Nenda kwa yaliyomo

Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 8: Mstari 8:
==Maana ya Sura na Umuhimu Wake katika Tafiti za Kiislamu==
==Maana ya Sura na Umuhimu Wake katika Tafiti za Kiislamu==

Sura ni istilahi inayotumika katika Qur'ani, inayomaanisha mkusanyiko wa [[Aya za Qur'ani]] ambazo ni zenye mwanzo na mwisho maalum. Mara nyingi Sura za Qur’ani huanza kwa [[Bismillahi al-Rahmani al-Rahim]] (isipokuwa [[Surat al-Tawba]] ambayo haina Bismillahir Rahmanir Rahim). [1] Katika baadhi ya maandiko, Sura za Qur'an zimefananishwa na Sura za kitabu, [2] lakini baadhi ya watafiti wameona kuwa mlinganisho huu si sahihi, kwa sababu Sura za Qur'ani hazina sifa za sura za kitabu. [3] Miongoni mwa migawanyo mbalimbali ya Qur'ani, mgawanyo wake kupitia mfumo wa [[juzuu]] na [[hizb]], na mgawanyo wake kupitia mfumo wa Aya na Sura, ndio migawanyo pekee iliyokubalika kuwa ndiyo migawanyiko ya kweli ya Qur'ani yenye asili ya kiqur’ani. [4]
Sura ni istilahi inayotumika katika Qur'ani, inayomaanisha mkusanyiko wa [[Aya za Qur'ani]] ambazo ni zenye mwanzo na mwisho maalum. Mara nyingi Sura za Qur’ani huanza kwa [[Bismillahi al-Rahmani al-Rahim]] (isipokuwa [[Surat al-Tawba]] ambayo haina Bismillahir Rahmanir Rahim).<ref>Ma'arif, Mabahith Dar Ulumi Qur'ani, 1383, uk. 52.</ref> Katika baadhi ya maandiko, Sura za Qur'an zimefananishwa na Sura za kitabu,<ref>Rukni, Ashanayi Ba Ulumi Qur'an, 1379 S, uk. 104.</ref> lakini baadhi ya watafiti wameona kuwa mlinganisho huu si sahihi, kwa sababu Sura za Qur'ani hazina sifa za sura za kitabu.<ref>Ma'arif, Mabahith Dar Ulumi Qur'ani, 1383, uk. 52.</ref>  Miongoni mwa migawanyo mbalimbali ya Qur'ani, mgawanyo wake kupitia mfumo wa [[juzuu]] na [[hizb]], na mgawanyo wake kupitia mfumo wa Aya na Sura, ndio migawanyo pekee iliyokubalika kuwa ndiyo migawanyiko ya kweli ya Qur'ani yenye asili ya kiqur’ani.<ref>Tabatabai, Al-Mizan, 1417 AH, juz. 13, uk. 230-231</ref>

Sura ndogo ndogo na katika baadhi ya matukio Sura refu za Qur'ani (kama vile [[surat An'aam]]) ziliteremshwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) kwa mpigo mmoja (kwa mfumo wa Sura nzima). [5] Pia baadhi ya Sura zilteremshwa kwa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) kwa awamu mbali mbali, na mpangilio wa Aya zake uliwekwa kwa amri ya Mtume mwenyewe (s.a.w.w). [6] Inasemekana kwamba; Kugawanywa Qur’an’ kwa mfumo Sura ni suala lenye faida kadhaa, zikiwemo: kurahisisha kujifunza na [[Hifdh al-Qur’an|kuhifadhi Qur'ani]], kuleta hisia tofauti na shauku kwa msomaji wa Quran, kuweka pamoja Aya zinazohusiana, na kutofautisha Sura moja na nyingine ambazo zina mada tofauti. [7]
Sura ndogo ndogo na katika baadhi ya matukio Sura refu za Qur'ani (kama vile [[surat An'aam]]) ziliteremshwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) kwa mpigo mmoja (kwa mfumo wa Sura nzima).<ref>Ma'arif, Dar Omad Bar Tarikh Qur'an, 1383 S, uk. 137</ref> Pia baadhi ya Sura zilteremshwa kwa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) kwa awamu mbali mbali, na mpangilio wa Aya zake uliwekwa kwa amri ya Mtume mwenyewe (s.a.w.w).<ref>Ma'arif, Dar Omad Bar Tarikh Qur'an, 1383 S, uk. 137</ref> Inasemekana kwamba; Kugawanywa Qur’an’ kwa mfumo Sura ni suala lenye faida kadhaa, zikiwemo: kurahisisha kujifunza na [[Hifdh al-Qur’an|kuhifadhi Qur'ani]], kuleta hisia tofauti na shauku kwa msomaji wa Quran, kuweka pamoja Aya zinazohusiana, na kutofautisha Sura moja na nyingine ambazo zina mada tofauti.<ref>Zarqani, Manahel al-Irfan, Dar Ihya al-Trath al-Arabi, Juz. 1, uk.</ref>

Kuna maoni tofauti yaliyotolewa kuhusiana na suala la jinsi gani Aya za sura moja zinavyohusiana. [8] Wafasiri kama vile [[Sayyid Muhammad Hussein Tabatabai]], [[Sayyid Qutub]], na [[Muhammad Izzat Darwaza]], wanaamini kwamba; kila Sura ina aina fulani ya mshikamano na umoja fulani ambao unatofautiana na Sura nyingine. [9] Kwa mujibu wa maoni ya Tabatabai, mwandishi wa [[kitabu cha Al-Mizan]], ni kwamba; Sura za Qur’ani zina malengo tofauti, na kila moja inafuata maana na lengo maalum ambalo ndio kusudio maalumu linalo elezwa na Aya zote za Sura hiyo. [10] Imeelezwa ya kwamba; Katika karne ya ishirini, mtazamo huu ulikuwa ndio ulienea na ulio chukua nafasi katika zama hizo. [10] Kinyume chake, ni kwamba; Baadhi ya wafasiri wengine kama vile: [[Nasir Makarim Shirazi]], mwandishi wa kitabu cha tafsiri kiitwacho [[Tafsiri Nemune]], hawatilii maanani suala la kuwepo kwa mshikamano wa Aya zote za Sura moja, ila wao wanaamini kwamba, Sura moja inaweza kuelezea ndani mada tofauti. [12]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits