Nenda kwa yaliyomo

Harakati ya Ansarullah ya Yemen : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Harakati ya Ansarullah ya Yemen''' au Wahouthi ni harakati ya kisiasa na kidini ya ya wafuasi wa madhehebu ya Zaydiya nchini Yemen ambayo ilianzishwa mnamo 1990 na kudhibiti sehemu ya ardhi ya nchi hiyo. Ansarullah inachukuliwa kuwa imeathiriwa na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na fikra za Imam Khomeini. Kuundwa kwa serikali ya Houthi kunachukuliwa kuwa ni muendelezo wa serikali ya Uimamu wa Zaidiya nchini Yemen, ambayo ilianzishwa katika karne ya tatu...')
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Harakati ya Ansarullah ya Yemen''' au Wahouthi ni harakati ya kisiasa na kidini ya  ya wafuasi wa madhehebu ya Zaydiya nchini Yemen ambayo ilianzishwa mnamo 1990 na kudhibiti sehemu ya ardhi ya nchi hiyo. Ansarullah inachukuliwa kuwa imeathiriwa na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na fikra za Imam Khomeini. Kuundwa kwa serikali ya Houthi kunachukuliwa kuwa ni muendelezo wa serikali ya Uimamu wa Zaidiya nchini Yemen, ambayo ilianzishwa katika karne ya tatu Hijria na kuendelea kwa zaidi ya miaka 1100.
'''Harakati ya Ansarullah ya Yemen''' (Kiarabu: {{Arabic| أنصار اللّه اليمنية}}) au Wahouthi ni harakati ya kisiasa na kidini ya  ya wafuasi wa madhehebu ya Zaydiya nchini Yemen ambayo ilianzishwa mnamo 1990 na kudhibiti sehemu ya ardhi ya nchi hiyo. Ansarullah inachukuliwa kuwa imeathiriwa na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na fikra za Imam Khomeini. Kuundwa kwa serikali ya Houthi kunachukuliwa kuwa ni muendelezo wa serikali ya Uimamu wa Zaidiya nchini Yemen, ambayo ilianzishwa katika karne ya tatu Hijria na kuendelea kwa zaidi ya miaka 1100.
Kukabiliana kwa harakati hii na Marekani na muungano wa serikali ya Yemen na nchi hii kulipelekea kutokea mapigano kati ya Ansarullah na serikali ya Yemen. Vuguvugu hili lilimpoteza mwanzilishi wake Hussein Houthi katika vita vya kwanza na serikali ya Yemen, lakini likapata mafanikio katika vita vilivyofuata.

Sambamba na kuanza mwamko wa Kiislamu, Wahouthi waliweza kupata udhibiti wa Sana'a, mji mkuu wa Yemen. Saudi Arabia ililenga Ansarullah chini ya kivuli cha muungano wa Waarabu ili kudhibiti tena maeneo yaliyotekwa, ambayo yalishindwa kutokana na muqawama na kusimama kidete harakati hii.

Katika kukabiliana na mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza na mauaji ya raia wa Palestina, Ansarullah ililenga shabaha Palestina inayokaliwa kwa mabavu pamoja na meli za Israel katika Bahari Nyekundu na Ghuba ya Aden. Harakati hii iko kwenye orodha ya ugaidi ya Baraza la Usalama na baadhi ya nchi za Kiarabu na Marekani.  

'''Wasifu na Nafasi'''
== Wasifu na Nafasi ==

Ansarullah ya Yemen ni vuguvugu la kidini lenye mfumo wa kisiasa na kidini. [1] Madhehebu ya wanachama wa vuguvugu hili ni madhehebu ya Jaroudiyya, mojawapo ya madhehebu ya Zaidiyya, ambayo yanahesabiwa kuwa madhehebu ya karibu zaidi na Mashia Ithnaashariya. Harakati hii iliasisiwa kwa ajili ya kuendeleza utawala wa Uimamu wa Zaydiya  uliokuwa umeanzishwa na  Yahya bin Hossein, aliyekuwa na lakabu ya Al-Hadi ilal-Haq (aliyekufa: 298 AH) na iliendelea kwa zaidi ya miaka 1,100.[3]

