Nenda kwa yaliyomo

Harakati ya Ansarullah ya Yemen : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Harakati ya Ansarullah ya Yemen''' (Kiarabu: {{Arabic| أنصار اللّه اليمنية}}) au Wahouthi ni harakati ya kisiasa na kidini ya  ya wafuasi wa madhehebu ya Zaydiya nchini Yemen ambayo ilianzishwa mnamo 1990 na kudhibiti sehemu ya ardhi ya nchi hiyo. Ansarullah inachukuliwa kuwa imeathiriwa na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na fikra za Imam Khomeini. Kuundwa kwa serikali ya Houthi kunachukuliwa kuwa ni muendelezo wa serikali ya Uimamu wa Zaidiya nchini Yemen, ambayo ilianzishwa katika karne ya tatu Hijria na kuendelea kwa zaidi ya miaka 1100.
'''Harakati ya Ansarullah ya Yemen''' (Kiarabu: {{Arabic| أنصار اللّه اليمنية}}) au Wahouthi ni harakati ya kisiasa na kidini ya  ya wafuasi wa madhehebu ya Zaydiya nchini Yemen ambayo ilianzishwa mnamo 1990 na kudhibiti sehemu ya ardhi ya nchi hiyo. Ansarullah inachukuliwa kuwa imeathiriwa na [[Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran]] na fikra za [[Imam Khomeini]]. Kuundwa kwa serikali ya Houthi kunachukuliwa kuwa ni muendelezo wa serikali ya Uimamu wa Zaidiya nchini [[Yemen]], ambayo ilianzishwa katika karne ya tatu Hijria na kuendelea kwa zaidi ya miaka 1100.
Kukabiliana kwa harakati hii na Marekani na muungano wa serikali ya Yemen na nchi hii kulipelekea kutokea mapigano kati ya Ansarullah na serikali ya Yemen. Vuguvugu hili lilimpoteza mwanzilishi wake Hussein Houthi katika vita vya kwanza na serikali ya Yemen, lakini likapata mafanikio katika vita vilivyofuata.
 
Kukabiliana kwa harakati hii na [[Marekani]] na muungano wa serikali ya Yemen na nchi hii kulipelekea kutokea mapigano kati ya Ansarullah na serikali ya Yemen. Vuguvugu hili lilimpoteza mwanzilishi wake [[Hussein Badreddin al-Houthi|Hussein Houthi]] katika vita vya kwanza na serikali ya Yemen, lakini likapata mafanikio katika vita vilivyofuata.
Sambamba na kuanza mwamko wa Kiislamu, Wahouthi waliweza kupata udhibiti wa Sana'a, mji mkuu wa Yemen. Saudi Arabia ililenga Ansarullah chini ya kivuli cha muungano wa Waarabu ili kudhibiti tena maeneo yaliyotekwa, ambayo yalishindwa kutokana na muqawama na kusimama kidete harakati hii.
Sambamba na kuanza mwamko wa Kiislamu, Wahouthi waliweza kupata udhibiti wa Sana'a, mji mkuu wa Yemen. Saudi Arabia ililenga Ansarullah chini ya kivuli cha muungano wa Waarabu ili kudhibiti tena maeneo yaliyotekwa, ambayo yalishindwa kutokana na muqawama na kusimama kidete harakati hii.
Katika kukabiliana na mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza na mauaji ya raia wa Palestina, Ansarullah ililenga shabaha Palestina inayokaliwa kwa mabavu pamoja na meli za Israel katika Bahari Nyekundu na Ghuba ya Aden. Harakati hii iko kwenye orodha ya ugaidi ya Baraza la Usalama na baadhi ya nchi za Kiarabu na Marekani.  
 
Katika kukabiliana na mashambulizi ya [[Israel]] dhidi ya Gaza na mauaji ya raia wa Palestina, Ansarullah ililenga shabaha Palestina inayokaliwa kwa mabavu pamoja na meli za Israel katika Bahari Nyekundu na Ghuba ya Aden. Harakati hii iko kwenye orodha ya ugaidi ya Baraza la Usalama na baadhi ya nchi za Kiarabu na Marekani.  


== Wasifu na Nafasi ==
== Wasifu na Nafasi ==


Ansarullah ya Yemen ni vuguvugu la kidini lenye mfumo wa kisiasa na kidini. [1] Madhehebu ya wanachama wa vuguvugu hili ni madhehebu ya Jaroudiyya, mojawapo ya madhehebu ya Zaidiyya, ambayo yanahesabiwa kuwa madhehebu ya karibu zaidi na Mashia Ithnaashariya. Harakati hii iliasisiwa kwa ajili ya kuendeleza utawala wa Uimamu wa Zaydiya uliokuwa umeanzishwa na Yahya bin Hossein, aliyekuwa na lakabu ya Al-Hadi ilal-Haq (aliyekufa: 298 AH) na iliendelea kwa zaidi ya miaka 1,100.[3]
Ansarullah ya Yemen ni vuguvugu la kidini lenye mfumo wa kisiasa na kidini. [1] Madhehebu ya wanachama wa vuguvugu hili ni madhehebu ya [[Jaroudiyya]], mojawapo ya madhehebu ya [[Zaidiyya]], ambayo yanahesabiwa kuwa madhehebu ya karibu zaidi na [[Shia Imamiyyah|Mashia Ithnaashariya]]. Harakati hii iliasisiwa kwa ajili ya kuendeleza utawala wa Uimamu wa Zaydiya uliokuwa umeanzishwa na Yahya bin Hussein, aliyekuwa na lakabu ya Al-Hadi ilal-Haq (aliyekufa: 298 AH) na iliendelea kwa zaidi ya miaka 1,100.[3]
Kiini cha mwanzo cha vuguvugu hili kilikuwa kikundi cha kitamaduni kilichoitwa Shabab Al-Muumin Association, ambacho kilianzishwa mwaka wa 1990. [4] Baada ya Hussein Badreddin Houthi kuwa kiongozi wa kundi hili, alianza shughuli yake ya kisiasa kwa kubadilisha jina na kuwa Kikundi cha Shabab Al-Muumin [5] na kuanzisha harakati zake za kisiasa. Harakati za kitamaduni za kikundi hiki ziliongezeka kati ya 1992 na 2004 na kuanza harakati zake za kijeshi. [6]
 
Kutojali na kupuuza serikali ya wakati huo Yemen maeneo ambayo wakazi wake ni Wahouthi, ushawishi na upenyaji wa makundi ya Kisalafi na Kiwahabi na kuenea kwa fikra zao katika maeneo hayo, ambayo yalionekana kuwa tishio kubwa kwa Wahouthi, kumezingatiwa kuwa sababu ya kuundwa kwa kundi hili. [7] Kiwango cha idadi ya Wahouthi nchini Yemen kinatajwa kuwa takribani 40%. [8] Jina la Houthi, ambalo linatumika kwa vuguvugu hili na viongozi wake, linatokana na jina la mji unaoitwa Houth kusini mwa Sa'adah. [9]
Kiini cha mwanzo cha vuguvugu hili kilikuwa kikundi cha kitamaduni kilichoitwa Shabab Al-Muumin Association, ambacho kilianzishwa mwaka wa 1990. [4] Baada ya [[Hussein Badreddin al-Houthi]] kuwa kiongozi wa kundi hili, alianza shughuli yake ya kisiasa kwa kubadilisha jina na kuwa Kikundi cha Shabab Al-Muumin [5] na kuanzisha harakati zake za kisiasa. Harakati za kitamaduni za kikundi hiki ziliongezeka kati ya 1992 na 2004 na kuanza harakati zake za kijeshi. [6]
Kutojali na kupuuza serikali ya wakati huo Yemen maeneo ambayo wakazi wake ni Wahouthi, ushawishi na upenyaji wa [[ Usalafi|makundi ya Kisalafi]] na [[Kiwahabi]] na kuenea kwa fikra zao katika maeneo hayo, ambayo yalionekana kuwa tishio kubwa kwa Wahouthi, kumezingatiwa kuwa sababu ya kuundwa kwa kundi hili. [7] Kiwango cha idadi ya Wahouthi nchini Yemen kinatajwa kuwa takribani 40%. [8] Jina la Houthi, ambalo linatumika kwa vuguvugu hili na viongozi wake, linatokana na jina la mji unaoitwa Houth kusini mwa Sa'adah. [9]


'''Muundo wa Kitaasisi'''
=== Muundo wa Kitaasisi ===


Mbinu ya utawala ya Ansarullah ya Yemen inatokana na mbinu ya jadi ya Zaidiyya, utawala wa nasaba (wa kifamilia), na baadhi ya vyombo vya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vinazingatiwa katika fremu ya mfumo wa jamhuri. [10] Ansarullah ya Yemrn ina asasina idara tatu za utekelezaji ambazo ziko chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa kiongozi wa harakati hii:
Mbinu ya utawala ya Ansarullah ya Yemen inatokana na mbinu ya jadi ya Zaidiyya, utawala wa nasaba (wa kifamilia), na baadhi ya vyombo vya [[mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran]] vinazingatiwa katika fremu ya mfumo wa jamhuri. [10] Ansarullah ya Yemen ina asasina idara tatu za utekelezaji ambazo ziko chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa kiongozi wa harakati hii:


