Nenda kwa yaliyomo

Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 53: Mstari 53:
* Kuwafufua [[ndege wanne]]: Kulingana na Aya 260 ya [[Surat al-Baqarah]], Mwenye Ezi Mungu alimtaka Nabii Ibrahim kuchinja ndege wanne na kuchanganya nyama zao, kisha kuziweka katika milima kadhaa. Ibrahim alitekeleza agizo hilo na kisha akawaita ndege hao. Ghafla ndege hao walifufuka na kumkaribia.
* Kuwafufua [[ndege wanne]]: Kulingana na Aya 260 ya [[Surat al-Baqarah]], Mwenye Ezi Mungu alimtaka Nabii Ibrahim kuchinja ndege wanne na kuchanganya nyama zao, kisha kuziweka katika milima kadhaa. Ibrahim alitekeleza agizo hilo na kisha akawaita ndege hao. Ghafla ndege hao walifufuka na kumkaribia.


== Hijra ==
=== Hijra ===


Katika Aya ya 71 ya Surat al-Anbiya, imeelezwa kuhusiana na Ibrahim (a.s) ya kwamba: "Sisi tumempeleka (Ibrahim) pamoja na Lut katika nchi ambayo tumeibariki kwa ajili ya walimwengu." [41] Baadhi ya vitabu vya tafsiri vimefungamanisha nchi iliyozungumziwa katika Aya hii na ardhi ya Sham [42] au Palestina au Bayt al-Maqdis. [43] Katika moja ya Riwaya ya Imamu Sadiq (a.s), Bayt al-Maqdis pia imeashiriwa kama ni moja ya ardhi za marudio ya hijra ya Ibrahim (AS). [44]
Katika Aya ya 71 ya [[Surat al-Anbiya]], imeelezwa kuhusiana na Ibrahim (a.s) ya kwamba: "Sisi tumempeleka (Ibrahim) pamoja na Lut katika nchi ambayo tumeibariki kwa ajili ya walimwengu." [41] Baadhi ya vitabu vya tafsiri vimefungamanisha nchi iliyozungumziwa katika Aya hii na ardhi ya [[Sham]] [42] au [[Palestina]] au [[Bayt al-Maqdis]]. [43] Katika moja ya Riwaya ya [[Imamu Swadiq (a.s)]], Bayt al-Maqdis pia imeashiriwa kama ni moja ya ardhi za marudio ya hijra ya Ibrahim (a.s). [44]


=== Ujenzi wa Ka'aba ===
=== Ujenzi wa Ka'aba ===


Katika Aya ya 127 ya Suratu al-Baqarah, imeelezwa kuwa; Ibrahim alisaidiana na mwanae Ismail katika kujenga Ka'aba [45] na kwa amri ya Mwenye Ezi Mungu aliwaita watu kushiriki ibada ya Hijja. [46] Kulingana na baadhi ya Riwaya, kwa mara ya kwanza kabisa Ka'aba ilijengwa na Nabii Adam (a.s) na kurekebisha tena na nabii Ibrahim. [47]
Katika Aya ya 127 ya Surat al-Baqarah, imeelezwa kuwa; Ibrahim alisaidiana na mwanae[[Ismail]] katika kujenga [[Kaaba]] [45] na kwa amri ya Mwenye Ezi Mungu aliwaita watu kushiriki [[ibada ya Hijja]]. [46] Kulingana na baadhi ya Riwaya, kwa mara ya kwanza kabisa Ka'aba ilijengwa na [[Nabii Adam (a.s)]] na kurekebisha tena na nabii Ibrahim. [47]


=== Kuchinja mwanawe ===
=== Kuchinja mwanawe ===


Moja ya majaribio ya Mwenyezi Mungu kwa Ibrahim ilikuwa amri ya kumchinja mwanawe. Kulingana na ripoti ya Qur'an, Ibrahim aliota ndotoni kwake kuwa anamchinja mwanae. Naye akaliweka suala hilo mbele ya mwanae, na mwanae alimtii baba yake na kumtaka atii amri ya Mwenye Ezi Mungu. Lakini wakati Ibrahim alipomlaza mwanawe kwa ajili ya kuchinja akiwa katika eneo la kuchinja, sauti ikasema: "Ewe Ibrahim, kwa hakika umetimiza agizo la ndoto yako. Kwa hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wafanyao mema. [Yaani tunaikubali nia yao safi na tukufu bila ya wao kutekeleza tendo lao]. Hakika jaribio hili lilikuwa ni la wazi na tumemwokoa mwanao kutoka kwenye uhanga mkubwa." [48]
:''Makala asili: [[Dhabihullah]]''


Qur'an haikutaja jina la mwana wa Ibrahim ambaye alipaswa kuchinjwa. Hivyo basi kuna tofauti za maoni kati ya Washia na Masunni juu ya suala hili. Baadhi wanasema alikuwa ni Ismail na wengine wanasema alikuwa ni Ishaq [49]. Sheikh Tusi anaamini kuwa; kwa mujibu wa Riwaya za Shia, yaonekena kwamba; yeye alikuwa ni Ismail. [50] Mulla Sadra Mazandarani katika ufafanuzi wa kitabu Furu’u al-Kafi anafikiria maoni haya kuwa ni mtazamo mashuhuri kati ya wanazuoni wa Shia. [51] Katika Ziyara Ghufaila (ziara maalum ya Imamu Hussein (a.s) ya katikati ya Rajab), kuna ibara isemayo: ... Salamu iwe juu yako, Ewe mrithi wa Ismail, kichinjwa cha Mwenye Ezi Mungu! [52]"
Moja ya [[majaribio ya Mwenyezi Mungu]] kwa Ibrahim ilikuwa amri ya kumchinja mwanawe. Kulingana na ripoti ya Qur'an, Ibrahim aliota ndotoni kwake kuwa anamchinja mwanae. Naye akaliweka suala hilo mbele ya mwanae, na mwanae alimtii baba yake na kumtaka atii amri ya Mwenye Ezi Mungu. Lakini wakati Ibrahim alipomlaza mwanawe kwa ajili ya kuchinja akiwa katika eneo la kuchinja, sauti ikasema: "Ewe Ibrahim, kwa hakika umetimiza agizo la ndoto yako. Kwa hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wafanyao mema. [Yaani tunaikubali nia yao safi na tukufu bila ya wao kutekeleza tendo lao]. Hakika jaribio hili lilikuwa ni la wazi na tumemwokoa mwanao kutoka kwenye uhanga mkubwa". [48]
 
Qur'an haikutaja jina la mwana wa Ibrahim ambaye alipaswa kuchinjwa. Hivyo basi kuna tofauti za maoni kati ya [[shia|Washia]] na [[Masunni]] juu ya suala hili. Baadhi wanasema alikuwa ni [[Ismail]] na wengine wanasema alikuwa ni [[Is-haq]] [49]. [[Sheikh Tusi]] anaamini kuwa; kwa mujibu wa Riwaya za Shia, yaonekena kwamba; yeye alikuwa ni Ismail. [50] [[Mulla Sadra Mazandarani]] katika [[ufafanuzi wa kitabu Furu’u al-Kafi]] anafikiria maoni haya kuwa ni mtazamo mashuhuri kati ya wanazuoni wa Shia. [51] Katika Ziyara Ghufaila (ziara maalum ya Imamu Hussein (a.s) ya katikati ya Rajab), kuna ibara isemayo: ... Salamu iwe juu yako, Ewe mrithi wa Ismail, kichinjwa cha Mwenye Ezi Mungu! [52]"


== Ibrahim katika Maagano mawili ==
== Ibrahim katika Maagano mawili ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits