Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
→Faida za Sura
Mstari 74: | Mstari 74: | ||
==Faida za Sura== | ==Faida za Sura== | ||
Katika vyanzo vikuu vya mwanzo vya Hadithi za Shia, kuna Hadithi kadhaa kuhusiana na faida za Sura za Qur’ani, na milango kadhaa katika vitabu kama vile; Al-Kafi [69] na Thawab al-A'mal, [70] imekusanya na kutafiti ndani yake aina hii ya Hadithi. Katika nyakati zilizofuata baadae, pia wanazuoni kadhaa waliandika kuhusiana na Hadithi hizi vitabuni mwao. [71] Katika vyanzo vya Hadithi za Sunni pia, kuna Hadithi nyingi kuhusiana na faida za Sura na Aya fulani za Qurani. [72] Hata hivyo, Hadithi hizi zimekabiliwa na tatizo la udhaifu wa ithibati katika asili mapokezi na matini yake na nyingi kati yake zimeelezwa kuwa ni Hadithi za kughushi (bandia). [73] | :''Makala Asili: [[Faida za Sura]]'' | ||
Katika vyanzo vikuu vya mwanzo vya Hadithi za Shia, kuna Hadithi kadhaa kuhusiana na faida za Sura za Qur’ani, na milango kadhaa katika vitabu kama vile; [[Al-Kafi (kitabu)|Al-Kafi]] [69] na [[Thawab al-A'mal]], [70] imekusanya na kutafiti ndani yake aina hii ya Hadithi. Katika nyakati zilizofuata baadae, pia wanazuoni kadhaa waliandika kuhusiana na Hadithi hizi vitabuni mwao. [71] Katika vyanzo vya Hadithi za Sunni pia, kuna Hadithi nyingi kuhusiana na faida za Sura na Aya fulani za Qurani. [72] Hata hivyo, Hadithi hizi zimekabiliwa na tatizo la udhaifu wa ithibati katika asili mapokezi na matini yake na nyingi kati yake zimeelezwa kuwa ni Hadithi za kughushi (bandia). [73] | |||
== Maelezo == | == Maelezo == |