Mstari 14: Mstari 14:
Mbinu ya utawala ya Ansarullah ya Yemen inatokana na mbinu ya jadi ya Zaidiyya, utawala wa nasaba (wa kifamilia), na baadhi ya vyombo vya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vinazingatiwa katika fremu ya mfumo wa jamhuri. [10] Ansarullah ya Yemrn ina asasina idara tatu za utekelezaji ambazo ziko chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa kiongozi wa harakati hii:

Baraza za Kisiasa: Hiki ni kitengo cha utekelezaji ambacho kina jukumu la kusimamia mahusiano ya harakati hii na makunbdi na vyama vingine vya kisiasa  pamoja na jumbe za kidiplomasia na asasi za kieneo. Kinafanya tathmini, uchambuzi wa kisiasa na kutoa ripoti.  
* Baraza za Kisiasa: Hiki ni kitengo cha utekelezaji ambacho kina jukumu la kusimamia mahusiano ya harakati hii na makunbdi na vyama vingine vya kisiasa  pamoja na jumbe za kidiplomasia na asasi za kieneo. Kinafanya tathmini, uchambuzi wa kisiasa na kutoa ripoti.  

Baraza la Utendaji: Baraza hili linaundwa na vitengo vinavyohusiana na wananchi kama idara ya utamaduni malezi, idara ya kijamii, kitengo cha habari, masuala ya wanawake na mikoa.
* Baraza la Utendaji: Baraza hili linaundwa na vitengo vinavyohusiana na wananchi kama idara ya utamaduni malezi, idara ya kijamii, kitengo cha habari, masuala ya wanawake na mikoa.

Idara ya Kazi za Kiserikali: Kusimamia kamati za Ansarullah katika asasi za utekelezaji na kuandaa sera na sheria ni miongoni mwa majukumu ya asasi hii. [11]
* Idara ya Kazi za Kiserikali: Kusimamia kamati za Ansarullah katika asasi za utekelezaji na kuandaa sera na sheria ni miongoni mwa majukumu ya asasi hii. [11]

'''Uhusiano na Iran'''
'''Uhusiano na Iran'''
Mstari 29: Mstari 29:
Idadi kadhaa ya wanachama wa Ansarullah ya Yemen akiwemo Abdul Malik Houthi mwaka 2014 na kuendelea walijumuishwa katika orodha ya vikwazo vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Mnamo 2022, Baraza la Usalama lililiwekea vikwazo vya silaha Harakati ya Ansarullah. [17] Mwaka huo huo,  Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani wa mataifa ya Kiarabu, liliiweka Harakati ya Ansarullah ya Yemen katika orodha yake ya makundi ya kigaidi. Nchi nyingine, kama vile Marekani, zilitangaza vuguvugu hili kuwa kundi la kigaidi. [18]

'''Viongozi wa Ansarullah'''
== Viongozi wa Ansarullah ==

Tangu Harakati ya Ansarullah ya Yemen ianzishe harakati zake mpaka kuunda serikali, imeongozwa na viongozi mbalimbali. Wafuatao ni baadhi ya viongozi hao.
Tangu Harakati ya Ansarullah ya Yemen ianzishe harakati zake mpaka kuunda serikali, imeongozwa na viongozi mbalimbali. Wafuatao ni baadhi ya viongozi hao.
Mstari 49: Mstari 49:
Ushindi dhidi ya serikali ya Yemen, [31] kushindwa kwa mashambulizi ya muungano wa Waarabu dhidi ya Yemen yakiongozwa na Saudi Arabia, [32] shambulio la kombora la Ansarullah na ndege zisizo na rubani dhidi ya Israel na meli zake katika Bahari Nyekundu na Ghuba ya Aden [33] na kukabiliana na Marekani na Uingereza katika bahari hizi mbili ni miongoni mwa matukio ya wakati wa uongozi wa Abdul Malik al-Houthi. [34]

'''Makabiliano ya Wahouthi na serikali ya Yemen'''
== Makabiliano ya Wahouthi na serikali ya Yemen ==

Harakati ya al-Houthi ilikuwa ikiitambua serikali ya Yemen kuwa kibaraka wa Marekani na kukosoa kuwepo kwa ubaguzi, umaskini, utegemezi wa serikali, na uingiliaji wa wageni katika masuala ya Yemen. [35]

Mstari 56: Mstari 56:
Makabiliano ya kijeshi ya Ansarullah ya Yemen na serikali ya nchi hiyo yalipelekea kutokea vita kadhaa:
Makabiliano ya kijeshi ya Ansarullah ya Yemen na serikali ya nchi hiyo yalipelekea kutokea vita kadhaa:

Vita vya kwanza: Vita vya kwanza vya serikali ya Yemen dhidi ya Wahouthi vilipelekea kuuawa Hussein al-Houthi. Kuuawa wanajeshi watatu wa serikali na jaribio la kumkamata Hussein al-Houthi ni mambo yaliyotajwa kuwa sababu ya kutokea vita hivyo. Vita hivi vilifanyika katika mkoa wa Marran mnamo 2004. [39]
* Vita vya kwanza: Vita vya kwanza vya serikali ya Yemen dhidi ya Wahouthi vilipelekea kuuawa Hussein al-Houthi. Kuuawa wanajeshi watatu wa serikali na jaribio la kumkamata Hussein al-Houthi ni mambo yaliyotajwa kuwa sababu ya kutokea vita hivyo. Vita hivi vilifanyika katika mkoa wa Marran mnamo 2004. [39]

Vita vya pili: Kukataa kumaliza mivutano kulisababisha kutokea vita vya pili mnamo 2005 vilivyodumu kwa miezi miwili. Hatimaye, serikali ya Yemen ilitangaza ushindi na vita vikaisha. Wigo wa vita hivi ulikuwa mpana kuliko vita vya kwanza. [40]
* Vita vya pili: Kukataa kumaliza mivutano kulisababisha kutokea vita vya pili mnamo 2005 vilivyodumu kwa miezi miwili. Hatimaye, serikali ya Yemen ilitangaza ushindi na vita vikaisha. Wigo wa vita hivi ulikuwa mpana kuliko vita vya kwanza. [40]

Vita vya tatu: Mivutano iliyobakia ya vita ya pili ilisababisha kutokea vita vya tatu. Wigo wa vita hivi, vilivyoanza mwishoni mwa 2005 na kumalizika mwanzoni mwa 2006, ulipanuliwa hadi katika mji wa Saadah. [41]
* Vita vya tatu: Mivutano iliyobakia ya vita ya pili ilisababisha kutokea vita vya tatu. Wigo wa vita hivi, vilivyoanza mwishoni mwa 2005 na kumalizika mwanzoni mwa 2006, ulipanuliwa hadi katika mji wa Saadah. [41]

Vita vya nne: Kuhamishwa kwa Wayahudi wa jimbo la Saadah na jaribio la kuanzisha serikali ya Kishia katika jimbo hili na Wahouthi kulipelekea kutokea vita vya nne. Wigo wa vita hivi, ambavyo vilifanyika mwaka 2007, uilienea mpaka nje ya mkoa wa Saadah. Vita hivi vilifikia tamati kwa upatanishi wa serikali ya Qatar. [42]
* Vita vya nne: Kuhamishwa kwa Wayahudi wa jimbo la Saadah na jaribio la kuanzisha serikali ya Kishia katika jimbo hili na Wahouthi kulipelekea kutokea vita vya nne. Wigo wa vita hivi, ambavyo vilifanyika mwaka 2007, uilienea mpaka nje ya mkoa wa Saadah. Vita hivi vilifikia tamati kwa upatanishi wa serikali ya Qatar. [42]

Vita vya tano: Vita hivi vilianza mwaka wa 2008 na vilihusisha majimbo ya Sana'a na Amran. Tangazo la upande mmoja la serikali la kusitisha mapigano lilipelekea kufikia mwisho vita hivi. [43]
* Vita vya tano: Vita hivi vilianza mwaka wa 2008 na vilihusisha majimbo ya Sana'a na Amran. Tangazo la upande mmoja la serikali la kusitisha mapigano lilipelekea kufikia mwisho vita hivi. [43]

Vita vya sita: Wahouthi walituhumiwa kuwateka nyara raia wa kigeni, na vita vya sita vikaanza Agosti 2009. Utumiaji mkubwa wa serikali wa mashambulizi ya anga na kuingia kwa Wahouthi katika ardhi Saudi Arabia na kuwaua wanajeshi wawili ni miongoni mwa sifa za vita hivi. Kuondoka kwa Wahouthi kutoka Saudi Arabia mnamo 2010 ndiko kulikokuwa mwisho wa vita hivi. [44]
* Vita vya sita: Wahouthi walituhumiwa kuwateka nyara raia wa kigeni, na vita vya sita vikaanza Agosti 2009. Utumiaji mkubwa wa serikali wa mashambulizi ya anga na kuingia kwa Wahouthi katika ardhi Saudi Arabia na kuwaua wanajeshi wawili ni miongoni mwa sifa za vita hivi. Kuondoka kwa Wahouthi kutoka Saudi Arabia mnamo 2010 ndiko kulikokuwa mwisho wa vita hivi. [44]

'''Mwamko wa Kiislamu na Mapinduzi 2011'''
'''Mwamko wa Kiislamu na Mapinduzi 2011'''
Mstari 73: Mstari 73:
Matokeo ya matukio hayo ikwa ni Wahouthi kuweza Machi 2011 kuudhibiti mji wa Saadah na kuchukua mamlaka na udhibiti wa mkoa huo. [46] Wahouthi walikuwa wakipinga mchakato wa makubaliano ya kisiasa na wakataa uchaguzi wa mapema wa rais na hawakumtambua Rais mpya aliyechaguliwa. [47] Baada ya Wahouthi kuungana na Ali Abdallah Saleh, mwaka 2014 waliudhibiti mji mkuu Sanaa. Mwaka 2017 Ali Abdallah Saleh kutokana na kufanya mazungumzo na muungano wa Saudia, alituhumiwa na Wahouthi kwa kufanya khiyana na akauawa katika mapigano na vikosi vya Wahouthi. [48]

'''Mapigano ya kijeshi na mataifa ya kigeni'''
== Mapigano ya kijeshi na mataifa ya kigeni ==

Ansarullah ya Yemen imekuwa na mapigano ya kijeshi na nchi nyingi za kigeni, ambazo baadhi yake tunazitaja hapa chini:
Ansarullah ya Yemen imekuwa na mapigano ya kijeshi na nchi nyingi za kigeni, ambazo baadhi yake tunazitaja hapa chini:
Mstari 86: Mstari 86:
Katika kuunga mkono watu wa Gaza dhidi ya mashambulizi ya Israel, harakati ya Ansarullah ya Yemen ilichukua uamuzi wa kushambulia na kulenga maeneo mbalimbali ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu kwa makombora na ndege zisizo na rubani. [54] Wahouthi pia walishambulia meli za Israel na meli zingine zilizokuwa zikielekea katika bandari za Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) katika Bahari Nyekundu na Ghuba ya Aden. [55] Marekani na Uingereza zilifanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya Ansarullah nchini Yemen, ambayo, kulingana na baadhi ya vyombo vya habari vya magharibi, hayakuweza kuwazuia Wahouthi kuendelea kutekeleza mashambulizi haya. [56]

Hatua hii ya Ansarullah ilifanyika kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya Israel dhidi ya raia, maeneo ya makazi, na vituo vya matibabu huko Gaza na kuzingirwa kwa mji huu. [57] Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yalifanywa kufuatia operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqswa (Oktoba 2023) iliyotekelezwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS). [58]

== Rejea ==
{{Rejea}}
== Vyanzo ==
{{Vyanzo}}
{{End}}
confirmed, Moderators, Wakabidhi
480

edits