Nenda kwa yaliyomo

Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 33: Mstari 33:
== Ibrahim ndani ya Qur’ani ==
== Ibrahim ndani ya Qur’ani ==


Ibrahim ametajwa mara 69 katika Qur'ani. [28] Kuna Sura kamili ndani ya Qur’ani iliyopewa jila Ibrahim, Sura ambayo inahusiana na maisha ya nabii Ibrahim. [29] Qur'ani inaelezea mambo mengi kuhussiana na nabii Ibrahim, ikiwa ni pamoja na unabii wake na wito wake wa kuwaita watu kwenye tawhidi, uimamu wake, nia ya kumchinja mwanae (Ismail), miujiza ya kufufuka kwa ndege wanne baada ya kifo chao, na kupoza kwa moto kwa ajili yake.
Ibrahim ametajwa mara 69 katika Qur'ani. [28] Kuna Sura kamili ndani ya Qur’ani iliyopewa jila Ibrahim, Sura ambayo inahusiana na maisha ya nabii Ibrahim. [29] Qur'ani inaelezea mambo mengi kuhussiana na nabii Ibrahim, ikiwa ni pamoja na [[unabii]] wake na wito wake wa kuwaita watu kwenye [[tawhidi]], [[uimamu]] wake, nia ya [[Kuchinjwa Ismail|kumchinja mwanae]] (Ismail), [[miujiza]] ya [[kufufuka kwa ndege wanne]] baada ya kifo chao, na kupoza kwa moto kwa ajili yake.


=== Utume, Uimamu na Cheo cha Ukhalili (Kipenzi cha Mungu) ===
=== Utume, Uimamu na Cheo cha Ukhalili (Kipenzi cha Mungu) ===


Katika Aya kadhaa za Qur'ani, tunapata kuzungumziwa kwa unabii wa nabii Ibrahim na wito wake wa kuwalingania watu tawhid. [30] Vile vile ametajwa tena katika Aya ya 35 ya Surat Al-Ahqaf, Aya ambayo inazungumzia mitume wa Ulu al-Azmi, ambapo Ibrahim ni mmoja wao, naye ni mtume wa pili wa Ulu al-Azmi baada ya nabii Nuhu (a.s). [31] Kulingana na Aya ya 124 ya Surat Al-Baqarah, Mwenye Ezi Mungu alimteua nabii Ibrahim (a.s) kama ni Imamu baada ya kumpima kwa vipimo kadhaa. Kwa mujibu wa mfasiri maarufu aitwaye Tababai ni kwamba; mamlaka ya Uimamu katika Aya hii inamaanisha uongofu wa kiroho; mamlaka ambayo hupatikana baada ya kufikia ukamilifu wa kiakili na kiimani, na ni cheo maalum cha kiroho kinachopatikana baada ya jitihada nyingi. [32]  
Katika [[Aya]] kadhaa za Qur'ani, tunapata kuzungumziwa kwa unabii wa nabii Ibrahim na wito wake wa kuwalingania watu tawhid. [30] Vile vile ametajwa tena katika Aya ya 35 ya [[Surat Al-Ahqaf]], Aya ambayo inazungumzia [[mitume]] wa [[Ulu al-Azmi]], ambapo Ibrahim ni mmoja wao, naye ni mtume wa pili wa Ulu al-Azmi baada ya [[nabii Nuhu (a.s)]]. [31] Kulingana na Aya ya 124 ya [[Surat Al-Baqarah]], Mwenye Ezi Mungu alimteua [[nabii Ibrahim (a.s)]] kama ni Imamu baada ya kumpima kwa vipimo kadhaa. Kwa mujibu wa mfasiri maarufu aitwaye [[Tabatabai]] ni kwamba; mamlaka ya [[Uimamu]] katika Aya hii inamaanisha uongofu wa kiroho; mamlaka ambayo hupatikana baada ya kufikia ukamilifu wa kiakili na kiimani, na ni cheo maalum cha kiroho kinachopatikana baada ya jitihada nyingi. [32]  


Kulingana na Aya za Qur'ani, Mwenye Ezi Mungu alimchagua Ibrahim (a.s) kuwa ni Khalil (rafiki au kipenzi). Hiyo ndiyo sababu ya yeye kupewa jina la "Khalilullah" (rafiki wa Mwenye Ezi Mungu). [33] Kulingana na Hadithi zilizosimuliwa katika kitabu cha "Al-Irshad", kusujudu kwa wingi, kuto puuza maombi ya watu, kuto taka msaada kutoka kwa asiyekuwa Mwenye Ezi Mungu, kuwalisha watu, na ibada ya usiku ni miongoni mwa sababu zilizomfanya yeye apewe cheo cha Khalilullah na Mwenye Ezi Mungu. [34]
Kulingana na Aya za Qur'ani, Mwenye Ezi Mungu alimchagua Ibrahim (a.s) kuwa ni Khalil (rafiki au kipenzi). Hiyo ndiyo sababu ya yeye kupewa jina la "Khalilullah" (rafiki wa Mwenye Ezi Mungu). [33] Kulingana na Hadithi zilizosimuliwa katika kitabu cha "Ilal Al-sharaii", [[kusujudu]] kwa wingi, kuto puuza maombi ya watu, kuto taka msaada kutoka kwa asiyekuwa Mwenye Ezi Mungu, [[kuwalisha]] watu, na [[ibada ya usiku]] ni miongoni mwa sababu zilizomfanya yeye apewe cheo cha Khalilullah na Mwenye Ezi Mungu. [34]


=== Ibrahim ni Baba wa Mitume ===
=== Ibrahim ni Baba wa Mitume ===


Kulingana na Qur'ani, Ibrahim ni babu wa idadi kadhaa ya mitume waliofuata baada yake. [35] Mtoto wake (Is-haq) ni babu wa Waisraili, na mitume kama Yakubu, Yusufu, Daudi, Suleimani, Ayubu, Musa, Haruni, na mitume wengine wa Waisraili walizaliwa kupitia katika kizazi chake. [36] Pia nasaba ya Isa kupitia kwa mama yake (Maryamu) (a.s), inafikia hadi kwa Yakubu, mwana wa Is-haq. [37] Kulingana na Hadithi za Kiislamu, nasaba ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) inamfikia nabii Ibrahim kwa njia ya Isma'il, mwana mwingine wa Ibrahim. [38] Hiyo ndiyo sababu, yeye kupewa jina la "Abu al-Anbiya" (baba wa manabii). [39]
Kulingana na Qur'ani, Ibrahim ni babu wa idadi kadhaa ya mitume waliofuata baada yake. [35] Mtoto wake (Is-haq) ni babu wa [[Waisraili]], na mitume kama [[Yakubu]], [[Yusufu]], [[Daudi]], [[Suleimani]], [[Ayubu]], [[Mussa]], [[Haruni]], na mitume wengine wa Waisraili walizaliwa kupitia katika kizazi chake. [36]  
 
Pia nasaba ya [[Nabii Issa]] kupitia kwa mama yake, [[Maryamu (a.s)]], inafikia hadi kwa [[Nabii Yakubu]], mwana wa Is-haq. [37] Kulingana na [[Hadithi]] za Kiislamu, nasaba ya [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]] inamfikia nabii Ibrahim kwa njia ya [[Isma'il]], mwana mwingine wa Ibrahim. [38] Hiyo ndiyo sababu, yeye kupewa jina la "Abu al-Anbiya" (baba wa manabii). [39]


== Miujiza ==
== Miujiza ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits