sura kwa Kigezo cha Urefu na Ufupi wa Sara=== |