Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho
→Viwango na daraja za Mitume
Mstari 29: | Mstari 29: | ||
== Viwango na daraja za Mitume == | == Viwango na daraja za Mitume == | ||
Kulingana na Aya isemayo: ''((وَلَقَدْ فَضَّلْنَا بَعْضَ النَّبِيِّينَ عَلَىٰ بَعْضٍ ; Na kwa hakika tumewapandisha viwango baadhi ya manabii na tukawapa daraja kubwa kuliko wengine))''. [81] Kiuhalisia hadhi na nafasi za manabii haziko sawa, bali baadhi yao wana daraja kubwa zaidi kuliko wengine. Katika Hadithi ni kwamba; hadhi ya bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w), ni bora ya juu zaidi kuliko manabii wengine. [82] {{Maelezo | ''قَالَ رَسُولُ اللَّهِ (ص) مَا خَلَقَ اللَّهُ خَلْقاً أَفْضَلَ مِنِّي وَ لَا أَكْرَمَ عَلَيْهِ مِنِّي قَالَ عَلِيٌّ (ع) فَقُلْتُ يَا رَسُولَ اللَّهِ فَأَنْتَ أَفْضَلُ أَمْ جَبْرَئِيلُ؟ فَقَالَ (ص) يَا عَلِيُّ! إِنَّ اللَّهَ تَبَارَكَ وَ تَعَالَى فَضَّلَ أَنْبِيَاءَهُ الْمُرْسَلِينَ عَلَى مَلَائِكَتِهِ الْمُقَرَّبِينَ وَ فَضَّلَنِي عَلَى جَمِيعِ النَّبِيِّينَ وَ الْمُرْسَلِينَ ; Mjumbe wa Allah (s.a.w.w) alisema, "Allah hajamuumba kiumbe bora zaidi kuliko mimi, wala hajamtukuza yeyote zaidi yangu." Ali (a.s) anasema, nilimuuli nikasema: "Ewe mjumbe wa Allah, je, wewe ni bora zaidi au Jibril?" Bwana Mtume (s.a.w.w) akasema, "Ewe Ali, hakika Allah, Mtukufu Alie wa juu kabisa, amewapandisha na kuwatafautisha mitume wake kidaraja kuliko hata Malaika wake wa karibu, na akanikweza mimi kuwa ni mbora kuliko manabii na mitume wote.'' (Saduq, Kamal al-Din, 1395 A.H., Juz. 1, uk. 254)}}Kulingana na mtazamo wa Wayahudi, manabii watokao ukoo wa Wana wa Israeli, ni bora zaidi kuliko manabii wengine, ambao kati yao, Nabii | Kulingana na Aya isemayo: ''((وَلَقَدْ فَضَّلْنَا بَعْضَ النَّبِيِّينَ عَلَىٰ بَعْضٍ ; Na kwa hakika tumewapandisha viwango baadhi ya manabii na tukawapa daraja kubwa kuliko wengine))''. [81] Kiuhalisia hadhi na nafasi za manabii haziko sawa, bali baadhi yao wana daraja kubwa zaidi kuliko wengine. Katika Hadithi ni kwamba; hadhi ya bwana [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]], ni bora ya juu zaidi kuliko manabii wengine. [82] {{Maelezo | ''قَالَ رَسُولُ اللَّهِ (ص) مَا خَلَقَ اللَّهُ خَلْقاً أَفْضَلَ مِنِّي وَ لَا أَكْرَمَ عَلَيْهِ مِنِّي قَالَ عَلِيٌّ (ع) فَقُلْتُ يَا رَسُولَ اللَّهِ فَأَنْتَ أَفْضَلُ أَمْ جَبْرَئِيلُ؟ فَقَالَ (ص) يَا عَلِيُّ! إِنَّ اللَّهَ تَبَارَكَ وَ تَعَالَى فَضَّلَ أَنْبِيَاءَهُ الْمُرْسَلِينَ عَلَى مَلَائِكَتِهِ الْمُقَرَّبِينَ وَ فَضَّلَنِي عَلَى جَمِيعِ النَّبِيِّينَ وَ الْمُرْسَلِينَ ; Mjumbe wa Allah (s.a.w.w) alisema, "Allah hajamuumba kiumbe bora zaidi kuliko mimi, wala hajamtukuza yeyote zaidi yangu." Ali (a.s) anasema, nilimuuli nikasema: "Ewe mjumbe wa Allah, je, wewe ni bora zaidi au Jibril?" Bwana Mtume (s.a.w.w) akasema, "Ewe Ali, hakika Allah, Mtukufu Alie wa juu kabisa, amewapandisha na kuwatafautisha mitume wake kidaraja kuliko hata Malaika wake wa karibu, na akanikweza mimi kuwa ni mbora kuliko manabii na mitume wote.'' (Saduq, Kamal al-Din, 1395 A.H., Juz. 1, uk. 254)}}Kulingana na mtazamo wa [[Wayahudi]], manabii watokao ukoo wa [[Wana wa Israeli]], ni bora zaidi kuliko manabii wengine, ambao kati yao, [[Nabii Mussa (a.s)]], kwa mtazamo wao Nabii Musa (a.s) ni bora kuliko manabii wengine. [83] | ||
=== Ulu al-Azmi === | === Ulu al-Azmi === | ||
Mstari 35: | Mstari 35: | ||
:''Makala: [[Ulu al-Azmi]]'' | :''Makala: [[Ulu al-Azmi]]'' | ||
Kulingana na maoni ya Ayatullahi Tabatabai ni kwamba, maana ya "al-Azm" katika Aya ya 35 ya Surat al-Ahqaf ni sheria na maana ya | Kulingana na maoni ya [[Ayatullahi Tabatabai]] ni kwamba, maana ya "al-Azm" katika Aya ya 35 ya Surat al-Ahqaf ni sheria na maana ya [[Ulu al-Azm]] ni Mitume [[wenye sharia]] au walikuja na sheria. Kwa mtazamo wake, Mitume watano (Nuhu, Ibrahim, Mussa, Issa, na Muhammad (s.a.w.w)) ndio wenye sheria amabo wnajulikana kwa jina la Ulu al-Azm. [84] Baadhi ya wanazuoni wengine wanaamini kuwa "Ulu al-Azm" siyo jina linalohusiana na Mitume wenye sheria tu. [85] Kulingana na maelezo ya moja ya [[Hadithi|Riwaya]] za bwana Mtume (s.a.w.w), ni kwamba; Ulu al-Azm ni bora kuliko Mitume wengine. [86] | ||
=== Mamlaka na cheo cha Utume (Urasuli) === | === Mamlaka na cheo cha Utume (Urasuli) === | ||
Kulingana na kauli maarufu, dhana ya "Unabii" ni pana zaidi kuliko dhana ya "Utume (Urasuli)". Kilingana na kauli hii ni kwamba; kila Mtume ni Nabii, lakini siyo kila Nabii ni Mtume (Rasuli). [87] Kwa mujibu wa moja ya Hadithi, ni kwamba wajumbe wote wa Mwenye Ezi Mungu, 313 kati yao walikuwa ni Mitume (Marasuli). [88] Baadhi ya tofauti zilizopo kati ya Nabii na Mtume (Rasuli) ni kama ifuatavyo: | Kulingana na kauli maarufu, dhana ya "Unabii" ni pana zaidi kuliko dhana ya "Utume (Urasuli)". Kilingana na kauli hii ni kwamba; kila Mtume ni Nabii, lakini siyo kila Nabii ni Mtume (Rasuli). [87] Kwa mujibu wa moja ya Hadithi, ni kwamba wajumbe wote wa Mwenye Ezi Mungu, 313 kati yao walikuwa ni Mitume (Marasuli). [88] Baadhi ya tofauti zilizopo kati ya Nabii na [[Mtume]] (Rasuli) ni kama ifuatavyo: | ||
* Mtume (Rasuli) hupokea ufunuo kutoka kwa Malaika Jibrail (Gabriel) katika hali akiwa macho na hata ndotoni, lakini Nabii hupokea ufunuo hali akiwa ndotoni tu. [89] | * Mtume (Rasuli) hupokea [[ufunuo]] kutoka kwa Malaika Jibrail (Gabriel) katika hali akiwa macho na hata ndotoni, lakini Nabii hupokea ufunuo hali akiwa [[ndotoni]] tu. [89] | ||
* Ufunuo kwa Mtume (Rasuli) hushushwa kupitia Malaika aitwae Jibrail (Gabriel), lakini ufunuo kwa Nabii unaweza kushushwa na malaika wengine au kupitia ilhamu ishushwayo moyoni, au kupitia ndoto. [90] | * Ufunuo kwa Mtume (Rasuli) hushushwa kupitia Malaika aitwae [[Jibrail]] (Gabriel), lakini ufunuo kwa Nabii unaweza kushushwa na [[malaika]] wengine au kupitia [[ilhamu]] ishushwayo moyoni, au kupitia ndoto. [90] | ||
* Mtume, mbali na kuwa na cheo cha unabii, pia ana jukumu la kufikisha ujume kwa wengine. [91] | * Mtume, mbali na kuwa na cheo cha unabii, pia ana jukumu la [[kutimizi huja]] (kufikisha ujume) kwa wengine. [91] | ||
* Mtume ni mjumbe aliyekuja na sharia na huanzisha sharia ndani ya jamii, ila Nabii ni mlinzi wa sheria iliyopo au iliopita kabla yake. Tabrisi amenasibisha kauli hii na mwanazuoni aitwaye Jahidh. Hata hivyo, baadhi ya wafasiri kama vile Tabari, wanachukulia Nabii na Mtume kama ni maneno yanayoweza kutumika kwa kunaibiana, kwa mtazamo huu, yote mawili yatakuwa na maana moja. [93] | * Mtume ni mjumbe aliyekuja na sharia na huanzisha sharia ndani ya jamii, ila Nabii ni mlinzi wa sheria iliyopo au iliopita kabla yake. [[Tabrisi]] amenasibisha kauli hii na mwanazuoni aitwaye Jahidh. Hata hivyo, baadhi ya wafasiri kama vile Tabari, wanachukulia Nabii na Mtume kama ni maneno yanayoweza kutumika kwa kunaibiana, kwa mtazamo huu, yote mawili yatakuwa na maana moja. [93] | ||
=== Wajumbe waanzilishi wa sharia na wajumbe wasambazaji wa sharia === | === Wajumbe waanzilishi wa sharia na wajumbe wasambazaji wa sharia === | ||
Mstari 51: | Mstari 51: | ||
=== Nafasi na cheo cha Uimamu === | === Nafasi na cheo cha Uimamu === | ||
Kulingana na Aya ya kutahiniwa kwa nabii Ibrahimu, yaonekana kwamba; baadhi ya Mitume walikuwa na cheo cha Uimamu. [98] Katika baadhi ya Riwaya kunai bara zioneshazo kwamba; cheo cha Uimamu ni kikubwa zaidi kuliko cheo cha Utume na Unabii, dhana hii inaeleweka kupitia maelezo ya Aya hiyo ya kutahiniwa kwa | Kulingana na [[Aya ya kutahiniwa kwa nabii Ibrahimu]], yaonekana kwamba; baadhi ya Mitume walikuwa na cheo cha [[Uimamu]]. [98] Katika baadhi ya [[Hadithi|Riwaya]] kunai bara zioneshazo kwamba; cheo cha Uimamu ni kikubwa zaidi kuliko cheo cha Utume na [[Unabii]], dhana hii inaeleweka kupitia maelezo ya Aya hiyo ya kutahiniwa kwa [[nabii Ibrahim (a.s)]], kwani yeye alipata cheo hicho mnamo mwishoni mwa umri wake, ambapo hapo mwanzo alikuwa ni nabii au mtume ila haukuwa ni Imamu. [99] {{Maelezo | Kwenye Hadithi maarufu kutoka kwa Imamu Sadiq (a.s), hatua za Ibrahimu (a.s) kabla ya kuwa Imam zimeorodheshwa kama ifuatavyo: 1- Uchamungu 1- Unabii 2- Utume 3- Ukhalifa (Khalilu Llahi) na 4- Uimamu. Hadithi imekuja kama ifuatavyo: ''((إنّ اللّه َ تباركَ و تعالى اتَّخَذَ إبراهيمَ عَبدا قَبلَ أن يَتَّخِذَهُ نَبيّا ، و إنّ اللّه َ اتَّخَذَهُ نَبيّا قَبلَ أن يَتَّخِذَهُ رَسولاً ، و إنّ اللّه َ اتَّخَذَهُ رَسولا ً قَبلَ أن يَتَّخِذَهُ خَليلاً ، و إنّ اللّه َ اتَّخَذَهُ خَليلاً قَبلَ أنْ يَجعَلَهُ إماما ، فلَمّا جَمَعَ لَهُ الأشياءَ قالَ : «إنّي جاعِلُكَ لِلنّاسِ إماماً... ; Hakika Mwenyezi Mungu amemfanya Ibrahimu kuwa mtumwa (mchamungu) kabla ya kumfanya kuwa nabii, na hakika Mwenyezi Mungu amemfanya kuwa nabii kabla ya kumfanya kuwa mtume, na hakika Mwenyezi Mungu amemfanya kuwa mtume kabla ya kumfanya kuwa Khalifa, na hakika Mwenyezi Mungu amemfanya kuwa Khalifa kabla ya kumfanya kuwa Imamu, na alipokamilishia vyeo vyote hivyo, alisema: "Hakika mimi nimekufanya wewe kuwa ni Imamu wa watu...))'' Al-Kulayni, Al-Kafi, Chapa ya mwaka 1407 Hijiria, Juzuu ya 1, Ukurasa 175.}} Katika [[Surat al-Anbiyaa]], kuna mitume kadhaa waliotambuliwa kuwa ni Maimamu, nao ni; Ibrahimu, [[Ishaq]], [[Yaaqub]] na [[Lut (a.s)]]. [100] Katika moja ya Hadirhi ilionukuliwa kutoka kwa [[Imamu Swadiq (a.s)]] ni kwamba; Mitume wa [[Ulu al-Azmi]] ni wenye cheo cha Uimamu. [101] | ||
Katika | |||
=== Kuwakiuka Malaika kwa Utukufu === | === Kuwakiuka Malaika kwa Utukufu === | ||
Kulingana na kauli ya Sheikh Mufidu ni kwamba; Mashia na | Kulingana na kauli ya [[Sheikh Mufidu]] ni kwamba; [[Shia Imamiyyah|Mashia]] na [[Ahlul-Hadith]] wa upande wa [[Masunni]], wanawatambua Mitume kuwa ni wenye cheo kukubwa zaidi kuliko [[Malaika]], ila [[Mu’utazila]] wao wanaamini ya kwamba; Mailka ni wenye cheo kikubwa kuwazidi Mitume (a.s). [102] Katika baadhi ya [[Hadithi]] yaonesha kwamba; cheo na Nabii Muhammad (s.a.w.w) pamoja na [[Maimamu wa Kishia|Maimamu 12 (a.s)]], kikubwa zaidi kuwazidi Malaika. [103] | ||
== Manabii waliopewa vitabu == | == Manabii waliopewa vitabu == |