Nenda kwa yaliyomo

Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 47: Mstari 47:
Pia nasaba ya [[Nabii Issa]] kupitia kwa mama yake, [[Maryamu (a.s)]], inafikia hadi kwa [[Nabii Yakubu]], mwana wa Is-haq. [37] Kulingana na [[Hadithi]] za Kiislamu, nasaba ya [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]] inamfikia nabii Ibrahim kwa njia ya [[Isma'il]], mwana mwingine wa Ibrahim. [38] Hiyo ndiyo sababu, yeye kupewa jina la "Abu al-Anbiya" (baba wa manabii). [39]

== Miujiza ==
=== Miujiza ===

Kulingana na aya za Qur'an, kupoza kwa moto na kuwafufua ndege wanne ni miongoni mwa miujiza ya Nabii Ibrahim:
Kulingana na aya za Qur'an, kupoza kwa moto na kuwafufua ndege wanne ni miongoni mwa miujiza ya Nabii Ibrahim:
* Kupoza kwa moto: Kulingana na Aya 57 hadi 70 ya Surat Anbiyaa, Ibrahim baada ya kuona watu wake hwataki kuacha kuabudu masanamu, aliamua kuyavunja masanamu hayo, kisha kulihusisha sanamu na kitendo hicho, akisema kuwaambai waabudio madanamu hayo; kama masanamu yana uwezo kuongea, basi yaulizeni ili yakupeni khabari. Washirikina walishindwa kutoa hoja, lakini bado waliamua kumuadhibu na kumtupa katika moto kwa sababu ya kuvunja masanamu yao. Hata hivyo, pale Ibrahimu alipofika motoni humo, kwa amri ya Mwenye Ezi Mungu, moto huo ukawa ni baridi usio na madhara kwake. [40]
* Kupoza kwa moto: Kulingana na Aya 57 hadi 70 ya [[Surat Anbiyaa]], Ibrahim baada ya kuona watu wake hwataki kuacha kuabudu masanamu, aliamua kuyavunja masanamu hayo, kisha kulihusisha sanamu na kitendo hicho, akisema kuwaambai waabudio madanamu hayo; kama masanamu yana uwezo kuongea, basi yaulizeni ili yakupeni khabari. Washirikina walishindwa kutoa hoja, lakini bado waliamua kumuadhibu na kumtupa katika moto kwa sababu ya kuvunja masanamu yao. Hata hivyo, pale Ibrahimu alipofika motoni humo, kwa amri ya Mwenye Ezi Mungu, moto huo ukawa ni baridi usio na madhara kwake. [40]
* Kuwafufua ndege wanne: Kulingana na Aya 260 ya Surat al-Baqarah, Mwenye Ezi Mungu alimtaka Nabii Ibrahim kuchinja ndege wanne na kuchanganya nyama zao, kisha kuziweka katika milima kadhaa. Ibrahim alitekeleza agizo hilo na kisha akawaita ndege hao. Ghafla ndege hao walifufuka na kumkaribia.
* Kuwafufua [[ndege wanne]]: Kulingana na Aya 260 ya [[Surat al-Baqarah]], Mwenye Ezi Mungu alimtaka Nabii Ibrahim kuchinja ndege wanne na kuchanganya nyama zao, kisha kuziweka katika milima kadhaa. Ibrahim alitekeleza agizo hilo na kisha akawaita ndege hao. Ghafla ndege hao walifufuka na kumkaribia.

== Hijra ==
== Hijra ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits