Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
→Idadi ya Sura za Qur’ani
Mstari 50: | Mstari 50: | ||
'''Idadi ya Sura za Qurani katika Hadithi za Sunni''' | '''Idadi ya Sura za Qurani katika Hadithi za Sunni''' | ||
Katika baadhi ya Hadithi za Sunni, tofauti na khitilafu za kuhesabu idadi ya Sura za Qurani zimepelekea kupunguza au kuongeza Aya katika Qurani. [43] Kwa mujibu wa alivyosema Suyuti, mwandishi wa kitabu cha | Katika baadhi ya Hadithi za Sunni, tofauti na khitilafu za kuhesabu idadi ya Sura za Qurani zimepelekea kupunguza au kuongeza Aya katika Qurani. [43] Kwa mujibu wa alivyosema Suyuti, mwandishi wa kitabu cha Al-Itqan, ni kwamba; Mus'haf wa Abdullah bin Masud ulikuwa na sura 112, kwa sababu yeye aliiona kuwa Mu'awadhataini (Suratu Al-Falaq na An-Nasi) kama ni dua tu, na si sehemu ya Qurani. [44] Pia, Suyuti anasema kuwa; Mus'haf wa Ubayya bin Ka'ab ulikuwa na sura 116, kwa sababu Ubayya bin Ka'ab alikuwa ameongeza Sura mbili ambazo zinaitwa Khal-‘u na Hafdu kwenye Qurani. [45] Baadhi ya wanazuoni wa Mashariki pia wameongeza idadi ya Sura za Qurani na kuzihesabu kuwa 116, jambo ambalo limetimia kwa njia ya kuzigawa nusu kwa nusu Suratu al-Alaq na Muddathir, na kuzifanya kila moja kuwa ni Sura mbili tofauti. [46] | ||
==Uwekaji wa Majina ya Sura za Qurani== | ==Uwekaji wa Majina ya Sura za Qurani== |