Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho
→Ibrahim katika Maagano mawili
(→Hijra) |
|||
Mstari 69: | Mstari 69: | ||
Qur'an haikutaja jina la mwana wa Ibrahim ambaye alipaswa kuchinjwa. Hivyo basi kuna tofauti za maoni kati ya [[shia|Washia]] na [[Masunni]] juu ya suala hili. Baadhi wanasema alikuwa ni [[Ismail]] na wengine wanasema alikuwa ni [[Is-haq]] [49]. [[Sheikh Tusi]] anaamini kuwa; kwa mujibu wa Riwaya za Shia, yaonekena kwamba; yeye alikuwa ni Ismail. [50] [[Mulla Sadra Mazandarani]] katika [[ufafanuzi wa kitabu Furu’u al-Kafi]] anafikiria maoni haya kuwa ni mtazamo mashuhuri kati ya wanazuoni wa Shia. [51] Katika Ziyara Ghufaila (ziara maalum ya Imamu Hussein (a.s) ya katikati ya Rajab), kuna ibara isemayo: ... Salamu iwe juu yako, Ewe mrithi wa Ismail, kichinjwa cha Mwenye Ezi Mungu! [52]" | Qur'an haikutaja jina la mwana wa Ibrahim ambaye alipaswa kuchinjwa. Hivyo basi kuna tofauti za maoni kati ya [[shia|Washia]] na [[Masunni]] juu ya suala hili. Baadhi wanasema alikuwa ni [[Ismail]] na wengine wanasema alikuwa ni [[Is-haq]] [49]. [[Sheikh Tusi]] anaamini kuwa; kwa mujibu wa Riwaya za Shia, yaonekena kwamba; yeye alikuwa ni Ismail. [50] [[Mulla Sadra Mazandarani]] katika [[ufafanuzi wa kitabu Furu’u al-Kafi]] anafikiria maoni haya kuwa ni mtazamo mashuhuri kati ya wanazuoni wa Shia. [51] Katika Ziyara Ghufaila (ziara maalum ya Imamu Hussein (a.s) ya katikati ya Rajab), kuna ibara isemayo: ... Salamu iwe juu yako, Ewe mrithi wa Ismail, kichinjwa cha Mwenye Ezi Mungu! [52]" | ||
== Ibrahim katika Maagano | == Ibrahim katika Maagano Mawili == | ||
Katika Agano la Kale, Ibrahimu anatajwa kwanza kwa jina la Abramu; [53] lakini katika sura ya 17, Mungu anamwambia: "Na hii ni ahadi kati yangu na wewe, na wewe utakuwa ni baba wa mataifa mengi; na jina lako baada ya hapa halitakuwa Abramu, bali litakuwa ni Ibrahimu, kwa maana nimekufanya kuwa baba wa mataifa mengi."[54] | Katika [[Agano la Kale]], Ibrahimu anatajwa kwanza kwa jina la Abramu; [53] lakini katika sura ya 17, Mungu anamwambia: "Na hii ni ahadi kati yangu na wewe, na wewe utakuwa ni baba wa mataifa mengi; na jina lako baada ya hapa halitakuwa Abramu, bali litakuwa ni Ibrahimu, kwa maana nimekufanya kuwa baba wa mataifa mengi."[54] | ||
Kulingana na riwaya za Agano la Kale, Ibrahimu anatokana na kabila za Aramu (Aramaic), kutoka Bara Arabu lililohamia kando ya Mesopotamia (mto furati) katika Syria ya kaskazini. [55] Kulingana na Mwanzo Aya ya 11, ni kwamba; Terahi, (ambaye ni baba wa Ibrahim) akiwa pamoja na Ibrahim, | Kulingana na riwaya za Agano la Kale, Ibrahimu anatokana na kabila za Aramu (Aramaic), kutoka [[Bara Arabu]] lililohamia kando ya [[Mesopotamia]] (mto furati) katika [[Syria]] ya kaskazini. [55] Kulingana na Mwanzo Aya ya 11, ni kwamba; Terahi, (ambaye ni baba wa Ibrahim) akiwa pamoja na Ibrahim, [[Sarah]], na [[Lutu]], walianza safari kutoka [[Harani]] (Ur) kuelekea Kanaani, ila walifika Harani, Terahi alibaki eneo hilo ambako alifariki dunia. [56] Baadhi ya watafiti kutokana na maelezo ya Aya hii, wameibuka na natija ya kwamba; Ibrahimu alizaliwa huko Ur, lakini katika Mwanzo, Sura ya 12, ni kwamba; Harani (Ur) inatajwa kuwa ndipo mahali pa kuzaliwa kwa Ibrahimu. [57] | ||
Kulingana na Taurati, Ibrahimu aliishi Harani hadi umri wa miaka 75, kisha akaenda Kanaani kwa amri ya Mungu. Alifanya safari hiyo akifuatana na mkewe ( | Kulingana na [[Taurati]], Ibrahimu aliishi Harani hadi umri wa miaka 75, kisha akaenda Kanaani kwa amri ya Mungu. Alifanya safari hiyo akifuatana na mkewe (Sarah), pamoja na mtoto wa kaka yake ([[Lutu]]), na baadhi ya watu wa Harani. Walifika Kanaani, wakaweka hema upande wa mashariki wa Betheli, na kujenga madhabahu. [58] Baadaye, kutokana na njaa, walihamia [[Misri]], [59] lakini baada ya muda mfupi, walirudi tena Betheli, [60] na baadaye wakahamia Hebroni (Al-khaliil), ambako walifanya makazi yao. [61] | ||
Katika Taurati inasemekana kwamba; Ibrahimu alipoingia Misri, alimtambulisha | Katika Taurati inasemekana kwamba; Ibrahimu alipoingia Misri, alimtambulisha Sarah (mkewe) kama ni dada yake, alifanya hivyo ili kujilinda na hatari za Wamisri juu ya zao za kumpokonya mkewe, endapo wangelijua kuwa yeye alikuwa ni mkewe. Farao wa Misri, aliyevutiwa na uzuri wa Sara, alimchukua kama ni mkewe, na kumtendea hisani Ibrahimu kama ni tunzo yake. Ila muda si mrefu, Mungu alimletea Farao na watu wake mapigo kutokana na tendo hilo ovu dhidi ya Ibrahim. [62] [[Ayatullah Tabatabai]] anaamini kwamba sehemu hii ya Hadithi ya Ibrahimu ilioko katika Taurati, inaonyesha kwamba Hadithi hiyo ni hadithi potofu, kwani mwelekeo wake hauendani sifa za mitume na utukufu wao, pia hadithi hii haioani, na hadithi zilizoko katika matoleo mengine ya Taurati. [63] | ||
Agano la Kale linamtaja Isaka (Is-haqa) kama ni dhabihu (mchinjwa) wa Ibrahimu. [64] Katika baadhi ya matukio, Isaka anatajwa kuwa ndiye mtoto pekee wa Ibrahimu. [65] Pia katika Taurati, inasemekana kwamba; Mungu alimpa Ibrahimu ahadi ya kwamba; ardhi yote kuanzia Nile hadi Euphrates itawapa na kuwathithisha watoto wake wa baadaye, ambao watatokana na Isaka. [66] | [[Agano la Kale]] linamtaja Isaka ([[Is-haqa]]) kama ni [[Dhabihullah|dhabihu]] (mchinjwa) wa Ibrahimu. [64] Katika baadhi ya matukio, Isaka anatajwa kuwa ndiye mtoto pekee wa Ibrahimu. [65] Pia katika Taurati, inasemekana kwamba; Mungu alimpa Ibrahimu ahadi ya kwamba; ardhi yote kuanzia [[Nile]] hadi [[Euphrates]] itawapa na kuwathithisha watoto wake wa baadaye, ambao watatokana na Isaka. [66] | ||
Katika Agano Jipya, Ibrahimu anatajwa mara 72, na nasaba ya Yesu Kristo anatokana na Ibrahimu kupitia kwa Isaka, kupitia mababu 39 (Mathayo 1:1-7) au kupitia mababu 54 (Luka 3:24-25). Imani ya Ibrahimu katika Agano Jipya inaelezwa kuwa ni ya juu zaidi. Ibrahimu aliishi kama mgeni katika Palestina, ambayo haikuwa nchi yake mwenyewe, na alitii amri ya Mungu kwa kumtoa mwanawe kama ni dhabihu. [67] | Katika [[Agano Jipya]], Ibrahimu anatajwa mara 72, na nasaba ya [[Yesu Kristo]] anatokana na Ibrahimu kupitia kwa [[Isaka]], kupitia mababu 39 (Mathayo 1:1-7) au kupitia mababu 54 (Luka 3:24-25). Imani ya Ibrahimu katika Agano Jipya inaelezwa kuwa ni ya juu zaidi. Ibrahimu aliishi kama mgeni katika [[Palestina]], ambayo haikuwa nchi yake mwenyewe, na alitii amri ya Mungu kwa kumtoa mwanawe kama ni dhabihu. [67] | ||
== Ibrahimu kwa mtazamo wa Irfani ya Uislamu == | == Ibrahimu kwa mtazamo wa Irfani ya Uislamu == |