Nenda kwa yaliyomo

Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 85: Mstari 85:
== Ibrahimu kwa mtazamo wa Irfani ya Uislamu ==
== Ibrahimu kwa mtazamo wa Irfani ya Uislamu ==


Kutoka kwa mtazamo wa wanafalsafa (wanairfani) wengi wa Kiislamu, ni kwamba; Ibrahimu (a.s) alikuwa msafiri wa kiroho ambaye alipata ukamilifu wa juu kabisa kupitia ngazi mbali mbali za kimaadili katika safari yake ya maadili ya kiroho. Abdulkarim al-Qushayri, mwanafalsafa (mwanairfani) na mfasiri wa karne ya nne na tano, anaamini kwamba; Ibrahimu (a.s) aliuona ulimwengu wa kiroho kabla ya kuanza safari yake, na kwamba hilo ilimfanya apendezwe na safari hiyo ya kiroho. Hata hivyo, Rashid al-Din Maybudi anaamini kwamba; mvuto huu ulimfanya awe na hamu ya kuvutika na kila maonesho na sura za madhihiriko (maakisiko) ya Kiungu, lakini alipogundua kutokuwa imara kwa maakisiko hayo, alielewa kwamba; maakisiko na madhihiriko hayo katu hayawezi kuwa na uhusiano na upendo wa dhati na halisi. [69]
Kutoka kwa mtazamo wa wanafalsafa (wanairfani) wengi wa Kiislamu, ni kwamba; Ibrahimu (a.s) alikuwa msafiri wa kiroho ambaye alipata ukamilifu wa juu kabisa kupitia ngazi mbali mbali za kimaadili katika safari yake ya maadili ya kiroho. [[Abdulkarim al-Qushayri]], mwanafalsafa (mwanairfani) na mfasiri wa karne ya nne na tano, anaamini kwamba; Ibrahimu (a.s) aliuona ulimwengu wa kiroho kabla ya kuanza safari yake, na kwamba hilo ilimfanya apendezwe na safari hiyo ya kiroho. Hata hivyo, [[Rashid al-Din Maybudi]] anaamini kwamba; mvuto huu ulimfanya awe na hamu ya kuvutika na kila maonesho na sura za madhihiriko (maakisiko) ya Kiungu, lakini alipogundua kutokuwa imara kwa maakisiko hayo, alielewa kwamba; maakisiko na madhihiriko hayo katu hayawezi kuwa na uhusiano na upendo wa dhati na halisi. [69]


Kulingana na maoni ya wanairfani ni kwamba; maelezo na riwaya juu ya kisa cha nabii Ibrahim zilizokuja katika Qura’n, kama vile kupoza kwa moto, nia ya kumchinja Ismail, kuepuka na ibada za kuabudu sayari za angani, kumuomba Mungu amuoneshe namna ya kufufuka kwa wafu, na kuchinja ndege, zimejaa ishara za kiroho yenye mkondo wa tafsiri za ndani kabisa. [70] Kwa mfano, katika kisa cha Ibrahim cha kuepukana na nyota, mwezi, na jua, na badala yake kuelekea kwa Mwenye Ezi Mungu, bwana Qushairi, aliifasiri nyota kama ni mwanga mdogo wa akili, mwezi kama ni elimu inayo husiana na matawi ya elimu ya amri za kiungu (elimu fafanuzi ya sharia za Mungu), na jua kama mysticism (elimu ya kumjua Mungu). [71] Abdurazzaq Kashani aliona matatu haya, kama ni maelezo na fafanuzi za viwango na daraja tatu za; kinafsi, kimoyo, na kiroho, ambapo Nabii hufikia kituo cha umoja (upweke wa Mungu) kwa kupita kwenye ngazi za viwango hivi vitatu. [72]
Kulingana na maoni ya wanairfani ni kwamba; maelezo na riwaya juu ya kisa cha nabii Ibrahim zilizokuja katika Qura’n, kama vile [[kupoza kwa moto]], nia ya [[Kuchinjwa Ismail|kumchinja Ismail]], kuepuka na ibada za kuabudu sayari za angani, kumuomba Mungu amuoneshe namna ya kufufuka kwa wafu, na kuchinja ndege, zimejaa ishara za kiroho yenye mkondo wa tafsiri za ndani kabisa. [70] Kwa mfano, katika kisa cha Ibrahim cha kuepukana na nyota, mwezi, na jua, na badala yake kuelekea kwa Mwenye Ezi Mungu, bwana Qushairi, aliifasiri nyota kama ni mwanga mdogo wa akili, mwezi kama ni elimu inayo husiana na matawi ya elimu ya amri za kiungu (elimu fafanuzi ya sharia za Mungu), na jua kama mysticism (elimu ya kumjua Mungu). [71] [[Abdurazzaq Kashani]] aliona matatu haya, kama ni maelezo na fafanuzi za viwango na daraja tatu za; kinafsi, kimoyo, na kiroho, ambapo Nabii hufikia kituo cha umoja (upweke wa Mungu) kwa kupita kwenye ngazi za viwango hivi vitatu. [72]


Kulingana na tafsiri ya Ibn Arabi ni kwamba; maana iliyokusudiwa katika nyota, mwezi, na jua ambayo Ibrahimu anakanusha uungu wao, si kwamba yeye alikusudia maumbile ya vitu hivyo, bali ni nuru na uwezo wa kiroho uliopo ndani ya vitu hivyo. [74]
Kulingana na tafsiri ya Ibn Arabi ni kwamba; maana iliyokusudiwa katika nyota, mwezi, na jua ambayo Ibrahimu anakanusha uungu wao, si kwamba yeye alikusudia maumbile ya vitu hivyo, bali ni nuru na uwezo wa kiroho uliopo ndani ya vitu hivyo. [74]
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits