Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
→Aina Nyengine za Mgawanyo wa Sura za Qur’ani
Mstari 38: | Mstari 38: | ||
Miongoni mwa aina nyingine za vigao vilitajwa kwa ajili ya Sura za Qurani ni: | Miongoni mwa aina nyingine za vigao vilitajwa kwa ajili ya Sura za Qurani ni: | ||
‘Aza-im | ‘Aza-im «Arabic|عَزائِم}}», Musabbihaat «Arabic|مُسَبِّحات}}», Hawamiim «Arabic|حَوامیم}}» , Mumtahinaat «Arabic|مُمتَحِنات}}», Haamidaat «Arabic|حامدات}}», Sura zinazoanzia na Qul Arabic|قُل}}», Tawaasiin «Arabic|طَواسین}}», Mu’awwidhataini «Arabic|مُعَوَّذَتیْن}}», na Zahraawaan «{{Arabic|زَهراوان}}». [30] | ||
* ‘Aza-im «Arabic|عَزائِم}}»: Sura zenye Sajda ambazo ni; Suratu al-Sajda, Fussilat, Najm, na Alaq, ambazo ikiwa mtu atakuwa katika hali ya kuzisoma au kusikiliza, papo hapo hupaswa kusudu Sajda mara moja pale isomwapo Aya yenye sijda ndani ya Sura hizo. [31] | |||
* Hawamiim «Arabic|حَوامیم}}»: Hii ni kuanzia Sura ya arobaini (Suratu Ghafir) hadi arobaini na sita (Sura Ahqaf) za Qurani ambazo zinaanza na herufi mbili zilizogawanywa; Ha Mim «{{Arabic|حم}}». [32] Katika Sura zote hizi, mara tu baada ya kutajwa kwa herufi hizo zilizogawanywa, Mwenye Ezi Mungu amelezea suala la kushushwa kwa Qurani. [33] | |||
* Mumtahinaat «Arabic|مُمتَحِنات}}»: Sura hizi ni kama vile: Al-Hadid, Al-Hashr, As-Saff, Al-Jumu'ah, na At-Taghabun ambazo zinaanza na tasbihi ya Mwenye Ezi Mungu. [34] | |||
==Idadi ya Sura za Qur’ani== | ==Idadi ya Sura za Qur’ani== |