Nenda kwa yaliyomo

Sidanat al-Kaaba : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
 
Mstari 25: Mstari 25:

<center>أَجَعَلْتُمْ سِقَايَةَ الْحَاجِّ وَعِمَارَةَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ كَمَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الآخِرِ وَجَاهَدَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ لاَ يَسْتَوُونَ عِندَ اللَّهِ وَاللَّهُ لاَ يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ</center>

<center>Je, mnafanya kuwanywesha maji Mahujaji na kuamirisha Msikiti Mtakatifu ni sawa na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na akapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu? Hawawi sawa mbele ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu.[15]</center>
<center>''Je, mnafanya kuwanywesha maji Mahujaji na kuamirisha Msikiti Mtakatifu ni sawa na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na akapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu? Hawawi sawa mbele ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu.''[15]</center>

Inaelezwa kuwa baada ya tukio hilo la kila mtu kuona yeye ndiye bora kati ya tuliowataja, Mwenyezi Mungu akashusha Aya hii [16] na kuitaja [[imani]] na kupigana katika [[jihadi]] kuwa ni jambo kubwa na bora zaidi ya majukumu ya Kaaba. [17]

Katika baadhi ya nukuu Ali, [[Ja’afar]] na Hamza wametajwa kuwa watu ambao imani yao na kupigana kwao jihadi kuwa bora kuliko majukumu yanayohusiana na Kaaba. [18]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits