Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
→Aina Nyengine za Mgawanyo wa Sura za Qur’ani
Mstari 41: | Mstari 41: | ||
* ‘Aza-im «{{Arabic|عَزائِم}}»: Sura zenye Sajda ambazo ni; Suratu al-Sajda, Fussilat, Najm, na Alaq, ambazo ikiwa mtu atakuwa katika hali ya kuzisoma au kusikiliza, papo hapo hupaswa kusudu Sajda mara moja pale isomwapo Aya yenye sijda ndani ya Sura hizo. [31] | * ‘Aza-im «{{Arabic|عَزائِم}}»: Sura zenye Sajda ambazo ni; Suratu al-Sajda, Fussilat, Najm, na Alaq, ambazo ikiwa mtu atakuwa katika hali ya kuzisoma au kusikiliza, papo hapo hupaswa kusudu Sajda mara moja pale isomwapo Aya yenye sijda ndani ya Sura hizo. [31] | ||
* Hawamiim «{{Arabic|حَوامیم}}»: Hii ni kuanzia Sura ya arobaini (Suratu Ghafir) hadi arobaini na sita (Sura Ahqaf) za Qurani ambazo zinaanza na herufi mbili zilizogawanywa; Ha Mim «{{Arabic|حم}}» | * Hawamiim «{{Arabic|حَوامیم}}»: Hii ni kuanzia Sura ya arobaini (Suratu Ghafir) hadi arobaini na sita (Sura Ahqaf) za Qurani ambazo zinaanza na herufi mbili zilizogawanywa; Ha Mim «{{Arabic|حم}}» [32] Katika Sura zote hizi, mara tu baada ya kutajwa kwa herufi hizo zilizogawanywa, Mwenye Ezi Mungu amelezea suala la kushushwa kwa Qurani. [33] | ||
* Mumtahinaat «{{Arabic|مُمتَحِنات}}»: Sura hizi ni kama vile: Al-Hadid, Al-Hashr, As-Saff, Al-Jumu'ah, na At-Taghabun ambazo zinaanza na tasbihi ya Mwenye Ezi Mungu. [34] | * Mumtahinaat «{{Arabic|مُمتَحِنات}}»: Sura hizi ni kama vile: Al-Hadid, Al-Hashr, As-Saff, Al-Jumu'ah, na At-Taghabun ambazo zinaanza na tasbihi ya Mwenye Ezi Mungu. [34] | ||