* Baraza za Kisiasa: Hiki ni kitengo cha utekelezaji ambacho kina jukumu la kusimamia mahusiano ya harakati hii na makunbdi na vyama vingine vya kisiasa  pamoja na jumbe za kidiplomasia na asasi za kieneo. Kinafanya tathmini, uchambuzi wa kisiasa na kutoa ripoti.  
* Baraza za Kisiasa: Hiki ni kitengo cha utekelezaji ambacho kina jukumu la kusimamia mahusiano ya harakati hii na makunbdi na vyama vingine vya kisiasa  pamoja na jumbe za kidiplomasia na asasi za kieneo. Kinafanya tathmini, uchambuzi wa kisiasa na kutoa ripoti.  
Mstari 20: Mstari 23:
* Idara ya Kazi za Kiserikali: Kusimamia kamati za Ansarullah katika asasi za utekelezaji na kuandaa sera na sheria ni miongoni mwa majukumu ya asasi hii. [11]
* Idara ya Kazi za Kiserikali: Kusimamia kamati za Ansarullah katika asasi za utekelezaji na kuandaa sera na sheria ni miongoni mwa majukumu ya asasi hii. [11]


'''Uhusiano na Iran'''
=== Uhusiano na Iran ===


Harakati ya Ansarullah nchini Yemen inachukuliwa kuwa imeathiriwa na Imam Khomeini na mapinduzi yake, ambayo yaliletwa na Hussein Houthi kama kielelezo kwa watu wa Yemen. [12] Makabiliano ya harakati hii na Marekani na Israel yanazingatiwa kuwa yameathiriwa na fikra ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. [13]
Harakati ya Ansarullah nchini Yemen inachukuliwa kuwa imeathiriwa na [[Imam Khomeini]] na [[mapinduzi]] yake, ambayo yaliletwa na Hussein Houthi kama kielelezo kwa watu wa Yemen. [12] Makabiliano ya harakati hii na [[Marekani]] na [[Israel]] yanazingatiwa kuwa yameathiriwa na fikra ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. [13]
Iran inatambulishwa kama muungaji mkono wa kifedha na kijeshi wa Ansarullah ya Yemen. [14] Inasemekana kwamba wakati Badreddin Houthi alipokuwa nchini Iran, vijana wa Yemeni walipata mafunzo ya kijeshi, kiusalama na kidini nchini Iran. [15] Wapinzani wa Ansarullah ya Yemen, wanaitambua harakati hii kuwa nguvu ya Iran nchini Yemen. [16]
Iran inatambulishwa kama muungaji mkono wa kifedha na kijeshi wa Ansarullah ya Yemen. [14] Inasemekana kwamba wakati [[Badreddin Houthi]] alipokuwa nchini Iran, vijana wa Yemeni walipata mafunzo ya kijeshi, kiusalama na kidini nchini Iran. [15] Wapinzani wa Ansarullah ya Yemen, wanaitambua harakati hii kuwa nguvu ya Iran nchini Yemen. [16]


'''Vikwazo vya kieneo na kimataifa'''
=== Vikwazo vya Kieneo na Kimataifa ===


Idadi kadhaa ya wanachama wa Ansarullah ya Yemen akiwemo Abdul Malik Houthi mwaka 2014 na kuendelea walijumuishwa katika orodha ya vikwazo vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Mnamo 2022, Baraza la Usalama lililiwekea vikwazo vya silaha Harakati ya Ansarullah. [17] Mwaka huo huo,  Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani wa mataifa ya Kiarabu, liliiweka Harakati ya Ansarullah ya Yemen katika orodha yake ya makundi ya kigaidi. Nchi nyingine, kama vile Marekani, zilitangaza vuguvugu hili kuwa kundi la kigaidi. [18]
Idadi kadhaa ya wanachama wa Ansarullah ya Yemen akiwemo [[Abdul-Malik al-Houthi]] mwaka 2014 na kuendelea walijumuishwa katika orodha ya vikwazo vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Mnamo 2022, Baraza la Usalama lililiwekea vikwazo vya silaha Harakati ya Ansarullah. [17] Mwaka huo huo,  Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani wa mataifa ya Kiarabu, liliiweka Harakati ya Ansarullah ya Yemen katika orodha yake ya makundi ya kigaidi. Nchi nyingine, kama vile Marekani, zilitangaza vuguvugu hili kuwa kundi la kigaidi. [18]


== Viongozi wa Ansarullah ==
== Viongozi wa Ansarullah ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits