Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho
→Ndoa na watoto
Mstari 25: | Mstari 25: | ||
== Ndoa na watoto == | == Ndoa na watoto == | ||
Sarah alikuwa ndiye mke wa kwanza wa nabii Ibrahimu (a.s), na kulingana na Torati, mke huyo alimwoa huko Ur ndani ya mji wa Wakaldayo (Chaldeans). [17] Kulingana na kamusi ya Dehkhoda, kitongoji cha Ur au Aur kilichotajwa Torati kilikuwa mji na eneo la zamani la Sumer kusini mwa Babylonia. Mji huu, uliopo karibu na reli ya sasa kati ya Basra na Baghdad kusini mwa Iraq, ulikuwa ni kitovu muhimu cha utamaduni wa Sumeri, na kulingana na Torati, mji huo ndio mahali alipozaliwa nabii Ibrahimu (a.s). Jina la mji huu mkubwa, ulioanzishwa katika nyakati za zamani, lilipotea katika historia katika karne ya 4 Kabla ya Kristo, ambapo mji huo ilibaki chini ya kifusi miaka kadhaa, na kupatikana upya katika karne ya 19. [18] Kulingana na Torati, Sarah alikuwa ndugu wa kambo wa Ibrahimu, [19] lakini kulingana na Hadithi za Kishia, Sarah alikuwa ni binti wa khaloo yake Ibrahimu (a.s), na ni dada wa nabii Lutu (a.s). [20] Kulingana na mojawapo ya Hadithi hizi, Ibrahimu alimwoa binti huyu huko Kutha, ambaye alikuwa tajiri wa mali zikiwemo ardhi na mifugo. Baada ya Saraha kuaana na nabii Ibrahimu (a.s), mali zake ziingia ndani milki ya nabii Ibrahimu, naye akaiboresha na kuikuza zaidi mali hiyo. Kwa kweli, katika eneo lao, hapakuwa na mtu mwingine aliyekuwa na utajiri na mali kama yeye. [21] | [[Sarah]] alikuwa ndiye mke wa kwanza wa nabii Ibrahimu (a.s), na kulingana na [[Torati]], mke huyo alimwoa huko Ur ndani ya mji wa Wakaldayo (Chaldeans). [17] Kulingana na kamusi ya Dehkhoda, kitongoji cha Ur au Aur kilichotajwa Torati kilikuwa mji na eneo la zamani la Sumer kusini mwa Babylonia. Mji huu, uliopo karibu na reli ya sasa kati ya Basra na Baghdad kusini mwa Iraq, ulikuwa ni kitovu muhimu cha utamaduni wa Sumeri, na kulingana na Torati, mji huo ndio mahali alipozaliwa nabii Ibrahimu (a.s). Jina la mji huu mkubwa, ulioanzishwa katika nyakati za zamani, lilipotea katika historia katika karne ya 4 Kabla ya Kristo, ambapo mji huo ilibaki chini ya kifusi miaka kadhaa, na kupatikana upya katika karne ya 19. [18] Kulingana na Torati, Sarah alikuwa ndugu wa kambo wa Ibrahimu, [19] lakini kulingana na Hadithi za [[shia|Kishia]], Sarah alikuwa ni binti wa khaloo yake Ibrahimu (a.s), na ni dada wa [[nabii Lutu (a.s)]]. [20] Kulingana na mojawapo ya Hadithi hizi, Ibrahimu alimwoa binti huyu huko Kutha, ambaye alikuwa tajiri wa mali zikiwemo ardhi na mifugo. Baada ya Saraha kuaana na nabii Ibrahimu (a.s), mali zake ziingia ndani milki ya nabii Ibrahimu, naye akaiboresha na kuikuza zaidi mali hiyo. Kwa kweli, katika eneo lao, hapakuwa na mtu mwingine aliyekuwa na utajiri na mali kama yeye. [21] | ||
Nabii Ibrahim hakubahatika kuwa na watoto kupitia Sarah, kwa hiyo Sarah aliamua kumpa mjakazi wake aliye julikana kwa jina la | Nabii Ibrahim hakubahatika kuwa na watoto kupitia [[Sarah]], kwa hiyo Sarah aliamua kumpa [[mjakazi]] wake aliye julikana kwa jina la [[Hajar]] ambapo nabii Ibrahimu alipata mtoto aitwaye [[Ismail]] kupitia mjakazi huyo. [22] Pia Nabii Ibrahim baada ya miaka kadhaa, alibahatika kupata mtoto aliyeitwa [[Is'haq]] kupitia kwa bibi Sarah. Tukio la kuzaliwa kwa Is'haq, ima linafikiriwa kutokea miaka 5 au 13 baada ya Ismail. [23] Kulingana na ripoti fulani, wakati wa kuzaliwa kwa Is'haq, nabii Ibrahim alikuwa na zaidi ya miaka 100 huku bibi Sarah akiwa na miaka 90. [24] Kulingana na ripoti nyingine, Is'haq alizaliwa miaka 30 baada ya Ismail ambapo kwa wakati huo, nabii Ibrahimu alikuwa tayari amesha fikisha umri wa miaka 120. [25] | ||
Imesemekana kwamba baada ya bibi Sara kufariki dunia, Ibrahim (a.s) alioa wanawake wengine wawili, ambapo mmoja alizaa naye watoto wanne na mwingine akazaa naye watoto saba, na jumla ya watoto wake wote ikawa ni watoto 13. [26] Ma’adhi, Zimran, Sarhaj, na Sabq ni watoto wake kupitia mke aliyeitwa "Kinturaa", na Naafis, Madyan, Kishan, Shuruukh, Umaym, Lut, na Yaqshan kutoka kwa mkewe aliyeitwa "Hajuni". [27] | Imesemekana kwamba baada ya bibi Sara kufariki dunia, Ibrahim (a.s) alioa wanawake wengine wawili, ambapo mmoja alizaa naye watoto wanne na mwingine akazaa naye watoto saba, na jumla ya watoto wake wote ikawa ni watoto 13. [26] Ma’adhi, Zimran, Sarhaj, na Sabq ni watoto wake kupitia mke aliyeitwa "Kinturaa", na Naafis, Madyan, Kishan, Shuruukh, Umaym, Lut, na Yaqshan kutoka kwa mkewe aliyeitwa "Hajuni". [27] |