Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho
→Mamlaka na cheo cha Utume (Urasuli)
Mstari 39: | Mstari 39: | ||
=== Mamlaka na cheo cha Utume (Urasuli) === | === Mamlaka na cheo cha Utume (Urasuli) === | ||
Kulingana na kauli maarufu, dhana ya | Kulingana na kauli maarufu, dhana ya Unabii ni pana zaidi kuliko dhana ya Utume (Urasuli). Kilingana na kauli hii ni kwamba; kila Mtume ni Nabii, lakini siyo kila Nabii ni Mtume (Rasuli). [87] Kwa mujibu wa moja ya Hadithi, ni kwamba wajumbe wote wa Mwenye Ezi Mungu, 313 kati yao walikuwa ni Mitume (Marasuli). [88] Baadhi ya tofauti zilizopo kati ya Nabii na [[Mtume]] (Rasuli) ni kama ifuatavyo: | ||
* Mtume (Rasuli) hupokea [[ufunuo]] kutoka kwa Malaika Jibrail (Gabriel) katika hali akiwa macho na hata ndotoni, lakini Nabii hupokea ufunuo hali akiwa [[ndotoni]] tu. [89] | * Mtume (Rasuli) hupokea [[ufunuo]] kutoka kwa Malaika Jibrail (Gabriel) katika hali akiwa macho na hata ndotoni, lakini Nabii hupokea ufunuo hali akiwa [[ndotoni]] tu. [89] | ||
* Ufunuo kwa Mtume (Rasuli) hushushwa kupitia Malaika aitwae [[Jibrail]] (Gabriel), lakini ufunuo kwa Nabii unaweza kushushwa na [[malaika]] wengine au kupitia [[ilhamu]] ishushwayo moyoni, au kupitia ndoto. [90] | * Ufunuo kwa Mtume (Rasuli) hushushwa kupitia Malaika aitwae [[Jibrail]] (Gabriel), lakini ufunuo kwa Nabii unaweza kushushwa na [[malaika]] wengine au kupitia [[ilhamu]] ishushwayo moyoni, au kupitia ndoto. [90] |