Nenda kwa yaliyomo

Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 59: Mstari 59:
== Manabii waliopewa vitabu ==  
== Manabii waliopewa vitabu ==  


Baadhi ya manabii wamekuwa na vitabu vya mbinguni; kwa mujibu wa Aya za Quran, Zabur ni kitabu cha Nabii Daud (a.s) [104], Taurati ni kitabu cha Nabii Musa (a.s), Injil ni kitabu cha Nabii Isa (a.s) [105], na Quran ni kitabu cha Mtume Muhammad (s.a.w.w) [106]. [Maelezo 4: Qur'an haitoi tamko la moja kwa moja kuhusiana na suala la kuteremshiwa nabii Musa Taurati; lakini inakiri kuteremshwa kwa Taurati kutoka kwa Mwenye Ezi Mungu. Jambo ambalo limethibitishwa kwenye (Surat al-Ma'ida, Aya 44) na pia inathibitisha kuteremshwa kwa Al-waahu kwa ajili ya nabii Musa, jambo ambalo linapatikana kwenye (Surat al-A'araf, Aya 154). Baadhi ya wafasiri wamesema kuwa; Al-waahu ni Taurati (Tabatabai, Al-Mizan, Chapa ya 1417 Hijiria, Juzuu ya 8, Ukurasa 250).]
Baadhi ya manabii wamekuwa na vitabu vya mbinguni; kwa mujibu wa [[Aya za Qur'an]], [[Zabur]] ni kitabu cha [[Nabii Daud (a.s)]] [104], [[Taurati]] ni kitabu cha [[Nabii Mussa (a.s)]], Injil ni kitabu cha [[Nabii Issa (a.s)]] [105], na [[Qur'an Kareem|Qur'an]] ni kitabu cha [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]] [106]. {{Maelezo | Qur'an haitoi tamko la moja kwa moja kuhusiana na suala la kuteremshiwa nabii Musa Taurati; lakini inakiri kuteremshwa kwa Taurati kutoka kwa Mwenye Ezi Mungu. Jambo ambalo limethibitishwa kwenye (Surat al-Ma'ida, Aya 44) na pia inathibitisha kuteremshwa kwa Al-waahu kwa ajili ya nabii Musa, jambo ambalo linapatikana kwenye (Surat al-A'araf, Aya 154). Baadhi ya wafasiri wamesema kuwa; Al-waahu ni Taurati (Tabatabai, Al-Mizan, Chapa ya 1417 Hijiria, Juzuu ya 8, Ukurasa 250).}} Quran haitaji kitabu makhususi kwa ajili ya [[Nabii Ibrahim (a.s)]] na badala yake imetumia neno [[Suhuf]] kuhusiana na kitabu chake. [107] Zaidi ya hayo, kwa kuzingatia maelezo ya baadhi ya Hadithi, Mwenyezi Mungu alituma Suhuf 50 kwa [[Nabii Sheith (a.s)]], Suhuf 30 kwa [[Nabii Idris (a.s)]], na Suhuf 20 kwa Nabii Ibrahim (a.s) [108].
Quran haitaji kitabu makhususi kwa ajili ya Nabii Ibrahim (a.s) na badala yake imetumia neno "Suhuf" kuhusiana na kitabu chake. [107] Zaidi ya hayo, kwa kuzingatia maelezo ya baadhi ya Hadithi, Mwenyezi Mungu alituma Suhuf 50 kwa Nabii Sheith (a.s), Suhuf 30 kwa Nabii Idris (a.s), na Suhuf 20 kwa Nabii Ibrahim (a.s) [108].


Wafasiri wameamini kuwa Nabii Nuhu (a.s), Ibrahim (a.s), Musa (a.s), Isa (a.s), na Muhammad (s.a.w.w) walikuja na sheria mpya kutoka mbinguni, imani hii inatokana na ufahamu wao kulingana na Aya isemayo: ''((شَرَعَ لَكُمْ مِنَ الدِّينِ مَا وَصَّىٰ بِهِ نُوحًا وَالَّذِي أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ وَمَا وَصَّيْنَا بِهِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ وَعِيسَىٰ ; Tumekupangieni sheria kutokana na dini sawa yale tuliyomuamrisha Nuhu, sharia ambazo tumekuusia wewe (tumekufunulia wewe), na ambazo tuliyowausia Ibrahim, Musa na Isa))'' [109] [110]. Katika baadhi ya Riwaya, emeelezwa kwamba; sababu ya Manabii hawa kuitwa Ulu al-Azimi inatokana na Manabii hawa kuwa sheria zao mpya katika jamii zao. [111]
[[Wafasiri]] wameamini kuwa Nabii Nuhu (a.s), Ibrahim (a.s), Mussa (a.s), Issa (a.s), na Muhammad (s.a.w.w) walikuja na sheria mpya kutoka mbinguni, imani hii inatokana na ufahamu wao kulingana na Aya isemayo: ''((شَرَعَ لَكُمْ مِنَ الدِّينِ مَا وَصَّىٰ بِهِ نُوحًا وَالَّذِي أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ وَمَا وَصَّيْنَا بِهِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ وَعِيسَىٰ ; Tumekupangieni sheria kutokana na dini sawa yale tuliyomuamrisha Nuhu, [[sharia]] ambazo tumekuusia wewe (tumekufunulia wewe), na ambazo tuliyowausia Ibrahim, Mussa na Issa))'' [109] [110]. Katika baadhi ya [[Hadithi|Riwaya]], emeelezwa kwamba; sababu ya Manabii hawa kuitwa [[Ulu al-Azimi]] inatokana na Manabii hawa kuwa sheria zao mpya katika jamii zao. [111]


Alama Tabatabai amesema kuwa kila Mtume wa Ulu al-Azmi alikuja na kitabu na sheria yake maalumu [112], na suala la kuwepo kwa vitabu vya Manabii ambao sio Ulu al-Azmi kama Daud (a.s) [113], Sheith (a.s) na Idris (a.s) [114], halikinzani na kauli inayo dai kwamba;  Manabii wa Ulu al-Azmi ndio walikuja na sharia mpya kutoka kwa Mola wao; kwa sababu kwa vitabu vya Manabii ambao sio Ulu al-Azmi havijumuishi ndani yake amri na sheria [115].
[[Alama Tabatabai]] amesema kuwa kila Mtume wa Ulu al-Azmi alikuja na kitabu na sheria yake maalumu [112], na suala la kuwepo kwa vitabu vya Manabii ambao sio Ulu al-Azmi kama [[Daud (a.s)]] [113], [[Sheith (a.s)]] na [[Idris (a.s)]] [114], halikinzani na kauli inayo dai kwamba;  Manabii wa Ulu al-Azmi ndio walikuja na sharia mpya kutoka kwa Mola wao; kwa sababu kwa vitabu vya Manabii ambao sio Ulu al-Azmi havijumuishi ndani yake amri na [[Hukumu za kisheria|sheria]] [115].


== Miujiza ==
== Miujiza ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,842

edits