Nenda kwa yaliyomo

Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 68: Mstari 68:
==Sura ya Kwanza na ya Mwisho Kushuka==
==Sura ya Kwanza na ya Mwisho Kushuka==


Kuna mitazamo mitatu kuhusu Sura ya kwanza kushuka kwa bwana Mtume (s.a.w.w). Kundi moja  linasema kwamba; Sehemu ya mwanzo kushuka ilikuwa ni Aya za mwanzo za suratu al-Alaq, huku wengine wakiamini kwamba; Cha mwanzo kushuka kilikuwa ni Aya za mwanzo za Surat al-Muddathir, pia kuna wengine wanaosema kwaba; Cha mwanzo kushuka kilikuwa ni suratu al-Fatiha. [64] Muhammad Hadi Ma'arifati, mwandishi wa kitabu Al-Tamhid, anaamini kuwa; Ingawa Aya za mwanzo za Surat al-‘Alaq ndizo Aya za kwanza kushuka, na kwamba Aya za mwanzo kushuka baada ya kipindi cha ulinganiaji wa chini kwa chini ni baadhi ya Aya za Suratu al-Muddathir, Ila Sura ya kwanza kabisa iliyoshuka kikamilifu, ilikuwa ni Surat al-Hamd (Fatihatul Kitab). [65]
Kuna mitazamo mitatu kuhusu Sura ya kwanza kushuka kwa bwana Mtume (s.a.w.w). Kundi moja  linasema kwamba; Sehemu ya mwanzo kushuka ilikuwa ni Aya za mwanzo za [[surat al-Alaq]], huku wengine wakiamini kwamba; Cha mwanzo kushuka kilikuwa ni Aya za mwanzo za [[Surat al-Muddathir]], pia kuna wengine wanaosema kwaba; Cha mwanzo kushuka kilikuwa ni [[surat al-Fatiha]]. [64] [[Muhammad Hadi Ma'arifati]], mwandishi wa [[kitabu Al-Tamhid]], anaamini kuwa; Ingawa Aya za mwanzo za Surat al-‘Alaq ndizo Aya za kwanza kushuka, na kwamba Aya za mwanzo kushuka baada ya [[kipindi cha ulinganiaji]] wa chini kwa chini ni baadhi ya Aya za Surat al-Muddathir, Ila Sura ya kwanza kabisa iliyoshuka kikamilifu, ilikuwa ni Surat al-Hamd (Fatihatul Kitab). [65]


Pia kuna mitazamo tofauti kuhusiana na Sura ya mwisho kushuka kwa Mtume Muhammad (s.w.w.w); Baadhi ya watafiti wanasema kuwa, Sura ya mwisho ilikuwa ni Surat Baraa-a, huku wengine wakidai kuwa ni Suratu al-Nasri, na wengine wanasema kuwa ni Surat al-Maida. [66] Katika moja ya Hadithi kutoka kwa Imamu Sadiq ni kwamba; Sura ya mwisho kushuka ilikuwa ni Suratu al-Nasri. [67] Kwa kuwa Sura al-Nasr ilishuka kabla ya ufunguzi (ukombozi) wa mji wa Makka, na Suratu al-Tawba ni baada ya ukombozi wa Makka, hii imemfanya Muhammad Hadi Ma'arifati kuamini kwamba; ingawa Aya za kwanza za Surat Baraa-a zilishuka baada ya Surat al-Nasri, ila Sura ya mwisho iliyoshuka kikamilifu ilikuwa ni Surat al-Nasri. [68]
Pia kuna mitazamo tofauti kuhusiana na Sura ya mwisho kushuka kwa Mtume Muhammad (s.w.w.w); Baadhi ya watafiti wanasema kuwa, Sura ya mwisho ilikuwa ni [[Surat Baraa-a]], huku wengine wakidai kuwa ni [[Surat al-Nasri]], na wengine wanasema kuwa ni [[Surat al-Maida]]. [66] Katika moja ya Hadithi kutoka kwa [[Imamu Sadiq]] ni kwamba; Sura ya mwisho kushuka ilikuwa ni Surat al-Nasri. [67] Kwa kuwa Sura al-Nasr ilishuka kabla ya ufunguzi [[(ukombozi) wa mji wa Makka]], na Surat al-Tawba ni baada ya ukombozi wa Makka, hii imemfanya Muhammad Hadi Ma'arifati kuamini kwamba; ingawa Aya za kwanza za Surat Baraa-a zilishuka baada ya Surat al-Nasri, ila Sura ya mwisho iliyoshuka kikamilifu ilikuwa ni Surat al-Nasri. [68]


==Faida za Sura==
==Faida za Sura==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits